ATC Sasa Yaanza Kuleta Heshima ya Nchi, Yapunguza Tanzania Kufanywa Shamba la Bibi, FastJet Yapumulia Mashine, Soon Itafungasha Virago!.

Pascal Mayalla

Platinum Member
Joined
Sep 22, 2008
Posts
59,804
Reaction score
134,593
Wanabodi,

Japo mimi ni miongoni mwa wale tuliopinga ununuzi wa ndege kwa cash money, na serikali yetu kufanya matumizi makubwa kama haya ya manunuzi makubwa kwa kutumia fedha za umma bila idhini ya Bunge, kwa sababu fedha za umma zinaongozwa na sheria, taratibu na kanuni, mtu hata ukiwa nani, huwezi tuu kujichotea fedha za umma na kuzitumia kununulia chochote bila kufuata sheria, taratibu na kanuni ikiwemo idhini ya bunge, unless matumizi hayo ni ya dharura, lakini mimi ni mmoja wa massuporter wakubwa wa hatua mbalimbali zinazochukuliwa na rais Magufuli kufufua uchumi wa taifa letu, ikiwemo kulifufua Shirika la Ndege la ATCL.

Baada ya kuwasili kwa Bombadier, nikashauri serikali yetu, tutumie political will kuinusuru ATC na ushindani usio sawia.
Je, ATCL inahujumiwa kibiashara? Tutumie a political will kuinusuru au tuiache iangamizwe na ushindani? - JamiiForums

Fast Jet nao wakapunguza sana nauli zao na kuamua kupeleka ndege zao routes zile zile za ATC kwa bei poa zaidi, kwa vile Fast Jet wanatumia JET, na ATC wanatumia pangaboi, Fast Jet aliendelea kuipiga bao ATC.

Ujio wa Dreamliner umekuja kufunga kazi. Japo siungi mkono kurusha dege kubwa kama dreamliner kwa domestic routes ambazo ni route fupi fupi, sio tuu tunaichosha bure dreamliner yetu, bali pia tunaichakaza kwa paa shuka paa shuka ndani ya muda mfupi, lakini baada ya kuipokea taarifa hii kutoka humu humu jf, African airline Fastjet reveals urgent need for more cash - JamiiForums
kiukweli sasa ndio naungana na Watanzania wengine kumpongeza rais Magufuli kwa ununuzi wa ndege hizi. Pia sasa nalipongeza shirika la Ndege la Tanzania, ATCL kulirusha hili lidude routes za ndani za Mwanza na Kilimanjaro, kwa sababu kufuatia ujio wa Dreamliner, sasa Fast Jet, inapumulia mashine, na sio tuu itasitisha huduma zake Tanzania na kufungasha rasmi, bali Fast Jet, itakufa rasmi kwasababu roho ya Fast Jet, ni biashara ya Tanzania.

Kufuatia Dreamliner ya ATCL kuruka Mwanza na Kilimanjaro, Fast Jet na Precision zimekosa abiria wa Mwanza na Kilimanjaro, hivyo sasa Fast Jet, ni soon atakubali matokeo na kunyanyua mikono yake juu, atabaki Precision, hivyo kama anataka usalama na kuendelea ku survive, asarender routes za Mwanza na Kilimanjaro kwa ATCL, yeye aende routes nyingine za mikoa mingine ambayo haina ndege kama Singida, Shinyanga, Songea etc.

Kufa kufaana, hivyo taarifa za Fast Jet kupumulia mashine ni habari njema kwa Watanzania wazalendo na ATC yetu, kwa sababu nimeisha safiri na Dreamliner safari 8, na hakunahata safari moja ndege ilijaa, hivyo nikaogopa kama ni hii, then nikajisemea kimoyo moyo kuwa hii Dreamliner inaoparate kwa hasara, lakini kutokana na zile mbwembwe za mapokezi ya ndege hii, no one can dare say that!, hivyo hasara hiyo itabebwa kimya kimya kufa kizungu na tai shingoni, hivyo kifo cha Fast Jet ni neema kwa ATC ambapo sasa dreamliner yetu itajaa.

