mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
Ataupiga mwingi sana!! Atamkaribisha kwa hiari yake yule wa Zanzibar (mtoto wa mzee Mwinyi) aje agombee kwa tiketi ya CCM, halafu yeye ataenda kugombea Zanzibar!! Atapokelewa Zanzibar kama shujaa!! Anayowatendea ni mema kuliko maelezo!
Anawaingizia mabilioni kama "mgao wao"!! Huku pia mtoto wa mzee atapokelewa bila shida maana hana makuu na Tanganyika hawana makuu, na hana maadui na hana silika ya kutengeneza maadui.
Anawaingizia mabilioni kama "mgao wao"!! Huku pia mtoto wa mzee atapokelewa bila shida maana hana makuu na Tanganyika hawana makuu, na hana maadui na hana silika ya kutengeneza maadui.