Atafutwe diwani wa Kenya, muongea hovyona mropokwaji amjibu RC wa Tanzania

Sasa hapa ndio umeeleza nini labda, maana hapo Uganda wamefanya la maana kwa kupima hao Wakenya, sisi hutaskia tukilalamika wala kulialia, maana Uganda wanawalinda watu wao, ifahamike madereva Wakenya wanaoingia Uganda ni mara kumi ya Watanzania maana Uganda inategema sana bandari yetu, hivyo kuna uwezekano mkubwa Wakenya wengi kugunduliwa kuwa na corona.

Ni jukumu la kila nchi kulinda watu wake, kila anaayeingia lazima akubali vigezo na masharti, using'ang'anie kuingia utakavyo, hii imefanya mnatakataliwa Zambia, Rwanda na kote kwa ung'ang'anizi wenu.
 
Nimeona comments za watu nikachoka hata sikutaka kuitazama maana nawafahamu mlivyoo, kwenu kiongozi yeyote hurupokwa tu.....
Halafu hao Wakenya 19 mliwagundua vipi kuwa na corona ilhali mliacha kupima corona baada ya tikitaka la mapaipai.
Anyway kama kweli mliwagundua na corona, mlichokifanya ni jambo la busara na hatuwezi kulialia kama mnavyofanya tukiwapima, kila anayekuja huko aidha mumpime au mzuie asiingie, hayo ndio maamuzi ya busara.
Ila wakenya msipojishtukia hao wazungu watakuja kuwaoa asee,

Hivi hata wewe unashindwa kufikilia hii logic, kwamba madereva wanaotoka kenya kuingia tz wakirudi kenya wanakua negative ila madereva wa tz wakifika mpakani ni postive?

Punguzeni uendawazimu, hao wazungu mnaowatengenezea njia ya kuiharibu tz, ndio hao hao walioleta ugaidi kwenu,

Muwe na akili wakenya, amkeni.
 
Wakenya wanawauwa waganda kwa virus

View attachment 1453845
Kenya wanahisi lockdown inaondoa Corona..wakati wataalamu wanasema lockdown inapunguza Kinga mwili...
Hicho kiburi walichonacho Ni kwa sababu ya hizo lockdown na fumigation wanazofanya..Sasa ukija kwenye reality maambukizi kwao ni worse kwa sababu ya Kinga kuwa Chini.
 
Povu la nini, endeleeni kukaa ndani japo Wananchi hawataki

Mungu Ibariki Tz - MITz
 
Kuna video inasambaa kwenye mitandao inayomuonyesha RC wa Tanzania akimtukana rais wa Kenya na Wakenya, binafsi sijahangaika kuitazama maana nawafahamu Watanzania ndivyo walivyo, kwao hakuna tofauti ya malofa wa vijiweni na viongozi wa ngazi ya juu, kila mmoja huropokwa bila kuzingatia diplomasia au utaalam.

Muhimu sana asitokee kiongozi wa Kenya hata kwenye level ya mbunge kujishusha hadhi na kumjibu huyo mkuu wa mkoa, Watanzania lazima waelewe kwetu hapa afya ya Wakenya lazima ilindwe kwa nguvu zote, wao kama viongozi wameamua kuwarubuni wananchi kisa umaskini wa nchi, na kuachia watu wajifie kwa corona eti hawataki kuchukua tahadhari maana nchi itaadhirika kiuchumi, sisi hapa lazima kila mtu anayeingia ndani ya nchi apimwe, apimwe apimwe na apimwe....haijalishi watatulilia kwa kiasi gani, lazima wapimwe.

Hizo hasira zao ni cha mtoto sana na haziwezi kusababisha tubadilishe sera, huku tunapima hata wanaosafiri baina ya majimbo au gatuzi iwe kajamba kutoka nje ya nchi ndiye aruhusiwe kutuletea corona. Mambo ya hasira na mizuka ndio zetu tunafahamika Afrika, hivyo hamna jipya hapo, kumtukana rais wetu au Wakenya ni kitu kidogo sana.

Hayo mahindi mnakuja kutuuzia huku na malori tunanunua kwa hela yetu, hivyo haiwezekani tutumie hela zetu kununua corona pia, jeuri ya pesa inatuwezesha kununua mahindi popote tunataka, wewe unatuletea mahindi hakikisha unatii sheria na masharti yetu. Fika mpakani ufanye aidha mojawapo wa haya
- Upimwe corona na kuruhusiwa kupita au
- Upokeze lori lako kwa dereva wa huku ikiwemo hata kuwapa Watanzania walio huku, na lipulizwe kabisa na mtupiane funguo

