Atakayeona picha ya Bashite kwenye video hii, atueleweshe alipo!

Atakayeona picha ya Bashite kwenye video hii, atueleweshe alipo!

Anasema eti Allah ndio kampa Gambo Ubunge wakati sote tunajua kuwa kaingia hapo kwa wizi wa kura.
 
Nimekubali Dini imeanza kutumika vibaya.

Amewapa waumini wenzake ubwabwa na mitungi ya gasi🤭

Hiyo gasi ikiisha kwenye mitungi fedha za kuweka gasi nyingine watakwenda kuchukua kwa mkuu wa mkoa?

Takukuru Arusha wao wamehudhuria wamekula ubwabwa ilimradi bwana Gambo apate ubunge
Nukuu zote ni za Quran, na hata mada ingepelekwa jukwaa la dini kama lipo. Na nukuu hizo kama sio muislam unapita kapa.
 
Ni sawa na yeye Gambo alivyokuwa anamfanyia Lema. Alisahau Mungu alimpa lema ubunge na yeye ukuu wa mkoa. Aache kulialia. Karma is real. Apambane tu.

Wengine wajifunze kila mtu atimize majukumu ya nafasi yake bila kumfitini mwingine. Maana yote wafanyayo kwa wema ni manufaa kwa watu wa Mungu nao hupata tuzo.
 
Haya maneno yameletwa kwenu kwa udhamini wa Daudi Alubati Bashite kwa jina maarufu DAB
FB_IMG_1735673845506.jpg
 
Back
Top Bottom