ATC Sasa Yaanza Kuleta Heshima ya Nchi, Yapunguza Tanzania Kufanywa Shamba la Bibi, FastJet Yapumulia Mashine, Soon Itafungasha Virago!.

Wanabodi,

Japo mimi ni miongoni mwa wale tuliopinga ununuzi wa ndege kwa cash money, na serikali yetu kufanya matumizi makubwa kama haya ya manunuzi makubwa kwa kutumia fedha za umma bila idhini ya Bunge, kwa sababu fedha za umma zinaongozwa na sheria, taratibu na kanuni, mtu hata ukiwa nani, huwezi tuu kujichotea fedha za umma na kuzitumia kununulia chochote bila kufuata sheria, taratibu na kanuni ikiwemo idhini ya bunge, unless matumizi hayo ni ya dharura, lakini mimi ni mmoja wa massuporter wakubwa wa hatua mbalimbali zinazochukuliwa na rais Magufuli kufufua uchumi wa taifa letu, ikiwemo kulifufua Shirika la Ndege la ATCL.

Baada ya kuwasili kwa Bombadier, nikashauri serikali yetu, tutumie political will kuinusuru ATC na ushindani usio sawia.
Je, ATCL inahujumiwa kibiashara? Tutumie a political will kuinusuru au tuiache iangamizwe na ushindani? - JamiiForums

Fast Jet nao wakapunguza sana nauli zao na kuamua kupeleka ndege zao routes zile zile za ATC kwa bei poa zaidi, kwa vile Fast Jet wanatumia JET, na ATC wanatumia pangaboi, Fast Jet aliendelea kuipiga bao ATC.

Ujio wa Dreamliner umekuja kufunga kazi. Japo siungi mkono kurusha dege kubwa kama dreamliner kwa domestic routes ambazo ni route fupi fupi, sio tuu tunaichosha bure dreamliner yetu, bali pia tunaichakaza kwa paa shuka paa shuka ndani ya muda mfupi, lakini baada ya kuipokea taarifa hii kutoka humu humu jf, African airline Fastjet reveals urgent need for more cash - JamiiForums
kiukweli sasa ndio naungana na Watanzania wengine kumpongeza rais Magufuli kwa ununuzi wa ndege hizi. Pia sasa nalipongeza shirika la Ndege la Tanzania, ATCL kulirusha hili lidude routes za ndani za Mwanza na Kilimanjaro, kwa sababu kufuatia ujio wa Dreamliner, sasa Fast Jet, inapumulia mashine, na sio tuu itasitisha huduma zake Tanzania na kufungasha rasmi, bali Fast Jet, itakufa rasmi kwasababu roho ya Fast Jet, ni biashara ya Tanzania.

Kufuatia Dreamliner ya ATCL kuruka Mwanza na Kilimanjaro, Fast Jet na Precision zimekosa abiria wa Mwanza na Kilimanjaro, hivyo sasa Fast Jet, ni soon atakubali matokeo na kunyanyua mikono yake juu, atabaki Precision, hivyo kama anataka usalama na kuendelea ku survive, asarender routes za Mwanza na Kilimanjaro kwa ATCL, yeye aende routes nyingine za mikoa mingine ambayo haina ndege kama Singida, Shinyanga, Songea etc.

Kufa kufaana, hivyo taarifa za Fast Jet kupumulia mashine ni habari njema kwa Watanzania wazalendo na ATC yetu, kwa sababu nimeisha safiri na Dreamliner safari 8, na hakunahata safari moja ndege ilijaa, hivyo nikaogopa kama ni hii, then nikajisemea kimoyo moyo kuwa hii Dreamliner inaoparate kwa hasara, lakini kutokana na zile mbwembwe za mapokezi ya ndege hii, no one can dare say that!, hivyo hasara hiyo itabebwa kimya kimya kufa kizungu na tai shingoni, hivyo kifo cha Fast Jet ni neema kwa ATC ambapo sasa dreamliner yetu itajaa.

