Atakaye ahidi kujenga bwawa kubwa la umeme mto Msimbazi ili kumaliza tatizo la umeme Dar es Salaam nitampa kura zangu zote

Hivi sasa tatizo la kukatikakatika umeme jijini Dar es Salaam limekuwa kubwa, hii huenda inatokana na umbali wa bwawa la Mwalimu Nyerere lilipo kitu chochote kikisafiri mbali huhitaji mapumziko njiani, hivyo ni vizuri kujenga bwawa hapa Dar es Salaam
Ndugu yangu watakao elewa hili Andiko lako ni wachache mno! Naona wasomi Uchwara wanavyo kukuruka, bila kujua Fasihi iliomo ndani ya Mada! Kweli alie turoga Tz alaniwe huko aliko.
 
Fasihi gani zaidi ya ujinga mtupu.

Ukishajenga hilo bwawa huo umeme utausambazia wapi kama Kinyerezi ipo below capacity kwa sababu hakuna miundombinu ya kupokea umeme.

JHNP below capacity kwa sababu aina uwezo wa kupeleka umeme at full capacity.

Huo umeme utakao zalishia mto Msimbazi utausambaza vipi.

Ujinga mtupu
 
Wale tuliopinga uharibifu wa mazingira na mkatuona wapinga maendeleo sasa mnaona jinsi tulivyopoteza matrilioni kwa mradi mbovu kabisa, kikwete alikuja na mradi kwa kuzalisha umeme wa gesi kutoka kusini ambao ungeondosha kabisa tatizo la umeme lakini alipoingia magu akaja na lake na hili ndio tatizo la Tanzania.
 
Fasihi gani zaidi ya ujinga mtupu.

Ukishajenga hilo bwawa huo umeme utausambazia wapi kama Kinyerezi ipo below capacity kwa sababu hakuna miundombinu ya kupokea umeme.

JHNP below capacity kwa sababu aina uwezo wa kupeleka umeme at full capacity.

Huo umeme utakao zalishia mto Msimbazi utausambaza vipi.

Ujinga mtupu
Daah, mpaka sasa bado hujaelewa nia ya hii Post? !!
 
Hakuna enigma kwenye post, zaidi ya ujinga.

It’s self explanatory, there is no codification zaidi ya maelezo ya ujinga tu.

Muda wa kuanza saumu kwangu (kwa kusikiliza ‘Leonard Susskind’ latest interview) 👋
 
Tuliambiwa bwawa la nyerere ndio muarobaini cha ajabu sasa tunaambiwa kununua umeme Ethiopia ndio itamaliza tatizo
 
Ndugu yangu watakao elewa hili Andiko lako ni wachache mno! Naona wasomi Uchwara wanavyo kukuruka, bila kujua Fasihi iliomo ndani ya Mada! Kweli alie turoga Tz alaniwe huko aliko.
Tulikwisha toka kwenye JF of GT's na kuwa mazezeta.
 
Hivi sasa tatizo la kukatikakatika umeme jijini Dar es Salaam limekuwa kubwa, hii huenda inatokana na umbali wa bwawa la Mwalimu Nyerere lilipo kitu chochote kikisafiri mbali huhitaji mapumziko njiani, hivyo ni vizuri kujenga bwawa hapa Dar es Salaam
Mto Msimbazi au kwa jina lingine mto Kisarawe au Kazimzumbwi pacha wa mto Mzinga una maji gani ya kukusanya kwa ajili ya bwawa la kuzalisha umeme Dar bila kutegemea maji ya mvua?

Hizo ni hadith alfu lela ulela!!!
 
Huo umeme wasioutaka ungechukuliwa Chalinze kwenda Korogwe, Same na kuunganishwa na umeme wa Nyumba ya Mungu.
 
Unaamini ahadi za nzi wa kijani
CCM inawasanii wengi kuliko wachekaji, hawa wasanii hupenda kuficha ukweli ili waweze kupiga mkwanja, huko Same kuna bwawa la umeme linulikanalo Nyumba ya Mungu, bwawa hili wanalificha tusijue kaskazini nako kunazalishwa umeme na hata kama kiwango ni kidogo basi wabadilishe mitambo liweze kuzalisha umeme zaidi.
 
Utokanao na upepo tutaambiwa joto limezidi, m

Nia ya Post yangu ni kuonesha kuwa kila mara tunaahidiwa kuhusu mafanikio ya miradi ya umeme lakini ahadi hizo huwa si za kweli, ksma tumeshindwa miradi mikubwa basi labda tujaribu vimiradi vidogo vya kichawi.
Miradi mikubwa ni ahadi hewani. Na mipya ni fursa ya maokoto!
 
Hivi sasa tatizo la kukatikakatika umeme jijini Dar es Salaam limekuwa kubwa, hii huenda inatokana na umbali wa bwawa la Mwalimu Nyerere lilipo kitu chochote kikisafiri mbali huhitaji mapumziko njiani, hivyo ni vizuri kujenga bwawa hapa Dar es Salaam
Unamaanisha ule mfereji wa maji taka!? Huwezi kujenga bwawa la kufua umeme kwa kutegema maji ya chooni.
 
Back
Top Bottom