Japo sio ustaarabu kufurahia matatizo ya mwenzako, kama kifo cha Fast Jet kwa sababu, ni Fastjet ndio walituokoa wakati ATC ilipokufa na PAA wakawa wanatukomoa!. Besides wafanyakazi ni Watanzania wenzetu, na Fast Jet, ilikuwa inafanya biashara halali na kuchangia uchumi wa taifa, hivyo tusiibeze Fastjet au kufuraia kifo chake, lakini tukubali tukatae, mgeni alineemeka wakati mwenyeji akichechemea, sasa mwenyeji kapona, inabidi mgeni arudi kwao.

Tena kwa muda mrefu Tanzania imekuwa ikifanywa ni shamba la bibi, kwa kila mtu kutoka anakotoka na kuja kujichumia na kujivunia as if Tanzania haina wenyewe, kwa vile Fastjet ni shirika la kigeni, then faida yote inapelekwa huko nje kwa wenye hisa, hivyo ATC sasa imeonyesha, kwenye usafiri wa anga, Tanzania ina wenyewe. Hivyo hata Fast Jet wakifungasha, abiria bado wataendelea kupanda ATCL, hivyo taifa kuendelea kupata mapato, na kwa vile ATC bado inaleta ndege nyingine 4, itaweza kuwameza wafanyakazi wote wa Fast Jet.

Kuna mwanajf huyu alisema jambo la maana sana hapa, Hakuna abiria wa kushindanisha kwa "afya" mashirika matatu ya ndege kwa safari za ndani - JamiiForums
Hivyo naamini PAA watajiandaa yasiwakute ya Fastjet.

Hivyo sasa ATC sio tuu itatawala soko, bali sasa ndio itarudisha heshima ya nchi, inarudisha heshima Taifa, na huu utaratibu wa kuwafungasha virago watu, uendelee kwa routes za Afrika Mashariki, tuje routes za Ghuba, India na China, kisha tufunge kazi na New York na London.

Poleni sana Fast Jet, Hongera ATCL
Mungu Ibariki Tanzania.

Paskali.
Uchumi wa Magufuli: Precision Air Yapumulia Machine. Yapunguza Wafanyakazi 136! - JamiiForums

Ushauri wa Bure kwa ATC: Anzisheni frequently fliers na fanyeni over booking kwa waiting list. - JamiiForums
Ndege ya ATCL yachelewa kuondoka ndani ya muda; watoa ufafanuzi! - JamiiForums

Tupunguze "kuisimanga" ATCL, haijengi zaidi ya kukatisha tamaa - JamiiForums

Zitto Zuberi Kabwe Ni Mchochezi, Akamatwe, Ashitakiwe Kwa ...
Update 1
Very objective and constructive contribution
Mkuu pascal Mayala I concur with you kuhusu suala la Mh. Rais kufufua Atcl , kwani ilikua ni aibu kwa nchi yetu kutokua na shirika lake la ndege, ukizingatia kila uchwao idadi ya watalii toka kona mbalimbali za dunia inaongezeka na wala sitaki tujilinganishe kwa kusema hata Rwanda walitushinda...ilifika mahali watalii walikua wanapitia via Kenyaairways,Nairobi- Kenya kisha wanakuja TZ ili kukwepa gharama kubwa za safari na usumbufu wa ku connect flights (ingawa sina hakika kama hili limeisha) .

Lakini naomba nitofautiane na wewe kwenye suala la kuiombea mabaya fastjet. Kwani fastjet ndy waliokuja leta mapinduzi ya usafiri wa anga hapa nchini kwa miaka zaidi ya mitano iliyopita tangu waingie nchini. Sera ya fastjet ya "nafuu" yani nauli ambazo mtanzania wa kipato cha kati na hata cha kawaida kuweza kumudu, ndy iliyopelekea watanzania wengi kuona suala la kupanda ndege ni la kawaida, tofauti na zamani ilikuwa mtu kupanda ndege lazima uwe vzr kweli kweli. Kifupi fastjet wamefanikiwa ktk eneo hilo na pia tumpongeze aliewakaribisha. Sikatai, ni kweli kumekuepo na mapungufu kadha wa kadha kwa shirika hilo lkn wacha sifa zao tuwape. Lakn lingine me naamini kwasasa fastjet hawezi kufa kirahisi sababu ana international routes zaidi ya tano kama sikosei, na nauli zake zinavumilika , kwahy maoni yangu naona ni vyema waka coexist tu , ili sisi watumiaji tuweze kunufaika. Yule atakae kuwa na huduma bora na zakipekee atavuna wateja wengi zaidi. Siungi mkono hoja ya Atcl kuwa peke yao ktk soko, italeta shida sana kama ilivyo kwa usafiri wa majini kwa hv sasa.

