Atajitahidi lakini watega mitego na wacheza Amapiano 2025 wamedhamiria

Mkuu Heriel nikuambie tu Raisi ajaye ni muislamu Mwanamme mwenye misimamo kama ya jpm!!!Mama kaishafeli ameanza kampeni mapema mno!!Ndugai na pole pole hawabweki Bure wameona mnofu mahali!!
"Rais ajaye ni Mwanamke.... Mwenye misimamo kama ya JPM" vipi huyo ni Jennista Mhagama au??
 
Hoja za kindezi Sana hizi daah, sijawahi kuona duniani kote kudai katiba kuwa ni hisani. Hivi umewahi kujiuliza hii katiba, ambayo hata Nyerere Mara kadhaa amewahi kunukuliwa akisema ni rahisi Sana kutumiwa vibaya kama kiongozi hatakuwa makini, je iliwahi kubadilishwa kwa njia shirikishi?
 
Nakukumbusha tu 2025 fomu ya mgombea urais ndani ya CCM itatolewa MOJA TU kama ilivyokuwa 2015.
 
Nakukumbusha tu 2025 fomu ya mgombea urais ndani ya CCM itatolewa MOJA TU kama ilivyokuwa 2020.
 
Hamna lolote!
 
Swadakta
 
Na katika kubutua wote wakose ccm wateleta Katiba mpya 2026.
 

Katiba ya Warioba
 
Mbona bado asubuhi wakuu mnataka kuniingiza kwenye mtego? na mimi nasema sitauingia kamwe uwe wa maksudi au wa kupanga sitauingia kamwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…