At the age of 16, Kenyans bitterly need sex?

At the age of 16, Kenyans bitterly need sex?

Mnashangazwa na maoni ya mahakama za Kenya ambazo zina uhuru wa kutafsiri katiba ya Kenya. Ila hamshangazwi na mahakama bure kabisa za Tz ambazo hazina ubavu wa kutupilia mbali kauli za ajabu ajabu zinazokiuka katiba. Kama ile ya Jiwe, ya kuwatosa kwenye maisha ya ufukara kwa kuwanyima nafasi ya kuendeleza elimu yao wanafunzi ambao wanapata ujauzito wakiwa shuleni.
 
Nikija kenya nitakuwa nanyemelea citoto vya xul nividomolee navikobeka mimba tatizo ss kenya madem wengi sura mbovuuu
 
Back
Top Bottom