Japo sio ustaarabu kufurahia matatizo ya mwenzako, kama kifo cha Fast Jet kwa sababu, ni Fastjet ndio walituokoa wakati ATC ilipokufa na PAA wakawa wanatukomoa!. Besides wafanyakazi ni Watanzania wenzetu, na Fast Jet, ilikuwa inafanya biashara halali na kuchangia uchumi wa taifa, hivyo tusiibeze Fastjet au kufuraia kifo chake, lakini tukubali tukatae, mgeni alineemeka wakati mwenyeji akichechemea, sasa mwenyeji kapona, inabidi mgeni arudi kwao.

Tena kwa muda mrefu Tanzania imekuwa ikifanywa ni shamba la bibi, kwa kila mtu kutoka anakotoka na kuja kujichumia na kujivunia as if Tanzania haina wenyewe, kwa vile Fastjet ni shirika la kigeni, then faida yote inapelekwa huko nje kwa wenye hisa, hivyo ATC sasa imeonyesha, kwenye usafiri wa anga, Tanzania ina wenyewe. Hivyo hata Fast Jet wakifungasha, abiria bado wataendelea kupanda ATCL, hivyo taifa kuendelea kupata mapato, na kwa vile ATC bado inaleta ndege nyingine 4, itaweza kuwameza wafanyakazi wote wa Fast Jet.

Kuna mwanajf huyu alisema jambo la maana sana hapa, Hakuna abiria wa kushindanisha kwa "afya" mashirika matatu ya ndege kwa safari za ndani - JamiiForums
Hivyo naamini PAA watajiandaa yasiwakute ya Fastjet.

Hivyo sasa ATC sio tuu itatawala soko, bali sasa ndio itarudisha heshima ya nchi, inarudisha heshima Taifa, na huu utaratibu wa kuwafungasha virago watu, uendelee kwa routes za Afrika Mashariki, tuje routes za Ghuba, India na China, kisha tufunge kazi na New York na London.

Poleni sana Fast Jet, Hongera ATCL
Mungu Ibariki Tanzania.

Paskali.
Uchumi wa Magufuli: Precision Air Yapumulia Machine. Yapunguza Wafanyakazi 136! - JamiiForums

Ushauri wa Bure kwa ATC: Anzisheni frequently fliers na fanyeni over booking kwa waiting list. - JamiiForums
Ndege ya ATCL yachelewa kuondoka ndani ya muda; watoa ufafanuzi! - JamiiForums

Tupunguze "kuisimanga" ATCL, haijengi zaidi ya kukatisha tamaa - JamiiForums

Zitto Zuberi Kabwe Ni Mchochezi, Akamatwe, Ashitakiwe Kwa ...
Kwanza nakushukuru kwa kuwa muungwana kwa kukiri makosa,huu ndio ungwana hasa.Pili nakushukuru sana kwa kuleta taarifa hii murua kabisa,wapambe wa mabeberu walie tu,Tanzania hiyooo......
Mwisho Paschal, tuwe wazalendo wa kweli "katika mazingira yote",as long as we know that anything our President does is in good faith and for the benefit of our beloved country.Ukosoaji usio na tija na wa kijinga tuwaachie makuwadi wa akina Rothschild.Let us support our President.
 
Huu UZI ni kwa ajili ya kufurahia kifo cha fastjet? Uzalendo,Wivu au kujipendekeza? WONDERFUL!!!
 
huu ndio uandishi niliumiss hapa JF. much respect uncle Pascal!
 
Mkuu pascal Mayala I concur with you kuhusu suala la Mh. Rais kufufua Atcl , kwani ilikua ni aibu kwa nchi yetu kutokua na shirika lake la ndege, ukizingatia kila uchwao idadi ya watalii toka kona mbalimbali za dunia inaongezeka na wala sitaki tujilinganishe kwa kusema hata Rwanda walitushinda...ilifika mahali watalii walikua wanapitia via Kenyaairways,Nairobi- Kenya kisha wanakuja TZ ili kukwepa gharama kubwa za safari na usumbufu wa ku connect flights (ingawa sina hakika kama hili limeisha) .