Madereva wetu wasiruhusiwe kuingia Tanzania maana wakienda kule lazima wageuze na corona.
Inashangaza sana wataalam wa Tanzania wote chali, hakuna anayesema wala kushauri nchi, wameachia wanasiasa waseme vitu vya ajabu ajabu ambavyo haviendani na elimu yoyote ya sayansi.
Hii imesababisha Tanzania itengwe na majirani wote kuanzia SADC hadi EAC.
Mkulu wa Tanzania nilimsikia akisema dereva aliyejiendeshea lori kilomita 1,000km hana haja ya kupimwa, hiyo kuendesha gari kwa umbali ni ishara tosha kwamba ni mzima.
Hebu muache unafiki wa kikenya karibuni kuwa wanaume nimemsikia mwenyewe rc shigela wala hajamtaja huyo rais wenu kwa namna yyt acheni ujinga mshafunga mpaka tushafunga kelele za nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Au kama vipi aitwe Jaguar amjibu jamaa. Jaguar ndiye akiongea hujadiliwa Tanzania yote hadi bungeni mpaka na waziri mkuu.
Sindano ishaanza kuwaingia,mambo ndio kwanza yanaanza,tunazisubiria,na work permit fee kwa walimu wanaotoka nje ya Tanzania kuwa $4000
 
FYI, Tanzania haijatrngwa na SADC, u sidhani iyo block inamalofa kama kunyaland. Ww ni EAC mambo ya SADC wapi na wapi pia fahamu kuwa jiwe anamfumo wake wa mawasiliano na SADC soma vizuri articles utajua jiwe akitumia njia gani kuwasiliana nao pia hii ni vita ya kila mtu na taifa lakini sio kila mtu atatumia mbinu za USA kupambana na covid-19 nyie pambaneni kimpango wenu na sisi kimpango wetu after all kwenye msafara wa mambo hata kenge wamo we Tz are the taifa we r not surprised.
Kuna video inasambaa kwenye mitandao inayomuonyesha RC wa Tanzania akimtukana rais wa Kenya na Wakenya, binafsi sijahangaika kuitazama maana nawafahamu Watanzania ndivyo walivyo, kwao hakuna tofauti ya malofa wa vijiweni na viongozi wa ngazi ya juu, kila mmoja huropokwa bila kuzingatia diplomasia au utaalam.

Muhimu sana asitokee kiongozi wa Kenya hata kwenye level ya mbunge kujishusha hadhi na kumjibu huyo mkuu wa mkoa, au kama vipi yule mbunge anaitwa Jaguar ndiye ajibu, maana yeye akiongea hujadiliwa na Tanzania yote hadi bungeni hadi na waziri mkuu.
Watanzania lazima waelewe kwetu hapa afya ya Wakenya lazima ilindwe kwa nguvu zote, wao kama viongozi wameamua kuwarubuni wananchi kisa umaskini wa nchi, na kuachia watu wajifie kwa corona eti hawataki kuchukua tahadhari maana nchi itaadhirika kiuchumi, sisi hapa lazima kila mtu anayeingia ndani ya nchi apimwe, apimwe apimwe na apimwe....haijalishi watatulilia kwa kiasi gani, lazima wapimwe.

Hizo hasira zao ni cha mtoto sana na haziwezi kusababisha tubadilishe sera, huku tunapima hata wanaosafiri baina ya majimbo au gatuzi iwe kajamba kutoka nje ya nchi ndiye aruhusiwe kutuletea corona. Mambo ya hasira na mizuka ndio zetu tunafahamika Afrika, hivyo hamna jipya hapo, kumtukana rais wetu au Wakenya ni kitu kidogo sana.

Hayo mahindi mnakuja kutuuzia huku na malori tunanunua kwa hela yetu, hivyo haiwezekani tutumie hela zetu kununua corona pia, jeuri ya pesa inatuwezesha kununua mahindi popote tunataka, wewe unatuletea mahindi hakikisha unatii sheria na masharti yetu. Fika mpakani ufanye aidha mojawapo wa haya

- Upimwe corona na kuruhusiwa kupita au
- Upokeze lori lako kwa dereva wa huku ikiwemo hata kuwapa Watanzania walio huku, na lipulizwe kabisa na mtupiane funguo

Madereva wetu wasiruhusiwe kuingia Tanzania maana wakienda kule lazima wageuze na corona.

Inashangaza sana wataalam wa Tanzania wote chali, hakuna anayesema wala kushauri nchi, wameachia wanasiasa waseme vitu vya ajabu ajabu ambavyo haviendani na elimu yoyote ya sayansi.

Hii imesababisha Tanzania itengwe na majirani wote kuanzia SADC hadi EAC.