Consistency- katika hiki kipengele ningependa nizungumzie kwa juu aliyopitia fastjet mpk kuweza kusurvive mpk Leo. Sisi sote tunajua kuwa mashirika mengi ya ndege hujiendesha kwa hasara, kutokana na gharama kubwa za uendeshaji wake angalia mfano ni juzi tu Kenyaairways wametangaza hasara kwa shirika Lao, Ethiopia ambao wako juu Africa nzima wanapata loss juu ya uendashaji wa shirika hilo, pia usisahau air India nao walitangaza hasa kubwa kwenye shirika lao. Fastjet wamekua wakitangaza hasara ktk uendeshaji wa shirika lao mara kwa mara, lkn wapo wameendelea kutupa huduma. Sasa shirika letu tutalipima kama litaweza kupita katika tanuli hilo, na kuendelea kutoa huduma kwa kiwango kile kile.

Mwisho kabisa, ningependa kama ulivyoshauri kuwa hii ndege yetu ya dreamliner tusi imissuse kwa kuipa safari fupi. Tutafute route ndefu za kutosha na hasa zenye flow kubwa ya wageni wetu wa utalii kama Germany, London na Marekani. Kukiwa na direct flight toka sehemu hzo bila shaka ujivuni kwa taifa letu utaongezeka na pia kutakuwa na tija kubwa sana.

Pia ningependa kutoa rai yangu kwa mamlaka zinazohusika na uteuzi wa watendaji wa shirika hilo na mashirika mengine ya umma, zifanye upembuzi yakinifu ili kusudi kumpata mtendaji mkuu mwenye kariba zile nzr za Neemia Mchechu na Dr. Dau, hawa watu kwa kutumia utashi wao na mikakati mizuri waliyoweka waliweza kufufua na kuyakuza mashirika ya umma yaliyokuwa yanachechemea, tusiangalie tu vyeti vya mtu kisa ni injinia au professa basi anaweza kusimamia taasisi fln ya serikali, bali tunataka mtu mwenye vision za kweli, mzalendo na mwenye kuumiza kichwa kweli kweli hata kama yupo nje ya nchi huko tumchukue, mbona aliepita alifanya hicho.....mwisho wa siku sisi lengo letu ni moja tunataka tukikaa mahali tukitajwa kama watanzania tuji free proud...na naamini Mh. Rais ni muumini wa mabadiliko makubwa (mega changes) atafanyia kazi maoni mbalimbali.

....lakini kwa msisitizo mkubwa kabisa tukiacha siasa pembeni, nasema suala la kufufua ATCL lina maslai makubwa sana kwa nchi na tunampongeza rais kwa hilo.
 
Wajue tu hayo mashirika binafsi hayabebwi na kodi zetu.

Huko kimataifa hali ni tofauti kabisa na Fastjet walikuwa wana-operate katika nchi kadhaa za Afrika lakini biashara imekuwa ngumu hivyo na sisi tujiandae tunapokusudia kuruka kimataifa.

Yaani route za ndani sijui kama zitaweza kuibeba ATCL iwapo zitakuwa na unafuu ili hali kimataifa tutakuwa tunakabiliwa na ushindani.

Hata route za humu ndani ambapo ATCL iko yenyewe, mfano Dar to Dodoma; ndege bado haijai na hiyo menu yao huko ndani inaashiria kitu fulani.

Pia ni lazima tujiulize je, nauli za hizi ndege zina uhalisi na hali halisi ya kibiashara mfano nauli za Dreamliner?

Binafsi hili halinishangazi kwani nilishaliona tangu siku nyingi na nililisema kupitia huu uzi:

Hakuna abiria wa kushindanisha kwa "afya" mashirika matatu ya ndege kwa safari za ndani - JamiiForums
 
Wanabodi,

Japo mimi ni miongoni mwa wale tuliopinga ununuzi wa ndege kwa cash money, na serikali yetu kufanya matumizi makubwa kama haya ya manunuzi bila idhini ya Bunge, lani mimi ni mmoja wa massuporter wakubwa wa hatua mbalimbali za rais Magufuli kufufua uchumi wetu, ikiwemo kulifufua Shirika la Ndege la ATCL.

