chazachaza
JF-Expert Member
- Feb 21, 2018
- 2,829
- 3,835
Hawezi kubali atapigwa chini2025 tunampa tena, na akitaka kuwakomesha atupe Katiba mpya, tena Ile ya Warioba.
Akae akijua ni Mungu ndiye kamuweka pale Ili atupatie nuru na machweo mapya (Katiba mpya).....katika waliobaki sioni wa kukalia kile kiti kisha tukasalimika, lazima tuwe na Katiba ya kuwadhibiti.
Samia tunakuomba tuvushe, Mungu amekuchagua utuvushe, tuachie Katiba ya Warioba.
TrueSasa upinzani kazi yake sio kusubiri hisani ya raisi, Bali ni kushinikiza na ndio maana unaonaga watu wanaandamana
Naunga mkono hoja katiba mpya ni haki yetu siyo hisani yakeImani yako ni potofu. Wale tu waliokua wanafanya vikao vya ndani kuhusu katiba salikamatwa wakalala selo
Mwingine kapewa ugaidi.
Katiba kuleta kwa kupenda yeye hilo halipo, yeye yupo pale kwa sababu ya CCM.
2025 tunampa tena, na akitaka kuwakomesha atupe Katiba mpya, tena Ile ya Warioba.
Akae akijua ni Mungu ndiye kamuweka pale Ili atupatie nuru na machweo mapya (Katiba mpya).....katika waliobaki sioni wa kukalia kile kiti kisha tukasalimika, lazima tuwe na Katiba ya kuwadhibiti.
Samia tunakuomba tuvushe, Mungu amekuchagua utuvushe, tuachie Katiba ya Warioba.
Kwema wakuu!
Kila nikijitahidi kumtetea naona inakataa. Kila nikijaribu kuona Kama itawezekana naona haiwezekani.
Anaweza fanya mazuri kuliko waliopita lakini jicho langu kutoka nyota ya Tibeli halimuoni kama atakubalika na wacheza Amapiano.
Sapoti ni Kama itaanza kuyeyuka Sirius kuanzia 2023, mivurugano mikali na mafarakano yapo waziwazi.
Lango litakuwa wazi lakini litakuwa na mitego mingi mibaya. Ataingia lakini atajikuta yupo nje. Atasema lakini ataona anajifokea mwenyewe. Atajipamba lakini atajiona dhalili. Sijui kwakweli!
Kama atakuwa mjanja ataaga na kuacha lango Kwa wategaji lakini wapiga Amapiano nao watavurugana na watega mitego. Hapa kazi ipo.
Sisi tutaangalia tuu.
Labda akinambia nimshauri; anaweza zichanga karata zake na Makuhani wavaa majoho huko madhabahuni ingawaje jicho langu linawaona makuhani mwakani 2022 wakitema dhabihu na kuchoma uvumba, akiwawahi mapema hawezitema nyongo, na hiyo inaweza kuwa Dalili nzuri.
Akiwashika Mkono maliwali, makadhi, maakida na jemadari huenda ikawa Kheri kwake lakini asichelewe Sana.
Hofu yangu ipo Kwa watega mitego, na wacheza Amapiano ambao wanataka kutrend Kwa kila Ngoma wanaoiachia hawa wanataka mpaka 2025 wawe wamekubalika.
Niishie hapa tuu
Kumbuka 2022 ni mwaka wa Makuhani kutema nyongo na kufukiza uvumba. Bahati sio mbali ni wiki moja ijayo.
Wasalamu!
Samia Hadi 2035, hakuna mbwa wakumpinga,Kwema wakuu!

Yaani avae viatu vya dikteta muuaji,Akipambana akafanya adjustment ya viatu vya mwendazake vikimtosha vizuri na wapitanjia wakiona kweli vimemtosha wakati anatembea na hata akikimbia haanguki,basi nakuhakikishia 2025 mapema sa5 asubuhi atakuwa anademka tu na miluzi kibao.
Ila nnamashaka msoga anaweza akamuingiza chaka, na hawa nyumbu akiwasikiliza ndio atalikoroga kabisa.
Awaangalie sana hawa wanafiki asidhani wanamsifia bure wanamchongowao,wanataka ajenda zao zikamilike.
CCM hii,sio hile ya washamba,chama kimerudi kwa wenyewe, atakaeleta fyokofyoko anatiwa adabuvita ya kimbari inainyemelea ccm kuelekea 2025
Samia ni dhaifu.Aondoke.Kwema wakuu!
Kila nikijitahidi kumtetea naona inakataa. Kila nikijaribu kuona Kama itawezekana naona haiwezekani.
Anaweza fanya mazuri kuliko waliopita lakini jicho langu kutoka nyota ya Tibeli halimuoni kama atakubalika na wacheza Amapiano.
Sapoti ni Kama itaanza kuyeyuka Sirius kuanzia 2023, mivurugano mikali na mafarakano yapo waziwazi.
Lango litakuwa wazi lakini litakuwa na mitego mingi mibaya. Ataingia lakini atajikuta yupo nje. Atasema lakini ataona anajifokea mwenyewe. Atajipamba lakini atajiona dhalili. Sijui kwakweli!
Kama atakuwa mjanja ataaga na kuacha lango Kwa wategaji lakini wapiga Amapiano nao watavurugana na watega mitego. Hapa kazi ipo.
