Atafutwe diwani wa Kenya, muongea hovyona mropokwaji amjibu RC wa Tanzania

Mbona lazima waisome namba wao c wanatumia takwimu na sisi hivyo hivyo tunatumia takwimu zao za kufunga kaunti nyingi inamaanisha wanamaambukizi mengi
KTN News ya Kenya wanasema Kamishna wa Tanga Martin Shigela amezuia Madereva wa Kenya kuingia Tanzania lkn anaruhusu wa Nchi nyingine kupita hapo Lungalunga mpakani
DW Swahili wamemhoji Mkuu wa Mkoa wa Tanga kasema kenya ndio kuna maambukizi mengi na wamefunga County nyingi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii hapa, hehehe!!! Poleni lakini hatulegezi, hakuna jirani ynu atalegeza kwa sasa, nyie endeleeni kujifia kwa corona huko lakini msituletee balaa lenu...
Balozi wako analia huku
 
Balozi wako analia huku

Balozi amefanya yale yale ya miaka yote, kuwaita ndugu, ohh mara tunachangia mpaka, mara makabila lakini...liko pale pale lazima mpimwe...hamuingii kizembe....kila mgeni au hata mzawa anayeingia Kenya lazima apimwe, na lazima mpimwe mkiingia kweye nch yoyote majiran zenu EAC au SADC yote...kwa sasa mnanuka corona nyote.
 
Kenya wanahisi lockdown inaondoa Corona..wakati wataalamu wanasema lockdown inapunguza Kinga mwili...
Hicho kiburi walichonacho Ni kwa sababu ya hizo lockdown na fumigation wanazofanya..Sasa ukija kwenye reality maambukizi kwao ni worse kwa sababu ya Kinga kuwa Chini.
Mijinga sana hawa watu

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 
Au kama vipi aitwe Jaguar amjibu jamaa. Jaguar ndiye akiongea hujadiliwa Tanzania yote hadi bungeni mpaka na waziri mkuu.
Who the hell is he hyo jaguar his nobody
Mmefungiwa lockdwn mnaishia kubanduana tu
Nasiikia mnajiandaa kwenda somalia na ethiopia
Muwe mna chkua nafaka huko

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 
Kuna video inasambaa kwenye mitandao inayomuonyesha RC wa Tanzania akimtukana rais wa Kenya na Wakenya, binafsi sijahangaika kuitazama maana nawafahamu Watanzania ndivyo walivyo, kwao hakuna tofauti ya malofa wa vijiweni na viongozi wa ngazi ya juu, kila mmoja huropokwa bila kuzingatia diplomasia au utaalam.

Muhimu sana asitokee kiongozi wa Kenya hata kwenye level ya mbunge kujishusha hadhi na kumjibu huyo mkuu wa mkoa, au kama vipi yule mbunge anaitwa Jaguar ndiye ajibu, maana yeye akiongea hujadiliwa na Tanzania yote hadi bungeni hadi na waziri mkuu.
Watanzania lazima waelewe kwetu hapa afya ya Wakenya lazima ilindwe kwa nguvu zote, wao kama viongozi wameamua kuwarubuni wananchi kisa umaskini wa nchi, na kuachia watu wajifie kwa corona eti hawataki kuchukua tahadhari maana nchi itaadhirika kiuchumi, sisi hapa lazima kila mtu anayeingia ndani ya nchi apimwe, apimwe apimwe na apimwe....haijalishi watatulilia kwa kiasi gani, lazima wapimwe.

Hizo hasira zao ni cha mtoto sana na haziwezi kusababisha tubadilishe sera, huku tunapima hata wanaosafiri baina ya majimbo au gatuzi iwe kajamba kutoka nje ya nchi ndiye aruhusiwe kutuletea corona. Mambo ya hasira na mizuka ndio zetu tunafahamika Afrika, hivyo hamna jipya hapo, kumtukana rais wetu au Wakenya ni kitu kidogo sana.

Hayo mahindi mnakuja kutuuzia huku na malori tunanunua kwa hela yetu, hivyo haiwezekani tutumie hela zetu kununua corona pia, jeuri ya pesa inatuwezesha kununua mahindi popote tunataka, wewe unatuletea mahindi hakikisha unatii sheria na masharti yetu. Fika mpakani ufanye aidha mojawapo wa haya

- Upimwe corona na kuruhusiwa kupita au
- Upokeze lori lako kwa dereva wa huku ikiwemo hata kuwapa Watanzania walio huku, na lipulizwe kabisa na mtupiane funguo

Madereva wetu wasiruhusiwe kuingia Tanzania maana wakienda kule lazima wageuze na corona.

