Atakaeweza kuendeleza....

hahahahahahahahah sithubutu kutoa povu juu yako
nitacheka sana siku hiyoooo loooh naomba iwe weekend maana nitahitaji kulala chini kwa kicheko
Duuh shem na wewe una vituko balaa
 
unatembea na bullets proof ?
niko salama kabisa nilipo, siko mie kwa uncle Pombe kwa hiyo usalama wangu uko swafi kabisa.
Malaika wa Mungu wapo pande zote wakilinda usalama wangu
 
Da umenikumbusha mbali nimejikuta naimba kwa sauti mpaka kila mtu akaangua kicheko.
 
Ti, titi la Anko ko, komeo la mlangoni Ni,..........hainaga mwixho huo wimboo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…