Patriot
JF-Expert Member
- Feb 11, 2008
- 5,705
- 4,703
Mahakama ya Rufaa nchini Kenya imependekeza umri wa kuruhusiwa kujihusisha na ngono nchini Kenya upunguzwe kwa miaka miwili.
Kwa sasa, sheria za Kenya zinaruhusu vijana wa miaka 18 na kuendelea kufanya ngono.
Gazeti binafsi la The Standard la nchini Kenya linaripoti kuwa majaji watatu wa mahakama hiyo wapendekeza maboresho ya sheria na umri wa kuruhusiwa kufanya ngono ushushwe kutoka miaka 18 mpaka 16.
Gazeti hilo linadai kuwa majaji hao wanapingana na adhabu kali ya vifungo virefu jela wanayopewa vijana wa kiume kwa "kushiriki ngono na mabinti ambao tayari ama wanataka kuwa wakubwa."
Majaji hao wametumia mfano wa kesi moja ambayo walitupilia mbali kifungo cha mika 15 alichopatiwa mwanaume mmoja kwa kumtia mimba msichana wa miaka 17.
Pia wanadai kuwa baadhi ya wavulana na wasichana walio chini ya miaka 18 wanajihusisha na mahusiano ya kingono "wakiwa macho meupe kabisa (wakijua wafanyayo)," linaripoti gazeti hilo.
"Magereza yetu yamejawa na vijana wa kiume ambao wanatumikia vifungo virefu kwa kushiriki ngono na wasichana ambao ridhaa yao ya kufanya matendo hayo haitambuliki kisheria sababu tu hawajafikia miaka 18," majaji hao wamekaririwa wakisema.
"Yawezekana hawajafikia umri wa utu uzima lakini yawezekana tayari wameshafikia umri wa kuridhia kufanya ngono, na wanaweza kuchukua hatua sahihi na za kiweledi kuhusu maisha yao na miili yao."
Katika kesi husika, Eliud Waweru alifungwa baada kumtia mimba msichana ambaye alikuwa amemaliza kidato cha nne.
Waweru kabla alipatana na baba wa binti huyo kuwa atalipa mahari ya KSh80,000 baada ya kutoroka na mpenzi wake huyo.
Alikamatwa na kufikishwa mahakamani baada yakushindwa kulipa mahari hiyo.
Majaji wamesema kuwa msichana huyo alilazimishwa kutoa ushahidi dhidi ya Waweru na wazazi wake, jambo ambalo aliliandika kwenye barua zake mbili na kutishia kujiua.
Waweru ambaye ametumikia miaka nane ya kifungo hicho ameachiliwa huru Ijumaa iliyopita.
=====
Kenya is a developing Nation. She wishes to go faster for developed life. But, those are just wishes. What is the reality of the country’s status? It is underdeveloped! We still have famine all over the majority of these African countries.
When the fact is underdeveloped state, whereas financially powerful citizens want to be known developed, you end up with heat-generating friction. Now, it is showing up!
The high court is suggesting lowering sex consensual age to 16 years! Very, Very laughable! Very imaginary life. How can a Kenyan Court be so stupid to the extent of not consulting scientists? That should not be based on legal facts, it is a scientific fact. Did Kenya Scientists community say such useless fact that at the age of 16, the population bitterly need sex? If not why come up with such below standard suggestion? Shameful!