ATC Sasa Yaanza Kuleta Heshima ya Nchi, Yapunguza Tanzania Kufanywa Shamba la Bibi, FastJet Yapumulia Mashine, Soon Itafungasha Virago!.

Wanabodi,

Japo mimi ni miongoni mwa wale tuliopinga ununuzi wa ndege kwa cash money, na serikali yetu kufanya matumizi makubwa kama haya ya manunuzi makubwa kwa kutumia fedha za umma bila idhini ya Bunge, kwa sababu fedha za umma zinaongozwa na sheria, taratibu na kanuni, mtu hata ukiwa nani, huwezi tuu kujichotea fedha za umma na kuzitumia kununulia chochote bila kufuata sheria, taratibu na kanuni ikiwemo idhini ya bunge, unless matumizi hayo ni ya dharura, lakini mimi ni mmoja wa massuporter wakubwa wa hatua mbalimbali zinazochukuliwa na rais Magufuli kufufua uchumi wa taifa letu, ikiwemo kulifufua Shirika la Ndege la ATCL.

Baada ya kuwasili kwa Bombadier, nikashauri serikali yetu, tutumie political will kuinusuru ATC na ushindani usio sawia.
Je, ATCL inahujumiwa kibiashara? Tutumie a political will kuinusuru au tuiache iangamizwe na ushindani? - JamiiForums

Fast Jet nao wakapunguza sana nauli zao na kuamua kupeleka ndege zao routes zile zile za ATC kwa bei poa zaidi, kwa vile Fast Jet wanatumia JET, na ATC wanatumia pangaboi, Fast Jet aliendelea kuipiga bao ATC.

Ujio wa Dreamliner umekuja kufunga kazi. Japo siungi mkono kurusha dege kubwa kama dreamliner kwa domestic routes ambazo ni route fupi fupi, sio tuu tunaichosha bure dreamliner yetu, bali pia tunaichakaza kwa paa shuka paa shuka ndani ya muda mfupi, lakini baada ya kuipokea taarifa hii kutoka humu humu jf, African airline Fastjet reveals urgent need for more cash - JamiiForums
kiukweli sasa ndio naungana na Watanzania wengine kumpongeza rais Magufuli kwa ununuzi wa ndege hizi. Pia sasa nalipongeza shirika la Ndege la Tanzania, ATCL kulirusha hili lidude routes za ndani za Mwanza na Kilimanjaro, kwa sababu kufuatia ujio wa Dreamliner, sasa Fast Jet, inapumulia mashine, na sio tuu itasitisha huduma zake Tanzania na kufungasha rasmi, bali Fast Jet, itakufa rasmi kwasababu roho ya Fast Jet, ni biashara ya Tanzania.

Kufuatia Dreamliner ya ATCL kuruka Mwanza na Kilimanjaro, Fast Jet na Precision zimekosa abiria wa Mwanza na Kilimanjaro, hivyo sasa Fast Jet, ni soon atakubali matokeo na kunyanyua mikono yake juu, atabaki Precision, hivyo kama anataka usalama na kuendelea ku survive, asarender routes za Mwanza na Kilimanjaro kwa ATCL, yeye aende routes nyingine za mikoa mingine ambayo haina ndege kama Singida, Shinyanga, Songea etc.

Kufa kufaana, hivyo taarifa za Fast Jet kupumulia mashine ni habari njema kwa Watanzania wazalendo na ATC yetu, kwa sababu nimeisha safiri na Dreamliner safari 8, na hakunahata safari moja ndege ilijaa, hivyo nikaogopa kama ni hii, then nikajisemea kimoyo moyo kuwa hii Dreamliner inaoparate kwa hasara, lakini kutokana na zile mbwembwe za mapokezi ya ndege hii, no one can dare say that!, hivyo hasara hiyo itabebwa kimya kimya kufa kizungu na tai shingoni, hivyo kifo cha Fast Jet ni neema kwa ATC ambapo sasa dreamliner yetu itajaa.

Japo sio ustaarabu kufurahia matatizo ya mwenzako, kama kifo cha Fast Jet kwa sababu, ni Fastjet ndio walituokoa wakati ATC ilipokufa na PAA wakawa wanatukomoa!. Besides wafanyakazi ni Watanzania wenzetu, na Fast Jet, ilikuwa inafanya biashara halali na kuchangia uchumi wa taifa, hivyo tusiibeze Fastjet au kufuraia kifo chake, lakini tukubali tukatae, mgeni alineemeka wakati mwenyeji akichechemea, sasa mwenyeji kapona, inabidi mgeni arudi kwao.

Tena kwa muda mrefu Tanzania imekuwa ikifanywa ni shamba la bibi, kwa kila mtu kutoka anakotoka na kuja kujichumia na kujivunia as if Tanzania haina wenyewe, kwa vile Fastjet ni shirika la kigeni, then faida yote inapelekwa huko nje kwa wenye hisa, hivyo ATC sasa imeonyesha, kwenye usafiri wa anga, Tanzania ina wenyewe. Hivyo hata Fast Jet wakifungasha, abiria bado wataendelea kupanda ATCL, hivyo taifa kuendelea kupata mapato, na kwa vile ATC bado inaleta ndege nyingine 4, itaweza kuwameza wafanyakazi wote wa Fast Jet.