Inashangaza sana wataalam wa Tanzania wote chali, hakuna anayesema wala kushauri nchi, wameachia wanasiasa waseme vitu vya ajabu ajabu ambavyo haviendani na elimu yoyote ya sayansi.

Hii imesababisha Tanzania itengwe na majirani wote kuanzia SADC hadi EAC.

Mkulu wa Tanzania nilimsikia akisema dereva aliyejiendeshea lori kilomita 1,000km hana haja ya kupimwa, hiyo kuendesha gari kwa umbali ni ishara tosha kwamba ni mzima.
Tupo Mwaka was kampeni tena ni Octoba so wacha tupige siasa Colona itajipanga...Magu Tano tena hoyeeeee!
 
Who the hell is he hyo jaguar his nobody
Mmefungiwa lockdwn mnaishia kubanduana tu
Nasiikia mnajiandaa kwenda somalia na ethiopia
Muwe mna chkua nafaka huko

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app

Lazima mpimwe, hamtaingia kwenye nchi yoyote majirani zenu bila kupimwa, mengine yote ni mbwembwe...
 
Wewe umekiri mwenyewe hujasikiliza matamshi ya RC Shigella, hoja ya matusi kuwatukana Drunken man na wakenya imetoka wapi? Sikiliza alichosema mkuu wa mkoa siyo kukimbilia kuanzisha uzi.

Mkitukera sana tutafuta kila post ya mkenya humu ndani
Kuna video inasambaa kwenye mitandao inayomuonyesha RC wa Tanzania akimtukana rais wa Kenya na Wakenya, binafsi sijahangaika kuitazama maana nawafahamu Watanzania ndivyo walivyo, kwao hakuna tofauti ya malofa wa vijiweni na viongozi wa ngazi ya juu, kila mmoja huropokwa bila kuzingatia diplomasia au utaalam.

Muhimu sana asitokee kiongozi wa Kenya hata kwenye level ya mbunge kujishusha hadhi na kumjibu huyo mkuu wa mkoa, au kama vipi yule mbunge anaitwa Jaguar ndiye ajibu, maana yeye akiongea hujadiliwa na Tanzania yote hadi bungeni hadi na waziri mkuu.
Watanzania lazima waelewe kwetu hapa afya ya Wakenya lazima ilindwe kwa nguvu zote, wao kama viongozi wameamua kuwarubuni wananchi kisa umaskini wa nchi, na kuachia watu wajifie kwa corona eti hawataki kuchukua tahadhari maana nchi itaadhirika kiuchumi, sisi hapa lazima kila mtu anayeingia ndani ya nchi apimwe, apimwe apimwe na apimwe....haijalishi watatulilia kwa kiasi gani, lazima wapimwe.

Hizo hasira zao ni cha mtoto sana na haziwezi kusababisha tubadilishe sera, huku tunapima hata wanaosafiri baina ya majimbo au gatuzi iwe kajamba kutoka nje ya nchi ndiye aruhusiwe kutuletea corona. Mambo ya hasira na mizuka ndio zetu tunafahamika Afrika, hivyo hamna jipya hapo, kumtukana rais wetu au Wakenya ni kitu kidogo sana.

Hayo mahindi mnakuja kutuuzia huku na malori tunanunua kwa hela yetu, hivyo haiwezekani tutumie hela zetu kununua corona pia, jeuri ya pesa inatuwezesha kununua mahindi popote tunataka, wewe unatuletea mahindi hakikisha unatii sheria na masharti yetu. Fika mpakani ufanye aidha mojawapo wa haya

- Upimwe corona na kuruhusiwa kupita au
- Upokeze lori lako kwa dereva wa huku ikiwemo hata kuwapa Watanzania walio huku, na lipulizwe kabisa na mtupiane funguo

Madereva wetu wasiruhusiwe kuingia Tanzania maana wakienda kule lazima wageuze na corona.

Inashangaza sana wataalam wa Tanzania wote chali, hakuna anayesema wala kushauri nchi, wameachia wanasiasa waseme vitu vya ajabu ajabu ambavyo haviendani na elimu yoyote ya sayansi.

Hii imesababisha Tanzania itengwe na majirani wote kuanzia SADC hadi EAC.