Lakini naomba nitofautiane na wewe kwenye suala la kuiombea mabaya fastjet. Kwani fastjet ndy waliokuja leta mapinduzi ya usafiri wa anga hapa nchini kwa miaka zaidi ya mitano iliyopita tangu waingie nchini. Sera ya fastjet ya "nafuu" yani nauli ambazo mtanzania wa kipato cha kati na hata cha kawaida kuweza kumudu, ndy iliyopelekea watanzania wengi kuona suala la kupanda ndege ni la kawaida, tofauti na zamani ilikuwa mtu kupanda ndege lazima uwe vzr kweli kweli. Kifupi fastjet wamefanikiwa ktk eneo hilo na pia tumpongeze aliewakaribisha. Sikatai, ni kweli kumekuepo na mapungufu kadha wa kadha kwa shirika hilo lkn wacha sifa zao tuwape. Lakn lingine me naamini kwasasa fastjet hawezi kufa kirahisi sababu ana international routes zaidi ya tano kama sikosei, na nauli zake zinavumilika , kwahy maoni yangu naona ni vyema waka coexist tu , ili sisi watumiaji tuweze kunufaika. Yule atakae kuwa na huduma bora na zakipekee atavuna wateja wengi zaidi. Siungi mkono hoja ya Atcl kuwa peke yao ktk soko, italeta shida sana kama ilivyo kwa usafiri wa majini kwa hv sasa.

Consistency- katika hiki kipengele ningependa nizungumzie kwa juu aliyopitia fastjet mpk kuweza kusurvive mpk Leo. Sisi sote tunajua kuwa mashirika mengi ya ndege hujiendesha kwa hasara, kutokana na gharama kubwa za uendeshaji wake angalia mfano ni juzi tu Kenyaairways wametangaza hasara kwa shirika Lao, Ethiopia ambao wako juu Africa nzima wanapata loss juu ya uendashaji wa shirika hilo, pia usisahau air India nao walitangaza hasa kubwa kwenye shirika lao. Fastjet wamekua wakitangaza hasara ktk uendeshaji wa shirika lao mara kwa mara, lkn wapo wameendelea kutupa huduma. Sasa shirika letu tutalipima kama litaweza kupita katika tanuli hilo, na kuendelea kutoa huduma kwa kiwango kile kile.

Mwisho kabisa, ningependa kama ulivyoshauri kuwa hii ndege yetu ya dreamliner tusi imissuse kwa kuipa safari fupi. Tutafute route ndefu za kutosha na hasa zenye flow kubwa ya wageni wetu wa utalii kama Germany, London na Marekani. Kukiwa na direct flight toka sehemu hzo bila shaka ujivuni kwa taifa letu utaongezeka na pia kutakuwa na tija kubwa sana.

Pia ningependa kutoa rai yangu kwa mamlaka zinazohusika na uteuzi wa watendaji wa shirika hilo na mashirika mengine ya umma, zifanye upembuzi yakinifu ili kusudi kumpata mtendaji mkuu mwenye kariba zile nzr za Neemia Mchechu na Dr. Dau, hawa watu kwa kutumia utashi wao na mikakati mizuri waliyoweka waliweza kufufua na kuyakuza mashirika ya umma yaliyokuwa yanachechemea, tusiangalie tu vyeti vya mtu kisa ni injinia au professa basi anaweza kusimamia taasisi fln ya serikali, bali tunataka mtu mwenye vision za kweli, mzalendo na mwenye kuumiza kichwa kweli kweli hata kama yupo nje ya nchi huko tumchukue, mbona aliepita alifanya hicho.....mwisho wa siku sisi lengo letu ni moja tunataka tukikaa mahali tukitajwa kama watanzania tuji free proud...na naamini Mh. Rais ni muumini wa mabadiliko makubwa (mega changes) atafanyia kazi maoni mbalimbali.

....lakini kwa msisitizo mkubwa kabisa tukiacha siasa pembeni, nasema suala la kufufua ATCL lina maslai makubwa sana kwa nchi na tunampongeza rais kwa hilo.
 