Mkulu wa Tanzania nilimsikia akisema dereva aliyejiendeshea lori kilomita 1,000km hana haja ya kupimwa, hiyo kuendesha gari kwa umbali ni ishara tosha kwamba ni mzima.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna video inasambaa kwenye mitandao inayomuonyesha RC wa Tanzania akimtukana rais wa Kenya na Wakenya, binafsi sijahangaika kuitazama maana nawafahamu Watanzania ndivyo walivyo, kwao hakuna tofauti ya malofa wa vijiweni na viongozi wa ngazi ya juu, kila mmoja huropokwa bila kuzingatia diplomasia au utaalam.

Muhimu sana asitokee kiongozi wa Kenya hata kwenye level ya mbunge kujishusha hadhi na kumjibu huyo mkuu wa mkoa, au kama vipi yule mbunge anaitwa Jaguar ndiye ajibu, maana yeye akiongea hujadiliwa na Tanzania yote hadi bungeni hadi na waziri mkuu.
Watanzania lazima waelewe kwetu hapa afya ya Wakenya lazima ilindwe kwa nguvu zote, wao kama viongozi wameamua kuwarubuni wananchi kisa umaskini wa nchi, na kuachia watu wajifie kwa corona eti hawataki kuchukua tahadhari maana nchi itaadhirika kiuchumi, sisi hapa lazima kila mtu anayeingia ndani ya nchi apimwe, apimwe apimwe na apimwe....haijalishi watatulilia kwa kiasi gani, lazima wapimwe.

Hizo hasira zao ni cha mtoto sana na haziwezi kusababisha tubadilishe sera, huku tunapima hata wanaosafiri baina ya majimbo au gatuzi iwe kajamba kutoka nje ya nchi ndiye aruhusiwe kutuletea corona. Mambo ya hasira na mizuka ndio zetu tunafahamika Afrika, hivyo hamna jipya hapo, kumtukana rais wetu au Wakenya ni kitu kidogo sana.

Hayo mahindi mnakuja kutuuzia huku na malori tunanunua kwa hela yetu, hivyo haiwezekani tutumie hela zetu kununua corona pia, jeuri ya pesa inatuwezesha kununua mahindi popote tunataka, wewe unatuletea mahindi hakikisha unatii sheria na masharti yetu. Fika mpakani ufanye aidha mojawapo wa haya

- Upimwe corona na kuruhusiwa kupita au
- Upokeze lori lako kwa dereva wa huku ikiwemo hata kuwapa Watanzania walio huku, na lipulizwe kabisa na mtupiane funguo

Madereva wetu wasiruhusiwe kuingia Tanzania maana wakienda kule lazima wageuze na corona.

Inashangaza sana wataalam wa Tanzania wote chali, hakuna anayesema wala kushauri nchi, wameachia wanasiasa waseme vitu vya ajabu ajabu ambavyo haviendani na elimu yoyote ya sayansi.

Hii imesababisha Tanzania itengwe na majirani wote kuanzia SADC hadi EAC.

Mkulu wa Tanzania nilimsikia akisema dereva aliyejiendeshea lori kilomita 1,000km hana haja ya kupimwa, hiyo kuendesha gari kwa umbali ni ishara tosha kwamba ni mzima.
Hivi wewe MK254 umepima Corona?
 
Habari kubwa Kenya Ni hatua hiyo ya Tanzania... Yaani huko Kenya wamechachawa haswa.

Ipo hivi

Kenya walikuwa Wana deal na Corona kwa mission kubwa mbili. Moja kuua kabisa Utalii wa Tanzania kwa kusema kuwa kila Dereva ana Corona that's means kuwa Watalii watakuwa wanaogopa Sana kuja nchini. Wanajua tungefaidika na Utalii ***ndi hiki ambacho wao wamejifungia.

Mission ya pili ilikuwa ni kutaka kupata fedha za IMF na kweli wamezipata tayari lakini Kitendo Cha sisi kuendelea na shughuli zetu Kama kawaida kimeonekana kina manufaa zaidi. Tayari Kenya wameshakopa USD 739 Milioni kwa ajili ya Corona. Hatua hii Tanzania waliikataa wao wameshachukua fedha hili ni deni kwa Taifa na Ni fedha nyingi sana.

Kuna Mwandishi mmoja wa Kenya anaitwa Gordon Opiyo ameandika kuhusu hatua hii ya Tanzania kufunga mipaka ameandika kuwa:-

Tanzania is hitting back. As I have been warning, we should be very careful about this Corona thing.

In my honest opinion, our Government is overreacting.We are over dramatizing Corona. I honestly doubt the figures "50 Tanzanians sent back" how comes Kenyans coming from Tanzania are turning out to be negative, and 90% of Tanzanian drivers are turning out to be positive??????????? Kwani Corona chooses Nationality?????

I think the US and WHO are using us to stigmitize Tanzanians after Magufuli refused to play ball and roll over like a puppy.

Honestly, if things were that bad, even the Truck Drivers arriving from Tanzania would be telling us stories about seeing bodies rotting in the streets...

