Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
CHADEMA wasubiri uchaguzi tu. Waache kubwatukaSijui km kesho patakua na maandamano ila ..tu kwa akiri zangu zinaniambia kuna siku haina jina wala hakuna anae jua watu wataingia wenyewe barabarani bila hata kuambiwa na chama chochote.
Viongozi matumizi ya nguvu siku zote hua mwisho wake mbaya kama chadema wana hoja wasikilizeni hii nchi ni yetu sote machafuko yakija hata sisi tusio mashabiki wa vyama tutateseka wote maana hakutakalika tena si kwa chadema wala ccm na act.
Tuiweke Tanzania mbele tuache mabavu tunakoelekea si kuzuri hata kichaa tu anaona.
Acha kuwatia hofu watanzania wewe ni dikteta, acha mambo ya hovyo.Yeyote atakayeshiriki maandamano basi amejitoa sadaka Kwa vyombo. Asije kulaumu baadae.
Sawa Kizimkazi moja.Yeyote atakayeshiriki maandamano basi amejitoa sadaka Kwa vyombo. Asije kulaumu baadae.
Sio tu pia maguu kwa barabara kama kawa kama adhaaa.Weka pia barabarani uone kazi
Hii itakuwa sawa maana raia tutakuwa tumeguswa kwa umoja wetu. Hizi nyingine janja janja mingi. Maslahi mbele.Sijui km kesho patakua na maandamano ila ..tu kwa akiri zangu zinaniambia kuna siku haina jina wala hakuna anae jua watu wataingia wenyewe barabarani bila hata kuambiwa na chama chochote.
Juzi tu palikuwa na maandamano na yalilindwa na polisi na hakukuwa na madhara. Hii ya samiamustgo ni wrong move, ina chembechembe za uhaini au kutumia kakundi fulani kumpimdua raisi ndo maana ikapigwa marufukuViongozi matumizi ya nguvu siku zote hua mwisho wake mbaya kama chadema wana hoja wasikilizeni hii nchi ni yetu sote machafuko yakija hata sisi tusio mashabiki wa vyama tutateseka wote maana hakutakalika tena si kwa chadema wala ccm na act.
Tuiweke Tanzania mbele tuache mabavu tunakoelekea si kuzuri hata kichaa tu anaona.
wapi duniani au micheweni?Ndo uage kabisa
CowardYeyote atakayeshiriki maandamano basi amejitoa sadaka Kwa vyombo. Asije kulaumu baadae.
Amejitoa sadaka kwa jombo?au kiombo?jombo lingine unaweza usitoe ukawa wewe mfuko wa kukusanyikia sadaka?Yeyote atakayeshiriki maandamano basi amejitoa sadaka Kwa vyombo. Asije kulaumu baadae.
Coward and timid, you die a hundred times before your body decay.Weka Miguu barabarani kesho uone kazi
Mi nashauri waache maandamano, badala yake wafanye uchunguzi na kuwabaini wauaji halafu nao wawaue kimyakimya, huo ndio mwarubaini.Sijui km kesho patakua na maandamano ila ..tu akili zangu zinaniambia kuna siku haina jina wala saa.. hakuna anae jua watu wataingia wenyewe barabarani bila hata kuambiwa na chama chochote.
Viongozi matumizi ya nguvu siku zote hua mwisho wake mbaya kama chadema wana hoja wasikilizeni hii nchi ni yetu sote machafuko yakija hata sisi tusio mashabiki wa vyama tutateseka wote maana hakutakalika tena si kwa chadema wala ccm na act.
Tuiweke Tanzania mbele tuache mabavu tunakoelekea si kuzuri hata kichaa tu anaona.