Mkuu pascal Mayala I concur with you kuhusu suala la Mh. Rais kufufua Atcl , kwani ilikua ni aibu kwa nchi yetu kutokua na shirika lake la ndege, ukizingatia kila uchwao idadi ya watalii toka kona mbalimbali za dunia inaongezeka...ilifika mahali watalii walikua wanapitia via Kenyaairways, Kenya kisha wanakuja TZ ili kukwepa gharama kubwa za safari na usumbufu wa ku connect flights (ingawa sina hakika kama hili limeisha) .

Lakini naomba nitofautiane na wewe kwenye suala la kuiombea mabaya fastjet. Kwani fastjet ndy waliokuja leta mapinduzi ya usafiri wa anga hapa nchini kwa miaka zaidi ya mitano iliyopita tangu waingie nchini. Sera ya fastjet ya "nafuu" yani nauli ambazo mtanzania wa kipato cha kati na hata cha kawaida kuweza kumudu, ndy iliyopelekea watanzania wengi kuona suala la kupanda ndege ni la kawaida, tofauti na zamani ilikuwa mtu kupanda ndege lazima uwe vzr kweli kweli. Kifupi fastjet wamefanikiwa ktk eneo hilo na pia tumpongeze aliewakaribisha. Sikatai, ni kweli kumekuepo na mapungufu kadha wa kadha kwa shirika hilo lkn wacha sifa zao tuwape. Lakn lingine me naamini kwasasa fastjet hawezi kufa kirahisi sababu ana international routes zaidi ya tano kama sikosei, na nauli zake zinavumilika , kwahy maoni yangu naona ni vyema waka coexist tu , ili sisi watumiaji tuweze kunufaika. Yule atakae kuwa na huduma bora na zakipekee atavuna wateja wengi zaidi. Siungi mkono hoja ya Atcl kuwa peke yao ktk soko, italeta shida sana kama ilivyo kwa usafiri wa majini kwa hv sasa.

Consistency- katika hiki kipengele ningependa nizungumzie kwa juu aliyopitia fastjet mpk kuweza kusurvive mpk Leo. Sisi sote tunajua kuwa mashirika mengi ya ndege hujiendesha kwa hasara, kutokana na gharama kubwa za uendeshaji wake angalia mfano ni juzi tu Kenyaairways wametangaza hasara kwa shirika Lao, Ethiopia ambao wako juu Africa nzima wanapata loss juu ya uendashaji wa shirika hilo, pia usisahau air India nao walitangaza hasa kubwa kwenye shirika lao. Fastjet wamekua wakitangaza hasara ktk uendeshaji wa shirika lao mara kwa mara, lkn wapo wameendelea kutupa huduma. Sasa shirika letu tutalipima kama litaweza kupita katika tanuli hilo, na kuendelea kutoa huduma kwa kiwango kile kile.

Mwisho kabisa, ningependa kama ulivyoshauri kuwa hii ndege yetu ya dreamliner tusi imissuse kwa kuipa safari fupi. Tutafute route ndefu za kutosha na hasa zenye flow kubwa ya wageni wetu wa utalii kama Germany, London na Marekani. Kukiwa na direct flight toka sehemu hzo bila shaka ujivuni kwa taifa letu utaongezeka na pia kutakuwa na tija kubwa sana.....lakini kwa msisitizo mkubwa kabisa tukiacha siasa pembeni, nasema suala la kufufua ATCL lina maslai makubwa sana kwa nchi na tunampongeza rais kwa hilo.
Well said
 
Na tuomboleze,

Kufa kwa fast jet ndio kufa kwa ndoto za watu wengi kuendelea kukwea pipa,ATC watapandisha bei zao mda sio mrefu hivyo tujiandae kisaikolojia.
 
Pascal; umeanza vizuri sana ila ukaanza kuboronda!! Umesema hela za umma ni lazima ziheshimike na hakuna mamlaka yoyote au mtu yeyote anaweza kuzitumia atakavyo ...ni lazima afuate sheria..

