Ndugu yangu watakao elewa hili Andiko lako ni wachache mno! Naona wasomi Uchwara wanavyo kukuruka, bila kujua Fasihi iliomo ndani ya Mada! Kweli alie turoga Tz alaniwe huko aliko.Hivi sasa tatizo la kukatikakatika umeme jijini Dar es Salaam limekuwa kubwa, hii huenda inatokana na umbali wa bwawa la Mwalimu Nyerere lilipo kitu chochote kikisafiri mbali huhitaji mapumziko njiani, hivyo ni vizuri kujenga bwawa hapa Dar es Salaam
Fasihi gani zaidi ya ujinga mtupu.Ndugu yangu watakao elewa hili Andiko lako ni wachache mno! Naona wasomi Uchwara wanavyo kukuruka, bila kujua Fasihi iliomo ndani ya Mada! Kweli alie turoga Tz alaniwe huko aliko.
Wale tuliopinga uharibifu wa mazingira na mkatuona wapinga maendeleo sasa mnaona jinsi tulivyopoteza matrilioni kwa mradi mbovu kabisa, kikwete alikuja na mradi kwa kuzalisha umeme wa gesi kutoka kusini ambao ungeondosha kabisa tatizo la umeme lakini alipoingia magu akaja na lake na hili ndio tatizo la Tanzania.Hivi sasa tatizo la kukatikakatika umeme jijini Dar es Salaam limekuwa kubwa, hii huenda inatokana na umbali wa bwawa la Mwalimu Nyerere lilipo kitu chochote kikisafiri mbali huhitaji mapumziko njiani, hivyo ni vizuri kujenga bwawa hapa Dar es Salaam
Daah, mpaka sasa bado hujaelewa nia ya hii Post? !!Fasihi gani zaidi ya ujinga mtupu.
Ukishajenga hilo bwawa huo umeme utausambazia wapi kama Kinyerezi ipo below capacity kwa sababu hakuna miundombinu ya kupokea umeme.
JHNP below capacity kwa sababu aina uwezo wa kupeleka umeme at full capacity.
Huo umeme utakao zalishia mto Msimbazi utausambaza vipi.
Ujinga mtupu
Hakuna enigma kwenye post, zaidi ya ujinga.Daah, mpaka sasa bado hujaelewa nia ya hii Post? !!
Koroboi! Nyie ndio mliotutoa kwenye GT's forum na kuwa JF ya kula tunda kimasihara!Jografia ulisoma wapi?. We ishia kwenye mpira ndio walipoweza akili yako ccm
Tulikwisha toka kwenye JF of GT's na kuwa mazezeta.Ndugu yangu watakao elewa hili Andiko lako ni wachache mno! Naona wasomi Uchwara wanavyo kukuruka, bila kujua Fasihi iliomo ndani ya Mada! Kweli alie turoga Tz alaniwe huko aliko.
Mto Msimbazi au kwa jina lingine mto Kisarawe au Kazimzumbwi pacha wa mto Mzinga una maji gani ya kukusanya kwa ajili ya bwawa la kuzalisha umeme Dar bila kutegemea maji ya mvua?Hivi sasa tatizo la kukatikakatika umeme jijini Dar es Salaam limekuwa kubwa, hii huenda inatokana na umbali wa bwawa la Mwalimu Nyerere lilipo kitu chochote kikisafiri mbali huhitaji mapumziko njiani, hivyo ni vizuri kujenga bwawa hapa Dar es Salaam
Maji kuna siku yanakua na rangi nyeusi, mara kijani siku nyingine rangi nyekund, mto gani huoPale kuna uchafu wala si maji
Unaamini ahadi za nzi wa kijaniSasa inakuwaje kwani tulichoahidiwa kimekwenda alijojo.
Huku tuachie sisi wewe nenda kwenye visungura na eneje.Unaishi Mtera na hujawahi kufika Dar. Ukisikia bonde la mto Msimbazi unadhani ni sawa na bonde la mto Mtera. Tembea upanue akili.
Walituahidi bwawa la Mwalimu limekamilika na kufurika maji, huku mjini kumefurika sababu na visingizio kila siku na sasa wanataka kutupiga na dude zito kuliko ile winchi ya kukodi.Unaamini ahadi za nzi wa kijani
Wapigaji hawaishi kubuni njia wakituona sisi ni wajinga.Tuliambiwa bwawa la nyerere ndio muarobaini cha ajabu sasa tunaambiwa kununua umeme Ethiopia ndio itamaliza tatizo
CCM inawasanii wengi kuliko wachekaji, hawa wasanii hupenda kuficha ukweli ili waweze kupiga mkwanja, huko Same kuna bwawa la umeme linulikanalo Nyumba ya Mungu, bwawa hili wanalificha tusijue kaskazini nako kunazalishwa umeme na hata kama kiwango ni kidogo basi wabadilishe mitambo liweze kuzalisha umeme zaidi.Unaamini ahadi za nzi wa kijani
Miradi mikubwa ni ahadi hewani. Na mipya ni fursa ya maokoto!Utokanao na upepo tutaambiwa joto limezidi, m
Nia ya Post yangu ni kuonesha kuwa kila mara tunaahidiwa kuhusu mafanikio ya miradi ya umeme lakini ahadi hizo huwa si za kweli, ksma tumeshindwa miradi mikubwa basi labda tujaribu vimiradi vidogo vya kichawi.
Miradi hii ni fursa kwa uchaguzi.Miradi mikubwa ni ahadi hewani. Na mipya ni fursa ya maokoto!
Unamaanisha ule mfereji wa maji taka!? Huwezi kujenga bwawa la kufua umeme kwa kutegema maji ya chooni.Hivi sasa tatizo la kukatikakatika umeme jijini Dar es Salaam limekuwa kubwa, hii huenda inatokana na umbali wa bwawa la Mwalimu Nyerere lilipo kitu chochote kikisafiri mbali huhitaji mapumziko njiani, hivyo ni vizuri kujenga bwawa hapa Dar es Salaam