Mbolabilika
JF-Expert Member
- Jul 30, 2019
- 2,128
- 2,867
KTN News ya Kenya wanasema Kamishna wa Tanga Martin Shigela amezuia Madereva wa Kenya kuingia Tanzania lkn anaruhusu wa Nchi nyingine kupita hapo Lungalunga mpakani
DW Swahili wamemhoji Mkuu wa Mkoa wa Tanga kasema kenya ndio kuna maambukizi mengi na wamefunga County nyingi
Mungu wangu!!!Embu Tunga sentes mbili kulingana na hii video inayo sema je Tanzania na Kenya Nan anasambaza Corona?
View attachment 1454027
Sent using Jamii Forums mobile app
Balozi wako analia hukuHii hapa, hehehe!!! Poleni lakini hatulegezi, hakuna jirani ynu atalegeza kwa sasa, nyie endeleeni kujifia kwa corona huko lakini msituletee balaa lenu...
Balozi wako analia huku
English medium kwishnehi[emoji23][emoji23][emoji23]Sindano ishaanza kuwaingia,mambo ndio kwanza yanaanza,tunazisubiria,na work permit fee kwa walimu wanaotoka nje ya Tanzania kuwa $4000
Mijinga sana hawa watuKenya wanahisi lockdown inaondoa Corona..wakati wataalamu wanasema lockdown inapunguza Kinga mwili...
Hicho kiburi walichonacho Ni kwa sababu ya hizo lockdown na fumigation wanazofanya..Sasa ukija kwenye reality maambukizi kwao ni worse kwa sababu ya Kinga kuwa Chini.
Who the hell is he hyo jaguar his nobodyAu kama vipi aitwe Jaguar amjibu jamaa. Jaguar ndiye akiongea hujadiliwa Tanzania yote hadi bungeni mpaka na waziri mkuu.
Tupo Mwaka was kampeni tena ni Octoba so wacha tupige siasa Colona itajipanga...Magu Tano tena hoyeeeee!Kuna video inasambaa kwenye mitandao inayomuonyesha RC wa Tanzania akimtukana rais wa Kenya na Wakenya, binafsi sijahangaika kuitazama maana nawafahamu Watanzania ndivyo walivyo, kwao hakuna tofauti ya malofa wa vijiweni na viongozi wa ngazi ya juu, kila mmoja huropokwa bila kuzingatia diplomasia au utaalam.
Muhimu sana asitokee kiongozi wa Kenya hata kwenye level ya mbunge kujishusha hadhi na kumjibu huyo mkuu wa mkoa, au kama vipi yule mbunge anaitwa Jaguar ndiye ajibu, maana yeye akiongea hujadiliwa na Tanzania yote hadi bungeni hadi na waziri mkuu.
Watanzania lazima waelewe kwetu hapa afya ya Wakenya lazima ilindwe kwa nguvu zote, wao kama viongozi wameamua kuwarubuni wananchi kisa umaskini wa nchi, na kuachia watu wajifie kwa corona eti hawataki kuchukua tahadhari maana nchi itaadhirika kiuchumi, sisi hapa lazima kila mtu anayeingia ndani ya nchi apimwe, apimwe apimwe na apimwe....haijalishi watatulilia kwa kiasi gani, lazima wapimwe.
Hizo hasira zao ni cha mtoto sana na haziwezi kusababisha tubadilishe sera, huku tunapima hata wanaosafiri baina ya majimbo au gatuzi iwe kajamba kutoka nje ya nchi ndiye aruhusiwe kutuletea corona. Mambo ya hasira na mizuka ndio zetu tunafahamika Afrika, hivyo hamna jipya hapo, kumtukana rais wetu au Wakenya ni kitu kidogo sana.
Hayo mahindi mnakuja kutuuzia huku na malori tunanunua kwa hela yetu, hivyo haiwezekani tutumie hela zetu kununua corona pia, jeuri ya pesa inatuwezesha kununua mahindi popote tunataka, wewe unatuletea mahindi hakikisha unatii sheria na masharti yetu. Fika mpakani ufanye aidha mojawapo wa haya
- Upimwe corona na kuruhusiwa kupita au
- Upokeze lori lako kwa dereva wa huku ikiwemo hata kuwapa Watanzania walio huku, na lipulizwe kabisa na mtupiane funguo
Madereva wetu wasiruhusiwe kuingia Tanzania maana wakienda kule lazima wageuze na corona.
Inashangaza sana wataalam wa Tanzania wote chali, hakuna anayesema wala kushauri nchi, wameachia wanasiasa waseme vitu vya ajabu ajabu ambavyo haviendani na elimu yoyote ya sayansi.
Hii imesababisha Tanzania itengwe na majirani wote kuanzia SADC hadi EAC.
Mkulu wa Tanzania nilimsikia akisema dereva aliyejiendeshea lori kilomita 1,000km hana haja ya kupimwa, hiyo kuendesha gari kwa umbali ni ishara tosha kwamba ni mzima.