Mna njaa kali nyumbani hakuna cha kutafuna; mshua anakuchomoa wewe pekee mnakwenda naye nyumba ndogo yake, kule unapiga msosi mboga saba; anakupa na pocket money kidogo unarudi home midomo imenona unaanza kiwasimulia bi mkubwa na nduguzo kwamba jamani eee pamoja na ubaya wa dingi ila kuna mengine mi namkubali iasee tusimlaumu sana....huku ukifuta futa midomo wasikutambue ...

Nafikiri umepata point yangu maana wewe ni mwerevu... ukishafanya kosa hakuna namna utatumia product ya kosa kulisafisha kosa hilo ligeuke kuwa neema, kitu hicho hakipo... Principal ya kosa inabakia palepale na lazima uijibu.
 
Sawa sawa kabisa. Leo umefikisha ujumbe bila ya kutukwaza kina sisi. Ila tabu bado ipo pale pale: Je, tumejipangaje kwa serikali yetu kugeuka mfanyabiashara kwa kuuwa sekta binafsi?
 
Wanabodi,

Japo mimi ni miongoni mwa wale tuliopinga ununuzi wa ndege kwa cash money, na serikali yetu kufanya matumizi makubwa kama haya ya manunuzi makubwa kwa kutumia fedha za umma bila idhini ya Bunge, kwa sababu fedha za umma zinaongozwa na sheria, taratibu na kanuni, mtu hata ukiwa nani, huwezi tuu kujichotea fedha za umma na kuzitumia kununulia chochote bila kufuata sheria, taratibu na kanuni ikiwemo idhini ya bunge, unless matumizi hayo ni ya dharura, lakini mimi ni mmoja wa massuporter wakubwa wa hatua mbalimbali zinazochukuliwa na rais Magufuli kufufua uchumi wa taifa letu, ikiwemo kulifufua Shirika la Ndege la ATCL.

Baada ya kuwasili kwa Bombadier, nikashauri serikali yetu, tutumie political will kuinusuru ATC na ushindani usio sawia.
Je, ATCL inahujumiwa kibiashara? Tutumie a political will kuinusuru au tuiache iangamizwe na ushindani? - JamiiForums

Fast Jet nao wakapunguza sana nauli zao na kuamua kupeleka ndege zao routes zile zile za ATC kwa bei poa zaidi, kwa vile Fast Jet wanatumia JET, na ATC wanatumia pangaboi, Fast Jet aliendelea kuipiga bao ATC.

Ujio wa Dreamliner umekuja kufunga kazi. Japo siungi mkono kurusha dege kubwa kama dreamliner kwa domestic routes ambazo ni route fupi fupi, sio tuu tunaichosha bure dreamliner yetu, bali pia tunaichakaza kwa paa shuka paa shuka ndani ya muda mfupi, lakini baada ya kuipokea taarifa hii kutoka humu humu jf, African airline Fastjet reveals urgent need for more cash - JamiiForums
kiukweli sasa ndio naungana na Watanzania wengine kumpongeza rais Magufuli kwa ununuzi wa ndege hizi. Pia sasa nalipongeza shirika la Ndege la Tanzania, ATCL kulirusha hili lidude routes za ndani za Mwanza na Kilimanjaro, kwa sababu kufuatia ujio wa Dreamliner, sasa Fast Jet, inapumulia mashine, na sio tuu itasitisha huduma zake Tanzania na kufungasha rasmi, bali Fast Jet, itakufa rasmi kwasababu roho ya Fast Jet, ni biashara ya Tanzania.

Kufuatia Dreamliner ya ATCL kuruka Mwanza na Kilimanjaro, Fast Jet na Precision zimekosa abiria wa Mwanza na Kilimanjaro, hivyo sasa Fast Jet, ni soon atakubali matokeo na kunyanyua mikono yake juu, atabaki Precision, hivyo kama anataka usalama na kuendelea ku survive, asarender routes za Mwanza na Kilimanjaro kwa ATCL, yeye aende routes nyingine za mikoa mingine ambayo haina ndege kama Singida, Shinyanga, Songea etc.

