Atakayeweza kuniloga nitamlipa Milioni 25

Unakuta mtu na elimu yake anaenda kwa mganga aliyeishia darasa la 7 ili apewe dawa ya utajiri,wakati huyo mganga mwenyewe ni choka mbaya,anaishia tu Kukuagiza Jogoo kisha analifanya supu na kula na wanae huku wewe ukisubiri utajiri uje kimiujiza!

😀😀
Yaan majinga makubwa.
Yanaliwa hadi Tigo eti wanaaguliwa
 
Twende ukakabizishe hizo hela kabisa kwa makubaliano ya kusainishana kisheria alafu nipe majina yako matatu na uzi kutoka kwenye nguo yako.... Niruke pale tunduma chap kwa mzee mmoja anaitwa Nyang'anya Wananyungi Filtahai Bin Nyang'anya, Wewe week tu unabaka mwanafunzi na ndo unakuwa mwanzo wa matatizo yako.
 
Kama kweli upo serious na Milioni 25 za kulogwa,,, basi fanya hivi??

Milioni 5 fanya tangazo likiwa na DETAILS zinazohitajika na WACHAWI,,, weka bango gazeteni, nunua ukurasa pale MWANASPOTI au MWANANCHI... au mtandaoni kama FACEBOOK, Google Adsense au zingine.

Halafu hiyo Milioni 20 inatosha kabisa ndo iwe zawadi.. Na hii unaiweka kwenye Escrow Account mapema kabisa, maana unaweza ukafanywa chizi halafu hela isipatikane tena..

Zaidi ya hapo tuendelee kunywa supu Nyama zipo chini..
 
Twende ukakabizishe hizo hela kabisa kwa makubaliano ya kusainishana kisheria alafu nipe majina yako matatu na uzi kutoka kwenye nguo yako.... Niruke pale tunduma chap kwa mzee mmoja anaitwa Nyang'anya Wananyungi Filtahai Bin Nyang'anya, Wewe week tu unabaka mwanafunzi na ndo unakuwa mwanzo wa matatizo yako.
kwanini usimchukue kimiujiza 😂
 
Kwanini hua mnawaza huo uchawi wenu ufanye mambo mabaya tu? kwanini usimwambie kua utamfanyia uchawi ili akupe milioni 100 bila yeye kujijua?
 
Mleta mada

Niko na watu hapa wanaongea na mwenzie hospitalini TMJ hapa naona wanga hawa wanasoma jamiiforums huo uzi wako

Mmoja kaenda chooni akarudi akasema kachungulia akaunti yako iliyoko CRDB amekuta ina hela ndogo hizo milioni 25 hazipo

Akasema jinga tu wewe hiyo hela huna
 
Niko na watu hapa wanaongea na mwenzie hospitalini TMJ hapa wanasoma jamiiforums huo uzi wako

Mmoja kaenda chooni akarudi akasema kachungulia akaunti yako iliyoko CRDB amekuta ina hela ndogo hizo milioni 25 hazipo

Akasema jinga tu wewe hiyo hela huna
Hao watu wameenda kufanya nini hapo Hospitali? kama wana mgonjwa kwanini wasimponyeshe kwa uchawi wao?

😀 😀
 
Huwezi kupiga ramli ukaviona mwenyewe? [emoji23]
Mie nadhani kwa kua umepania kuwa prove kua hicho kitu hakipo ungefata yale wanayokuelekeza wao, kitendo cha kukataa inaonesha hata wewe una mashaka na unachokidai,

Weka Jina lako, la Mama yako waongezee na picha yako kuna mwingine kasema uweke uzi wa nguo yako kisha mkaandikishiane sehemu,

Wafanyie hayo watakayo kisha tukae tuone matokeo hata mie nina hamu ya kujua kama inawezekana ama haiwezekani.
 
Kama kweli upo serious na Milioni 25 za kulogwa,,, basi fanya hivi??

Milioni 5 fanya tangazo kama Gazeteni, nunua ukurasa pale MWANASPOTI au MWANANCHI... au mtandaoni kama FACEBOOK, Google Adsense au zingine.

Halafu hiyo Milioni 20 inatosha kabisa ndo iwe zawadi.. Na hii unaiweka kwenye Escrow Account mapema kabisa, maana unaweza ukafanywa chizi halafu hela isipatikane tena..

Zaidi ya hapo tuendelee kunywa supu Nyama zipo chini..

Mleta mada

Niko na watu hapa wanaongea na mwenzie hospitalini TMJ hapa naona wanga hawa wanasoma jamiiforums huo uzi wako

Mmoja kaenda chooni akarudi akasema kachungulia akaunti yako iliyoko CRDB amekuta ina hela ndogo hizo milioni 25 hazipo

Akasema jinga tu wewe hiyo hela huna
mchawi mpaka aende chooni 😂😂
 
Back
Top Bottom