Who the hell is he hyo jaguar his nobody
Mmefungiwa lockdwn mnaishia kubanduana tu
Nasiikia mnajiandaa kwenda somalia na ethiopia
Muwe mna chkua nafaka huko
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Kuna video inasambaa kwenye mitandao inayomuonyesha RC wa Tanzania akimtukana rais wa Kenya na Wakenya, binafsi sijahangaika kuitazama maana nawafahamu Watanzania ndivyo walivyo, kwao hakuna tofauti ya malofa wa vijiweni na viongozi wa ngazi ya juu, kila mmoja huropokwa bila kuzingatia diplomasia au utaalam.
Muhimu sana asitokee kiongozi wa Kenya hata kwenye level ya mbunge kujishusha hadhi na kumjibu huyo mkuu wa mkoa, au kama vipi yule mbunge anaitwa Jaguar ndiye ajibu, maana yeye akiongea hujadiliwa na Tanzania yote hadi bungeni hadi na waziri mkuu.
Watanzania lazima waelewe kwetu hapa afya ya Wakenya lazima ilindwe kwa nguvu zote, wao kama viongozi wameamua kuwarubuni wananchi kisa umaskini wa nchi, na kuachia watu wajifie kwa corona eti hawataki kuchukua tahadhari maana nchi itaadhirika kiuchumi, sisi hapa lazima kila mtu anayeingia ndani ya nchi apimwe, apimwe apimwe na apimwe....haijalishi watatulilia kwa kiasi gani, lazima wapimwe.
Hizo hasira zao ni cha mtoto sana na haziwezi kusababisha tubadilishe sera, huku tunapima hata wanaosafiri baina ya majimbo au gatuzi iwe kajamba kutoka nje ya nchi ndiye aruhusiwe kutuletea corona. Mambo ya hasira na mizuka ndio zetu tunafahamika Afrika, hivyo hamna jipya hapo, kumtukana rais wetu au Wakenya ni kitu kidogo sana.
Hayo mahindi mnakuja kutuuzia huku na malori tunanunua kwa hela yetu, hivyo haiwezekani tutumie hela zetu kununua corona pia, jeuri ya pesa inatuwezesha kununua mahindi popote tunataka, wewe unatuletea mahindi hakikisha unatii sheria na masharti yetu. Fika mpakani ufanye aidha mojawapo wa haya
- Upimwe corona na kuruhusiwa kupita au
- Upokeze lori lako kwa dereva wa huku ikiwemo hata kuwapa Watanzania walio huku, na lipulizwe kabisa na mtupiane funguo
Madereva wetu wasiruhusiwe kuingia Tanzania maana wakienda kule lazima wageuze na corona.
Inashangaza sana wataalam wa Tanzania wote chali, hakuna anayesema wala kushauri nchi, wameachia wanasiasa waseme vitu vya ajabu ajabu ambavyo haviendani na elimu yoyote ya sayansi.
Hii imesababisha Tanzania itengwe na majirani wote kuanzia SADC hadi EAC.
Mkulu wa Tanzania nilimsikia akisema dereva aliyejiendeshea lori kilomita 1,000km hana haja ya kupimwa, hiyo kuendesha gari kwa umbali ni ishara tosha kwamba ni mzima.
Naona umeamua kumfanyia matangazo huyo Mkuu wa Mkoa, mimi nilikuwa hata sijui kuhusu hilo, sasa ngoja nikaitafute hiyo video, ...
Wewe umekiri mwenyewe hujasikiliza matamshi ya RC Shigella, hoja ya matusi kuwatukana Drunken man na wakenya imetoka wapi? Sikiliza alichosema mkuu wa mkoa siyo kukimbilia kuanzisha uzi.
Mkitukera sana tutafuta kila post ya mkenya humu ndani
Sent using Jamii Forums mobile app
Ingeeleweka kama mngekutwa na corona kila mnapopimwa na Wakenya, ila hili linatendeka kwa majirani zenu wote, nenda Rwanda, Zambia, Uganda na kote kila wakiwapima wanawakuta na corona, sasa mnalazimishia muingie nchi za watu bila kupimwa, haliwezekani hilo.
Haiwezekani kila mtanzania awe +, chunguzeni test kits. Sasa kwa kuwa hamtaki tuingie, nyie muingie kwetu kwa hoja gani? Kila mtu abakie kwake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama mnashuku kits za majirani zenu mbona msiwe na wataalam wenu hapo mpakani wa kuthibitisha, mnaogopa nini. Au mje na kits zenu.
Mnapong'ang'ania kuingia kwenye nchi za watu lazima mkubali kufuata masharti yao, ukija unanuka corona lazima ugeuzwe papo hapo, hata ukipiga ukunga hautasklizwa.
Hii ni kawaida yenu mwisho wa siku mnalegeaBalozi amefanya yale yale ya miaka yote, kuwaita ndugu, ohh mara tunachangia mpaka, mara makabila lakini...liko pale pale lazima mpimwe...hamuingii kizembe....kila mgeni au hata mzawa anayeingia Kenya lazima apimwe, na lazima mpimwe mkiingia kweye nch yoyote majiran zenu EAC au SADC yote...kwa sasa mnanuka corona nyote.
Sisi hatung'ang'anii mzee kuja kenya, tumesema ili kudhibiti maambukizi iila mtu abakie kwake. Kwani tukifa kwa corona unaumia kwa sababu gani?
Msalimie Jehovah Wanyonyi
Sent using Jamii Forums mobile app