Kufa kufaana, hivyo taarifa za Fast Jet kupumulia mashine ni habari njema kwa Watanzania wazalendo na ATC yetu, kwa sababu nimeisha safiri na Dreamliner safari 8, na hakunahata safari moja ndege ilijaa, hivyo nikaogopa kama ni hii, then nikajisemea kimoyo moyo kuwa hii Dreamliner inaoparate kwa hasara, lakini kutokana na zile mbwembwe za mapokezi ya ndege hii, no one can dare say that!, hivyo hasara hiyo itabebwa kimya kimya kufa kizungu na tai shingoni, hivyo kifo cha Fast Jet ni neema kwa ATC ambapo sasa dreamliner yetu itajaa.

Japo sio ustaarabu kufurahia matatizo ya mwenzako, kama kifo cha Fast Jet kwa sababu, ni Fastjet ndio walituokoa wakati ATC ilipokufa na PAA wakawa wanatukomoa!. Besides wafanyakazi ni Watanzania wenzetu, na Fast Jet, ilikuwa inafanya biashara halali na kuchangia uchumi wa taifa, hivyo tusiibeze Fastjet au kufuraia kifo chake, lakini tukubali tukatae, mgeni alineemeka wakati mwenyeji akichechemea, sasa mwenyeji kapona, inabidi mgeni arudi kwao.

Tena kwa muda mrefu Tanzania imekuwa ikifanywa ni shamba la bibi, kwa kila mtu kutoka anakotoka na kuja kujichumia na kujivunia as if Tanzania haina wenyewe, kwa vile Fastjet ni shirika la kigeni, then faida yote inapelekwa huko nje kwa wenye hisa, hivyo ATC sasa imeonyesha, kwenye usafiri wa anga, Tanzania ina wenyewe. Hivyo hata Fast Jet wakifungasha, abiria bado wataendelea kupanda ATCL, hivyo taifa kuendelea kupata mapato, na kwa vile ATC bado inaleta ndege nyingine 4, itaweza kuwameza wafanyakazi wote wa Fast Jet.

Kuna mwanajf huyu alisema jambo la maana sana hapa, Hakuna abiria wa kushindanisha kwa "afya" mashirika matatu ya ndege kwa safari za ndani - JamiiForums
Hivyo naamini PAA watajiandaa yasiwakute ya Fastjet.

Hivyo sasa ATC sio tuu itatawala soko, bali sasa ndio itarudisha heshima ya nchi, inarudisha heshima Taifa, na huu utaratibu wa kuwafungasha virago watu, uendelee kwa routes za Afrika Mashariki, tuje routes za Ghuba, India na China, kisha tufunge kazi na New York na London.

Poleni sana Fast Jet, Hongera ATCL
Mungu Ibariki Tanzania.

Paskali.
Uchumi wa Magufuli: Precision Air Yapumulia Machine. Yapunguza Wafanyakazi 136! - JamiiForums

Ushauri wa Bure kwa ATC: Anzisheni frequently fliers na fanyeni over booking kwa waiting list. - JamiiForums
Ndege ya ATCL yachelewa kuondoka ndani ya muda; watoa ufafanuzi! - JamiiForums

Tupunguze "kuisimanga" ATCL, haijengi zaidi ya kukatisha tamaa - JamiiForums

Zitto Zuberi Kabwe Ni Mchochezi, Akamatwe, Ashitakiwe Kwa ...
Naona mnatumia nguvu na fitina kubwa sana ili kuhakikisha mnabaki pekee yenu kwenye biashara. Tunaambiwa sasa mnakuja na tozo za ulinzi; $5 kwa safari za nje na $2 kwa safari za ndani kwa kila abiria.
 