Sisi tutaangalia tuu.
Labda akinambia nimshauri; anaweza zichanga karata zake na Makuhani wavaa majoho huko madhabahuni ingawaje jicho langu linawaona makuhani mwakani 2022 wakitema dhabihu na kuchoma uvumba, akiwawahi mapema hawezitema nyongo, na hiyo inaweza kuwa Dalili nzuri.
Akiwashika Mkono maliwali, makadhi, maakida na jemadari huenda ikawa Kheri kwake lakini asichelewe Sana.
Hofu yangu ipo Kwa watega mitego, na wacheza Amapiano ambao wanataka kutrend Kwa kila Ngoma wanaoiachia hawa wanataka mpaka 2025 wawe wamekubalika.
Niishie hapa tuu
Kumbuka 2022 ni mwaka wa Makuhani kutema nyongo na kufukiza uvumba. Bahati sio mbali ni wiki moja ijayo.
Wasalamu!
Atapigwa chini na nani mkuuHawezi kubali atapigwa chini
Hii inchi ni tofauti mnavyozungumza mamlaka ya Rais yalivyo.utafikiri Rais ni sawa na balozi wa nyumba kumi hivi mnafikiri Samia ni kilaza sana.hakuna wa kumsumbua samia hata kidogo na hakuna watu wepesi kuwatawala na wanafiki kama ccm mkuu.Akipambana akafanya adjustment ya viatu vya mwendazake vikimtosha vizuri na wapitanjia wakiona kweli vimemtosha wakati anatembea na hata akikimbia haanguki,basi nakuhakikishia 2025 mapema sa5 asubuhi atakuwa anademka tu na miluzi kibao.
Ila nnamashaka msoga anaweza akamuingiza chaka, na hawa nyumbu akiwasikiliza ndio atalikoroga kabisa.
Awaangalie sana hawa wanafiki asidhani wanamsifia bure wanamchongowao,wanataka ajenda zao zikamilike.
Hakuna cha vita wala ndugu yake vita hao wameachwa wabwekeeee halafu wanaenda kulala habari yao imeshia hapo.muulize lowasavita ya kimbari inainyemelea ccm kuelekea 2025
Nawashangaa wanaosema ccm sijui kumevurugika watu hawaijui inchi hiiCCM hii,sio hile ya washamba,chama kimerudi kwa wenyewe, atakaeleta fyokofyoko anatiwa adabu
Mkuu kutokana na namna ambavyo una zoom kwa jicho lako, vipi hao watega mitego ni akina nani hao?? Na vipi wacheza amapiano ni akina nani nao??Kwema wakuu!
Kila nikijitahidi kumtetea naona inakataa. Kila nikijaribu kuona Kama itawezekana naona haiwezekani.
Anaweza fanya mazuri kuliko waliopita lakini jicho langu kutoka nyota ya Tibeli halimuoni kama atakubalika na wacheza Amapiano.
Sapoti ni Kama itaanza kuyeyuka Sirius kuanzia 2023, mivurugano mikali na mafarakano yapo waziwazi.
Lango litakuwa wazi lakini litakuwa na mitego mingi mibaya. Ataingia lakini atajikuta yupo nje. Atasema lakini ataona anajifokea mwenyewe. Atajipamba lakini atajiona dhalili. Sijui kwakweli!
Kama atakuwa mjanja ataaga na kuacha lango Kwa wategaji lakini wapiga Amapiano nao watavurugana na watega mitego. Hapa kazi ipo.
Sisi tutaangalia tuu.
Labda akinambia nimshauri; anaweza zichanga karata zake na Makuhani wavaa majoho huko madhabahuni ingawaje jicho langu linawaona makuhani mwakani 2022 wakitema dhabihu na kuchoma uvumba, akiwawahi mapema hawezitema nyongo, na hiyo inaweza kuwa Dalili nzuri.
Akiwashika Mkono maliwali, makadhi, maakida na jemadari huenda ikawa Kheri kwake lakini asichelewe Sana.
Hofu yangu ipo Kwa watega mitego, na wacheza Amapiano ambao wanataka kutrend Kwa kila Ngoma wanaoiachia hawa wanataka mpaka 2025 wawe wamekubalika.
Niishie hapa tuu
Kumbuka 2022 ni mwaka wa Makuhani kutema nyongo na kufukiza uvumba. Bahati sio mbali ni wiki moja ijayo.
Wasalamu!
gpm alikuwa na misimamo au dikteta,Mkuu Heriel nikuambie tu Raisi ajaye ni muislamu Mwanamme mwenye misimamo kama ya jpm!!!Mama kaishafeli ameanza kampeni mapema mno!!Ndugai na pole pole hawabweki Bure wameona mnofu mahali!!
Sisi mbwa?hata wewe unafaa usijidharau!!!gpm alikuwa na misimamo au dikteta,
Samia yupo Hadi 2035, nyie mbwa mnajipa matumaini hewa
gpm alikuwa na misimamo au dikteta,
Samia yupo Hadi 2035, nyie mbwa mnajipa matumaini hewa
Madai ya katiba mpyambona yalianza toka mwisho mwa miaka ya 80 mpaka leo ni muendelezo hakuna timingSijabisha, na inaniuma yeye kuwa ndani....tulipotofautiana Mimi na yeye ni timing ya kudai Katiba, bhaaas