Atakaeweza kuendeleza....

Atakaeweza kuendeleza....

yupo humu...aje ajione..
nyani mkindu


wanaimba..
mwanangu kua kua nikutumee
unitume wapi kwa mfalmee
kuna ng'ombe zangu kumi na mbilii
mmoja kafa kamla nyanii
nyani mkindu tumkindule
tucheze mapigo kwa bwana juma
bwana juma gani..ni mdodo
ni mtu mbaya kama.......

najiuliza mashairi ya hizi nyimbo alitunga nani? maana hizi melody zilisambaa sana mtaani kwetu. au ndo watu wasiojulikana..
 
michezo ya kula mbakishie baba tulimpiga mtoto wa watu hadi alizimia ndio ikawa mwisho sikutaka kucheza tena
 
Back
Top Bottom