Baada ya kuwasili kwa Bombadier, nikashauri serikali yetu, tutumie political will kuinusuru ATC na ushindani usio sawia.

Fast Jet nao wakapunguza sana nauli zao na kuamua kupeleka ndege zao routes zile zile za ATC kwa bei poa zaidi, kwa vile Fast Jet wanatumia JET, na ATC wanatumia pangaboi, Fast Jet aliendelea kuipiga bao ATC.

Ujio wa Dreamliner umekuja kufunga kazi. Japo siungi mkono kurusha dege kubwa kama dreamliner kwa domestic routes ambazo ni route fupi fupi, sio tuu tunaichosha bure dreamliner yetu, bali pia tunaichakaza kwa paa shuka paa shuka ndani ya muda mfupi, lakini baada ya kuipokea taarifa hii kutoka humu humu jf, African airline Fastjet reveals urgent need for more cash - JamiiForums
kiukweli sasa ndio naungana na Watanzania wengine kumpongeza rais Magufuli kwa ununuzi wa ndege hizi. Pia sasa nalipongeza shirika la Ndege la Tanzania, ATCL kulirusha hili lidude routes za ndani za Mwanza na Kilimanjaro, kwa sababu kufuatia ujio wa Dreamliner, sasa Fast Jet, inapumulia mashine, na sio tuu itasitisha huduma zake Tanzania na kufungasha rasmi, bali Fast Jet, itakufa rasmi kwasababu roho ya Fast Jet, ni biashara ya Tanzania.

Kufuatia Dreamliner ya ATCL kuruka Mwanza na Kilimanjaro, Fast Jet na Precision zimekosa abiria wa Mwanza na Kilimanjaro, hivyo sasa Fast Jet, ni soon atakubali matokeo na kunyanya mikono yake juu, atabaki Precision, hivyo kama anataka usalama na kuendelea ku survive, asarender routes za Mwanza na Kilimanjaro kwa ATCL, yeye aende routes nyingine za mikoa mingine ambayo haina ndege kama Singida, Shinyanga, Songea etc.

Kufa kufaana, hivyo taarifa za Fast Jet kupumulia mashine ni habari njema kwa Watanzania wazalendo na ATC yetu, kwa sababu nimeisha safiri na Dreamliner safari 8, na hakunahata safari moja ndege ilijaa, hivyo nikaogopa kama ni hii, then nikajisemea kimoyo moyo kuwa hii Dreamliner inaoparate kwa hasara, lakini kutokana na zile mbwembwe za mapokezi ya ndege hii, no one can dare say that!, hivyo hasara hiyo itabebwa kimya kimya kufa kizungu na tai shingoni, hivyo kifo cha Fast Jet ni neema kwa ATC ambapo sasa dreamliner yetu itajaa.

Japo sio ustaarabu kufurahia matatizo ya mwenzako, kama kifo cha Fast Jet kwa sababu, wafanyakazi ni Watanzania wenzetu, na Fast Jet, ilikuwa inafanya biashara halali na kuchangia uchumia wa taifa, lakini kwa vile ni shirika la kigemu, then faida yote inapelekwa huko nje kwa wenye hisa, hivyo hata Fast Jet wakifungasha, abiria bado wataendelea kupanda ATCL, hivyo taifa kuendelea kupata mapato, na kwa vile ATC bado inaleta ndege nyingine 4, itaweza kuwameza wafanyakazi wote wa Fast Jet.

Hivyo sasa ATC sio tuu itatawala soko, bali sasa ndio itarudisha heshima ya nchi, inarudisha heshima Taifa, na huu utaratibu wa kuwafungasha virago watu, uendelee kwa routes za Afrika Mashariki, tuje routes za Ghuba, India na China, kisha tufunge kazi na New York na London.

Poleni sana Fast Jet, Hongera ATCL
Mungu Ibariki Tanzania.

