Atajitahidi lakini watega mitego na wacheza Amapiano 2025 wamedhamiria

Mkuu Heriel nikuambie tu Raisi ajaye ni muislamu Mwanamme mwenye misimamo kama ya jpm!!!Mama kaishafeli ameanza kampeni mapema mno!!Ndugai na pole pole hawabweki Bure wameona mnofu mahali!!
"Rais ajaye ni Mwanamke.... Mwenye misimamo kama ya JPM" vipi huyo ni Jennista Mhagama au??
 
Wale hata Mimi walinikera, mtu kaingia madarakani miezi sita hana mnamdai Katiba? Mtu mwenyewe kaachiwa mamiradi mikubwa ambayo pesa za kuiendeleza haijulikani inatokea wapi, ndo yanakuja haya ya asikope, tukamuane.....wakati huo huo miaka iliyopita Katiba ilikuwa inasiginwa kweli kweli walinyamaza, tena walikimbia nchi wakituacha tusio na Kwa kukimbilia tuteseke peke yetu.
Tumpe muda, dereva azoee gari, kisha tumuelekeze tunataka kupita njia gani.
Hoja za kindezi Sana hizi daah, sijawahi kuona duniani kote kudai katiba kuwa ni hisani. Hivi umewahi kujiuliza hii katiba, ambayo hata Nyerere Mara kadhaa amewahi kunukuliwa akisema ni rahisi Sana kutumiwa vibaya kama kiongozi hatakuwa makini, je iliwahi kubadilishwa kwa njia shirikishi?
 
Kwema wakuu!

Kila nikijitahidi kumtetea naona inakataa. Kila nikijaribu kuona Kama itawezekana naona haiwezekani.

Anaweza fanya mazuri kuliko waliopita lakini jicho langu kutoka nyota ya Tibeli halimuoni kama atakubalika na wacheza Amapiano.

Sapoti ni Kama itaanza kuyeyuka Sirius kuanzia 2023, mivurugano mikali na mafarakano yapo waziwazi.
Lango litakuwa wazi lakini litakuwa na mitego mingi mibaya. Ataingia lakini atajikuta yupo nje. Atasema lakini ataona anajifokea mwenyewe. Atajipamba lakini atajiona dhalili. Sijui kwakweli!

Kama atakuwa mjanja ataaga na kuacha lango Kwa wategaji lakini wapiga Amapiano nao watavurugana na watega mitego. Hapa kazi ipo.

Sisi tutaangalia tuu.
Labda akinambia nimshauri; anaweza zichanga karata zake na Makuhani wavaa majoho huko madhabahuni ingawaje jicho langu linawaona makuhani mwakani 2022 wakitema dhabihu na kuchoma uvumba, akiwawahi mapema hawezitema nyongo, na hiyo inaweza kuwa Dalili nzuri.

Akiwashika Mkono maliwali, makadhi, maakida na jemadari huenda ikawa Kheri kwake lakini asichelewe Sana.

Hofu yangu ipo Kwa watega mitego, na wacheza Amapiano ambao wanataka kutrend Kwa kila Ngoma wanaoiachia hawa wanataka mpaka 2025 wawe wamekubalika.

Niishie hapa tuu

Kumbuka 2022 ni mwaka wa Makuhani kutema nyongo na kufukiza uvumba. Bahati sio mbali ni wiki moja ijayo.

Wasalamu!
Nakukumbusha tu 2025 fomu ya mgombea urais ndani ya CCM itatolewa MOJA TU kama ilivyokuwa 2015.
 
Nakukumbusha tu 2025 fomu ya mgombea urais ndani ya CCM itatolewa MOJA TU kama ilivyokuwa 2020.
 
2025 tunampa tena, na akitaka kuwakomesha atupe Katiba mpya, tena Ile ya Warioba.

Akae akijua ni Mungu ndiye kamuweka pale Ili atupatie nuru na machweo mapya (Katiba mpya).....katika waliobaki sioni wa kukalia kile kiti kisha tukasalimika, lazima tuwe na Katiba ya kuwadhibiti.

Samia tunakuomba tuvushe, Mungu amekuchagua utuvushe, tuachie Katiba ya Warioba.
Hamna lolote!
 
Swadakta
 
Na katika kubutua wote wakose ccm wateleta Katiba mpya 2026.
 
2025 tunampa tena, na akitaka kuwakomesha atupe Katiba mpya, tena Ile ya Warioba.

Akae akijua ni Mungu ndiye kamuweka pale Ili atupatie nuru na machweo mapya (Katiba mpya).....katika waliobaki sioni wa kukalia kile kiti kisha tukasalimika, lazima tuwe na Katiba ya kuwadhibiti.

Samia tunakuomba tuvushe, Mungu amekuchagua utuvushe, tuachie Katiba ya Warioba.

Katiba ya Warioba
 
Mbona bado asubuhi wakuu mnataka kuniingiza kwenye mtego? na mimi nasema sitauingia kamwe uwe wa maksudi au wa kupanga sitauingia kamwe
 
Back
Top Bottom