September 28, 2018
Dar es Salaam, Tanzania
FastJet Tanzania yaomba kujitenga kutoka FastJet PLC
Kampuni ya usafiri wa anga ya FastJet Tanzania ktk mahojiano na Azam Tv kupitia Kwa mkurugenzi wake hapa Tanzania Bw. Derrick Luembe imekanusa tetesi za kuporomoka kwa biashara yake na kusema mafanikio waliyoyapata kwa kipindi cha miaka 6 iliyopita imewafanya waanze mchakato wa kuomba kujitenga na kampuni mama 'FastJet Plc ya Uingereza

Source: Azam TV
FASTJET Plc DETACHING FROM FASTJET Tanzania Ltd
During the interview, Mr Luembe said the move to be delinked from London is an operational advantage that will see the local office save more than $300,000 (Sh690 million) monthly.
“Fastjet Plc detaching from Fastjet Tanzania Ltd should not worry the public because for some time now we have been operating on our own,” said Mr Luembe.
“We are now going to become much more efficient and responsive. Our customers will keep on getting the same quality of service and maintain our on-time record performance.”
The general manager said the company would no longer pay substantial amount (not quantified) to the parent company as management fees. He expounded that the move would also reduce regulator burden from UK.
“The airline will now sign all its contracts locally thus giving room to get competitive prices also stressing that Tanzania which accounts for 70 per cent of the airlines income makes such move viable.” said Mr Luembe.
On the delay to clear the ATRs, he said the matter was procedural and hoped the hurdle will be cleared. “We could not get the routes that we are planning. But this is a regulatory matter,” said Mr Luembe, noting that the airline intended to get an expanded air service licence that gives more routes.
Mr Luembe said already TCAA has approved the company’s business plan for expansion of its routes.
TCAA public information officer Bestina Magutu said FastJet’s request would be discussed during the stakeholders’ public hearing slatted for November 28, 2018.

Fastjet’s shareholders include activist M&G Investments, Janus Henderson and South African carrier Solenta. It was founded by Haji-Ioannou, the son of a shipping magnate who modelled it on the likes of no-frills airlines easyJet and Ryanair.
Source : www.thecitizen.co.tz
 
Wachangiaji wengi humu hawaifahamu vyema sekta ya usafirishaji wa anga.

Ndege huvuna mapato yake wakati wa high season na kisha kuendelea kurusha ndege zake zikiwa na abiria kiduchu wanaolipa nauli ya bei ndogo. High season inaweza kuwa kipindi cha likizo za wanafunzi au hata kufuatana na matukio makubwa /makongamano au dalili zake ghafla ktk online demand ya tiketi nyingi.

Hivyo ukiona PrecisionAir au Fastjet inarusha ndege huku imebeba abiria wachache hiyo haina maana inaelekea kufilisika.

Biashara ya ndege ni sawa na ya mabasi ya abiria yatokayo DSM kwenda mikoani ambapo wakati wa likizo za wanafunzi au Christmas bei ya tiketi hupanda shukrani SUMATRA wanadhibiti bei ya tiketi za mabasi lakini upande wa ndege tiketi hazidhibitiwi na SUMATRA hivyo wao huvuna kipindi cha abiria wengi.
 
Kwenye biashara hatuangalii tumeuza ngapi Bali tumepata faida kiasi gani ukiondoa gharama zote za uendeshaji
 
Paschal. Hilo si jambo la kufurahia hasa ukizingatia kwamba kuwa na upinzani (mbadala) aidha kwenye biashara,kiuchumi au kisiasa kuna faida zake. Mara nyingi ukiwa mwenyewe kwenye ulingo pekee unatengeneza mazingira ya kubweteka na na sisi tunaopewa huduma tunakuwa hatuna choice kwa hiyo tunalazimika kuendelea kupata huduma mbovu.Tumejifunza sana kwenye mashirika yetu mengi ambayo yalikuwa hayana ushindani.
Ushindani unajenga hasa kuleta ubunifu na tija kwenye mashirika yetu. Tutacheka kwamba Fast jet wanaondoka na Precision wanakufa lakini hatutakuwa salama kwa kudhani ni uzalendo.
 
Back
Top Bottom