Mkulu wa Tanzania nilimsikia akisema dereva aliyejiendeshea lori kilomita 1,000km hana haja ya kupimwa, hiyo kuendesha gari kwa umbali ni ishara tosha kwamba ni mzima.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe umekiri mwenyewe hujasikiliza matamshi ya RC Shigella, hoja ya matusi kuwatukana Drunken man na wakenya imetoka wapi? Sikiliza alichosema mkuu wa mkoa siyo kukimbilia kuanzisha uzi.

Mkitukera sana tutafuta kila post ya mkenya humu ndani

Sent using Jamii Forums mobile app

Ingeeleweka kama mngekutwa na corona kila mnapopimwa na Wakenya, ila hili linatendeka kwa majirani zenu wote, nenda Rwanda, Zambia, Uganda na kote kila wakiwapima wanawakuta na corona, sasa mnalazimishia muingie nchi za watu bila kupimwa, haliwezekani hilo.
 
Haiwezekani kila mtanzania awe +, chunguzeni test kits. Sasa kwa kuwa hamtaki tuingie, nyie muingie kwetu kwa hoja gani? Kila mtu abakie kwake.

Kwa ufupi sana, pesa mlizokula toka kwa mabeberu mtakuja kugundua kuwa zimewasababishia hasara kuliko faida. Uchumi utatetereka, watu watakufa kwa njaa, familia maskini ambazo ni nyingi Kenya zitataabika.

Endeleeni kutekeleza masharti ya mikataba ya who, wb na imf

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haiwezekani kila mtanzania awe +, chunguzeni test kits. Sasa kwa kuwa hamtaki tuingie, nyie muingie kwetu kwa hoja gani? Kila mtu abakie kwake.

Sent using Jamii Forums mobile app

Kama mnashuku kits za majirani zenu mbona msiwe na wataalam wenu hapo mpakani wa kuthibitisha, mnaogopa nini. Au mje na kits zenu.
Mnapong'ang'ania kuingia kwenye nchi za watu lazima mkubali kufuata masharti yao, ukija unanuka corona lazima ugeuzwe papo hapo, hata ukipiga ukunga hautasklizwa.
 
Sisi hatung'ang'anii mzee kuja kenya, tumesema ili kudhibiti maambukizi iila mtu abakie kwake. Kwani tukifa kwa corona unaumia kwa sababu gani?

Msalimie Jehovah Wanyonyi
Kama mnashuku kits za majirani zenu mbona msiwe na wataalam wenu hapo mpakani wa kuthibitisha, mnaogopa nini. Au mje na kits zenu.
Mnapong'ang'ania kuingia kwenye nchi za watu lazima mkubali kufuata masharti yao, ukija unanuka corona lazima ugeuzwe papo hapo, hata ukipiga ukunga hautasklizwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Balozi amefanya yale yale ya miaka yote, kuwaita ndugu, ohh mara tunachangia mpaka, mara makabila lakini...liko pale pale lazima mpimwe...hamuingii kizembe....kila mgeni au hata mzawa anayeingia Kenya lazima apimwe, na lazima mpimwe mkiingia kweye nch yoyote majiran zenu EAC au SADC yote...kwa sasa mnanuka corona nyote.
Hii ni kawaida yenu mwisho wa siku mnalegea
Mlizuia gari za Tanzania.kuchukua watalii Jomo Kenyatta,tukapunguza safari za KQ toka 49,mpaka 7 kwa wiki Uhuru alikuja mwenyewe kwa miguu kuomba suluhu
Mpaka umefungwa siku moja tu balozi kaita waandishi,safari hii mtakiona cha moto maana simu haIpokelewi,ile kabudi alipokea kwa sababu kazungu alitumia simu ya mkeqw,lakini jibu alilopewa kuwa waziri yupo bize mpaka wiki ijayooo
Machungwa,nyanya,vitunguu vimeshapotea kwa sasa,bado.mahindi
 
Sisi hatung'ang'anii mzee kuja kenya, tumesema ili kudhibiti maambukizi iila mtu abakie kwake. Kwani tukifa kwa corona unaumia kwa sababu gani?

Msalimie Jehovah Wanyonyi

Sent using Jamii Forums mobile app

Sasa mbona mnapiga makelele tukilazimisha kila kajamba anayeng'ang'ania kuingia kwetu apimwe....aidha mbaki huko kwenu ila mkipambana mnataka kuja kwetu lazima mpimwe na ukigunduliwa na corona unatolewa nduki urudi huko huko muambukizane hadi mtie akili.
 
Back
Top Bottom