Paskali.
Uchumi wa Magufuli: Precision Air Yapumulia Machine. Yapunguza Wafanyakazi 136! - JamiiForums

Je, ATCL inahujumiwa kibiashara? Tutumie a political will kuinusuru au tuiache iangamizwe na ushindani? - JamiiForums

Ushauri wa Bure Kwa ATC Fanyeni Over Booking name Kuweka Waiting List. - JamiiForums

Ndege ya ATCL yachelewa kuondoka ndani ya muda; watoa ufafanuzi! - JamiiForums

Tupunguze "kuisimanga" ATCL, haijengi zaidi ya kukatisha tamaa - JamiiForums

Zitto Zuberi Kabwe Ni Mchochezi, Akamatwe, Ashitakiwe Kwa ...
Bado Kuna Route Nzuri tena ambazo Binafsi nimejionea abiria wengi sana sana Huwezi Amini Yaani baada ya Route ya Mwanza Nafikiri route inayofuatia ni SONGEA,Fanya utafiti,nenda pale Airport utaniambia,hata ATCL wenyewe wanalijua hili,Sasa sijui Bado wamesimamisha kwasababu ya Ule uwanja wa Ndege Ukarabati?
 
Huko kimataifa hali ni tofauti kabisa na Fastjet walikuwa wana-operate katika nchi kadhaa za Afrika lakini biashara imekuwa ngumu hivyo na sisi tujiandar tunapokusudia kuruka kimataifa.

Yaani route za ndani sijui kama zitaweza kuibeba ATCL iwapo zitakuwa na unafuu ili hali kimataifa tutakuwa tunakabiliwa na ushindani.
Hahaha Kama unakubari kitu fulan
lakini kwavile umejawa na roho ya Shetani bado Ugum ugum unao
 
Wanabodi,

Japo mimi ni miongoni mwa wale tuliopinga ununuzi wa ndege kwa cash money, na serikali yetu kufanya matumizi makubwa kama haya ya manunuzi bila idhini ya Bunge, lani mimi ni mmoja wa massuporter wakubwa wa hatua mbalimbali za rais Magufuli kufufua uchumi wetu, ikiwemo kulifufua Shirika la Ndege la ATCL.
.
Nyie wasukuma mnaichakaza Dream Liner! mnatema mpaka mate ndani! Bora ipaki isubiri ianze safari ya kwenda route zenye watu wastaarabu!!!😉😉😉😉
 
Mie nafikiri fastjet wanaweza wakapunguza operations zao Tanzania sio kwa kutokana na ushindani ila nikutokana na kupanda kwa gharama za uendeshaji. Kumbuka wale wako after profit na wanaangalia zaidi return on investment. Na kama wawekezaji ukiona wanafungasha virago ujue kutakuwa na sababu either mazingira ya uwekezaji siyo conducive kama walivyotarajia. So kwa Mimi siyo jambo LA kujipongeza manake najua ATC yenyewe haitaweza kufanya yenyewe kwa Soko LA aviation bila ya msaada wa mashirika mengine
 
Wanabodi,

Japo mimi ni miongoni mwa wale tuliopinga ununuzi wa ndege kwa cash money, na serikali yetu kufanya matumizi makubwa kama haya ya manunuzi bila idhini ya Bunge, lani mimi ni mmoja wa massuporter wakubwa wa hatua mbalimbali za rais Magufuli kufufua uchumi wetu, ikiwemo kulifufua Shirika la Ndege la ATCL.

Baada ya kuwasili kwa Bombadier, nikashauri serikali yetu, tutumie political will kuinusuru ATC na ushindani usio sawia.
Je, ATCL inahujumiwa kibiashara? Tutumie a political will kuinusuru au tuiache iangamizwe na ushindani? - JamiiForums

Fast Jet nao wakapunguza sana nauli zao na kuamua kupeleka ndege zao routes zile zile za ATC kwa bei poa zaidi, kwa vile Fast Jet wanatumia JET, na ATC wanatumia pangaboi, Fast Jet aliendelea kuipiga bao ATC.

