Atakayeona picha ya Bashite kwenye video hii, atueleweshe alipo!

Anasema eti Allah ndio kampa Gambo Ubunge wakati sote tunajua kuwa kaingia hapo kwa wizi wa kura.
 
Nukuu zote ni za Quran, na hata mada ingepelekwa jukwaa la dini kama lipo. Na nukuu hizo kama sio muislam unapita kapa.
 
Ni sawa na yeye Gambo alivyokuwa anamfanyia Lema. Alisahau Mungu alimpa lema ubunge na yeye ukuu wa mkoa. Aache kulialia. Karma is real. Apambane tu.

Wengine wajifunze kila mtu atimize majukumu ya nafasi yake bila kumfitini mwingine. Maana yote wafanyayo kwa wema ni manufaa kwa watu wa Mungu nao hupata tuzo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…