I honestly think that we can't mess with our biggest trading partners like this, ata kama we are getting some token aid from United States and IMF.

Do you know that Markiti will collapse if we don't get supplies from Tanzania?
Do you know that Onion prices will triple if we do not get supplies from Tanzania?
Do you know that 70%of the Oranges you eat come from Tanzania????

We will face severe shortage, because cartels killed the Agricultural Sector in Kenya.

I would honestly ask all our decision makers to stop the Corona games and start thinking about the economy.
Pesa ya IMF tushapata. Tuwache hiyo mchezo Sasa.

CHA KUSHANGAZA.

Dereva wa Kenya akija kuchukua mzigo Tanzania anaweza kukaa Hadi wiki lakini akifika mpakani kwao anaonekana ni Negative lakini wa Tanzania ni positive. Madereva wa Kenya na raia wa Kenya wanaorudi Kenya toka Tanzania hawaonekani wakiwa na Corona kwa maana hiyo Corona inabagua Nationality.
 
kwamba nini labda, ndio tutaruhusu au kulegeza muingie bila kupimwa au siajaelewa lengo la kulialia kwenu.
KTN News ya Kenya wanasema Kamishna wa Tanga Martin Shigela amezuia Madereva wa Kenya kuingia Tanzania lkn anaruhusu wa Nchi nyingine kupita hapo Lungalunga mpakani
DW Swahili wamemhoji Mkuu wa Mkoa wa Tanga kasema kenya ndio kuna maambukizi mengi na wamefunga County nyingi
 
Kuna video inasambaa kwenye mitandao inayomuonyesha RC wa Tanzania akimtukana rais wa Kenya na Wakenya, binafsi sijahangaika kuitazama maana nawafahamu Watanzania ndivyo walivyo, kwao hakuna tofauti ya malofa wa vijiweni na viongozi wa ngazi ya juu, kila mmoja huropokwa bila kuzingatia diplomasia au utaalam.

Muhimu sana asitokee kiongozi wa Kenya hata kwenye level ya mbunge kujishusha hadhi na kumjibu huyo mkuu wa mkoa, au kama vipi yule mbunge anaitwa Jaguar ndiye ajibu, maana yeye akiongea hujadiliwa na Tanzania yote hadi bungeni hadi na waziri mkuu.
Watanzania lazima waelewe kwetu hapa afya ya Wakenya lazima ilindwe kwa nguvu zote, wao kama viongozi wameamua kuwarubuni wananchi kisa umaskini wa nchi, na kuachia watu wajifie kwa corona eti hawataki kuchukua tahadhari maana nchi itaadhirika kiuchumi, sisi hapa lazima kila mtu anayeingia ndani ya nchi apimwe, apimwe apimwe na apimwe....haijalishi watatulilia kwa kiasi gani, lazima wapimwe.

Hizo hasira zao ni cha mtoto sana na haziwezi kusababisha tubadilishe sera, huku tunapima hata wanaosafiri baina ya majimbo au gatuzi iwe kajamba kutoka nje ya nchi ndiye aruhusiwe kutuletea corona. Mambo ya hasira na mizuka ndio zetu tunafahamika Afrika, hivyo hamna jipya hapo, kumtukana rais wetu au Wakenya ni kitu kidogo sana.

Hayo mahindi mnakuja kutuuzia huku na malori tunanunua kwa hela yetu, hivyo haiwezekani tutumie hela zetu kununua corona pia, jeuri ya pesa inatuwezesha kununua mahindi popote tunataka, wewe unatuletea mahindi hakikisha unatii sheria na masharti yetu. Fika mpakani ufanye aidha mojawapo wa haya

- Upimwe corona na kuruhusiwa kupita au
- Upokeze lori lako kwa dereva wa huku ikiwemo hata kuwapa Watanzania walio huku, na lipulizwe kabisa na mtupiane funguo

Madereva wetu wasiruhusiwe kuingia Tanzania maana wakienda kule lazima wageuze na corona.

Inashangaza sana wataalam wa Tanzania wote chali, hakuna anayesema wala kushauri nchi, wameachia wanasiasa waseme vitu vya ajabu ajabu ambavyo haviendani na elimu yoyote ya sayansi.

Hii imesababisha Tanzania itengwe na majirani wote kuanzia SADC hadi EAC.

Mkulu wa Tanzania nilimsikia akisema dereva aliyejiendeshea lori kilomita 1,000km hana haja ya kupimwa, hiyo kuendesha gari kwa umbali ni ishara tosha kwamba ni mzima.
Embu Tunga sentes mbili kulingana na hii video inayo sema je Tanzania na Kenya Nan anasambaza Corona?

Hivi wewe MK254 NI ke au me? kama ni me utakuwa unatokea mombasa!
 
Back
Top Bottom