Ujio wa Dreamliner umekuja kufunga kazi. Japo siungi mkono kurusha dege kubwa kama dreamliner kwa domestic routes ambazo ni route fupi fupi, sio tuu tunaichosha bure dreamliner yetu, bali pia tunaichakaza kwa paa shuka paa shuka ndani ya muda mfupi, lakini baada ya kuipokea taarifa hii kutoka humu humu jf, African airline Fastjet reveals urgent need for more cash - JamiiForums
kiukweli sasa ndio naungana na Watanzania wengine kumpongeza rais Magufuli kwa ununuzi wa ndege hizi. Pia sasa nalipongeza shirika la Ndege la Tanzania, ATCL kulirusha hili lidude routes za ndani za Mwanza na Kilimanjaro, kwa sababu kufuatia ujio wa Dreamliner, sasa Fast Jet, inapumulia mashine, na sio tuu itasitisha huduma zake Tanzania na kufungasha rasmi, bali Fast Jet, itakufa rasmi kwasababu roho ya Fast Jet, ni biashara ya Tanzania.

Kufuatia Dreamliner ya ATCL kuruka Mwanza na Kilimanjaro, Fast Jet na Precision zimekosa abiria wa Mwanza na Kilimanjaro, hivyo sasa Fast Jet, ni soon atakubali matokeo na kunyanyua mikono yake juu, atabaki Precision, hivyo kama anataka usalama na kuendelea ku survive, asarender routes za Mwanza na Kilimanjaro kwa ATCL, yeye aende routes nyingine za mikoa mingine ambayo haina ndege kama Singida, Shinyanga, Songea etc.

Kufa kufaana, hivyo taarifa za Fast Jet kupumulia mashine ni habari njema kwa Watanzania wazalendo na ATC yetu, kwa sababu nimeisha safiri na Dreamliner safari 8, na hakunahata safari moja ndege ilijaa, hivyo nikaogopa kama ni hii, then nikajisemea kimoyo moyo kuwa hii Dreamliner inaoparate kwa hasara, lakini kutokana na zile mbwembwe za mapokezi ya ndege hii, no one can dare say that!, hivyo hasara hiyo itabebwa kimya kimya kufa kizungu na tai shingoni, hivyo kifo cha Fast Jet ni neema kwa ATC ambapo sasa dreamliner yetu itajaa.

Japo sio ustaarabu kufurahia matatizo ya mwenzako, kama kifo cha Fast Jet kwa sababu, wafanyakazi ni Watanzania wenzetu, na Fast Jet, ilikuwa inafanya biashara halali na kuchangia uchumi wa taifa, lakini kwa muda mrefu Tanzania imekuwa ikifanywa ni shamba la bibi, kwa kila mtu kujichumia na kujivunia as if Tanzania haina wenyewe, kwa vile Fastjet ni shirika la kigeni, then faida yote inapelekwa huko nje kwa wenye hisa, hivyo ATC sasa imeonyesha, kwenye usafiri wa anga, Tanzania ina wenyewe. Hivyo hata Fast Jet wakifungasha, abiria bado wataendelea kupanda ATCL, hivyo taifa kuendelea kupata mapato, na kwa vile ATC bado inaleta ndege nyingine 4, itaweza kuwameza wafanyakazi wote wa Fast Jet.

Hivyo sasa ATC sio tuu itatawala soko, bali sasa ndio itarudisha heshima ya nchi, inarudisha heshima Taifa, na huu utaratibu wa kuwafungasha virago watu, uendelee kwa routes za Afrika Mashariki, tuje routes za Ghuba, India na China, kisha tufunge kazi na New York na London.

Poleni sana Fast Jet, Hongera ATCL
Mungu Ibariki Tanzania.

Paskali.
Uchumi wa Magufuli: Precision Air Yapumulia Machine. Yapunguza Wafanyakazi 136! - JamiiForums

Ushauri wa Bure Kwa ATC Fanyeni Over Booking name Kuweka Waiting List. - JamiiForums

Ndege ya ATCL yachelewa kuondoka ndani ya muda; watoa ufafanuzi! - JamiiForums

Tupunguze "kuisimanga" ATCL, haijengi zaidi ya kukatisha tamaa - JamiiForums

Zitto Zuberi Kabwe Ni Mchochezi, Akamatwe, Ashitakiwe Kwa ...
Precision inatoka Mwanza na Abiria hao unaowaona. Shikamoo ATC .
IMG_20180902_214239_2.jpg
 
Yaleyale ya ccm kuogopa upinzani,sasa wewe unavyofurahia Fast jet kufungasha vilago unataka hao ATCL wajitawale na kufanya biashara as usually?hawachelewi hao kukanseli route na kuwapeleka wajumbe wa ccm mkutanoni
 
Back
Top Bottom