milele amina
JF-Expert Member
- Aug 16, 2024
- 6,045
- 8,080
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muongeaji hapo anaonekana yupo kishabiki sana na obvious hata hiyo shughuli ipo kishabiki na ni kwa lengo la kuhada wananchi 2025 hii ndo unajua wananchi wanahitaji Mitungi ya gas, ambayo leo utapika kesho itaisha, potential PM angefukiria namna bora ya kuwasaidia mazingira bora ya wao kupata pesa ya kununua Gas hata baada ya hiyo kuisha.Iangalie hadi mwisho!
Sijasikia waalipoongelea mitungi ya Gas, hapo kaongelewa DAB anaeitaka Arusha iwe chini yake na Gambo ambae sasa ni Mbunge wa ArushaMuongeaji hapo anaonekana yupo kishabiki sana na obvious hata hiyo shughuli ipo kishabiki na ninkwa lengo la kuhada wananchi 2025 hii ndo unajua wananchi wanahitaji Mitungi ya gas, ambayo leo utapika kesho itaisha, potential PM angefukiria namna bora ya kuwasaidia mazingira bora ya wao kupata pesa ya kununua Gas hata baada ya hiyo kuisha.
Hapo wapo kuwahadaa wananchi!
hili si kongamano la kidini
Sijasikia waalipoongelea mitungi ya Gas, hapo kaongelewa DAB anaeitaka Arusha iwe chini yake na Gambo ambae sasa ni Mbunge wa Arusha
Kwa kifupi ni Mbunge.Muongeaji hapo anaonekana yupo kishabiki sana na obvious hata hiyo shughuli ipo kishabiki na ninkwa lengo la kuhada wananchi 2025 hii ndo unajua wananchi wanahitaji Mitungi ya gas, ambayo leo utapika kesho itaisha, potential PM angefukiria namna bora ya kuwasaidia mazingira bora ya wao kupata pesa ya kununua Gas hata baada ya hiyo kuisha.
Hapo wapo kuwahadaa wananchi!
Haya maneno yameletwa kwenu kwa udhamini wa Daudi Alubati Bashite kwa jina maarufu DABNimekubali Dini imeanza kutumika vibaya.
Amewapa waumini wenzake ubwabwa na mitungi ya gasi🤭
Hiyo gasi ikiisha kwenye mitungi fedha za kuweka gasi nyingine watakwenda kuchukua kwa mkuu wa mkoa?
Takukuru Arusha wao wamehudhuria wamekula ubwabwa ilimradi bwana Gambo apate ubunge
DAB anaitaka Arusha yaan kilichozungumzwa pale juu na Mbunge yule na kueleza kimafumbo tu laukilirauti nalaukiulirauti naraukilahimkilau umeona bwana kwamba ufalme wa Mungu umpa ufalme wake yule anaemtaka yeye hauwezi kamwe kumlazimisha Mungu akupe Ubunge wakati wewe kwa sasa ni Mkuu wa Mkoa yaan anamwambia bwana DAB kwa sasa wewe ni Mkuu wa Mkoa tu hauwezi kumlazimisha Mungu akufanye uwe Mbunge wa Arusha sababu Mungu kamchagua Gambo ndio awe Mbunge wa Arusha kwa sasa, umeona mambo hayoGambo mwenyewe alikuwa muhunu muhunu kipindi DC na baadae RC. Hayo maneno ilibidi akumbuke yeye alipokuwa RC aliwatendeaje watu?
Sasa naona anajiliza kwa wadini wenzake. Aache siasa chafu za udini.
Wabunge wengi ni vilaza,Kwa kifupi ni Mbunge.
Gambo ni selfish,Gambo Arusha mjini, kutoboa ubunge,Makonda akiwa Mkuu wa Mkoa huo ni ndoto za mchana