Kuna mwanajf huyu alisema jambo la maana sana hapa, Hakuna abiria wa kushindanisha kwa "afya" mashirika matatu ya ndege kwa safari za ndani - JamiiForums
Hivyo naamini PAA watajiandaa yasiwakute ya Fastjet.

Hivyo sasa ATC sio tuu itatawala soko, bali sasa ndio itarudisha heshima ya nchi, inarudisha heshima Taifa, na huu utaratibu wa kuwafungasha virago watu, uendelee kwa routes za Afrika Mashariki, tuje routes za Ghuba, India na China, kisha tufunge kazi na New York na London.

Poleni sana Fast Jet, Hongera ATCL
Mungu Ibariki Tanzania.

Paskali.
Uchumi wa Magufuli: Precision Air Yapumulia Machine. Yapunguza Wafanyakazi 136! - JamiiForums

Ushauri wa Bure kwa ATC: Anzisheni frequently fliers na fanyeni over booking kwa waiting list. - JamiiForums
Ndege ya ATCL yachelewa kuondoka ndani ya muda; watoa ufafanuzi! - JamiiForums

Tupunguze "kuisimanga" ATCL, haijengi zaidi ya kukatisha tamaa - JamiiForums

Zitto Zuberi Kabwe Ni Mchochezi, Akamatwe, Ashitakiwe Kwa ...
Update 1
Very objective and constructive contribution

Majitu ambayo yanachanganya biashara na siasa mufilisi za serikali ya CCM ni ya hovyo kabisa....

Tangu lini competitor wako akipumulia mashine wewe upo salama?

Biashara gani kubwa ya capital intensive kama ya air logistics rival kwenye same industry anakufa halafu wewe ukawa salama?

Kuna tatizo kubwa limeingia kwenye sector hiyo na sio TZ tu na FastJest ni just indication what is coming for ATCL big time!

Watch this space!
 
Kuweka kumbukumbu sawa.
ATCL haiko kufanya biashara iko kutoa huduma. Toka limeanzishwa mpaka leo hii halijawahi kutangaza kutengeneza faida. Hivyo sio sahihi kuilinganisha ATCL na kampuni zingine za ndege.

Jambo la Pili, Fast Jet hawawezi kutishika kibiashara kwa ujio wa Dreamliner. Kwanini? Safari za ndani za Dreamliner zilikuwa za majaribio tena kwa mwezi mmoja tu, katika mazingira hayo hao Fastjet hawawezi kutikiswa kibiashara ikiwa Dreamliner itakuwa imeleta ushindani dhidi yao.

Yote kwa yote, ugumu wa maisha ya sasa umeathiri watu wengi sana, hivyo usafiri wa Anga ambao kwa watanzania wengi ni usafiri wa Luxury, High Class, High business cadre, Higher government officers ni lazima utaathirika.
 
Uwepo wa ''USHINDANI wa kibiashara'' ndiyo huongeza 'UBORA' wa huduma.

Siombei FAST JET na Mashirika mengine 'kufungasha' vilago kabisa. Kwa nchi hii navyoijua, hiyo ATCL kama watabaki peke yao tu kwenye Aviation business, tarajia huduma mbovu sana na kero za kutosha tu. Sitashangaa siku nikisikia kuwa ''ATCL yaacha abiria wote airport wakipiga miayo, yampeleka Naibu Waziri kwenda kuzindua zahanati".

By the way, naiombea ustawi ATCL yetu. However, it should strive to thrive within fair competition, with profit. Mtu aki-monopolize soko peke yake, bidii hukosa na ubunifu wa huduma hupotea. Anabaki anakuna kitambi tu na kulala usingizi wa pono.

Mkuu Paschal, hongera kwa nyuzi zako nzuri. You are always very informative.

-Kaveli-
 
Wachangiaji wengi humu hawaifahamu vyema sekta ya usafirishaji wa anga.

Ndege huvuna mapato yake wakati wa high season na kisha kuendelea kurusha ndege zake zikiwa na abiria kiduchu wanaolipa nauli ya bei ndogo. High season inaweza kuwa kipindi cha likizo za wanafunzi au hata kufuatana na matukio makubwa /makongamano au dalili zake ghafla ktk online demand ya tiketi nyingi.

Hivyo ukiona PrecisionAir au Fastjet inarusha ndege huku imebeba abiria wachache hiyo haina maana inaelekea kufilisika.

Biashara ya ndege ni sawa na ya mabasi ya abiria yatokayo DSM kwenda mikoani ambapo wakati wa likizo za wanafunzi au Christmas bei ya tiketi hupanda shukrani SUMATRA wanadhibiti bei ya tiketi za mabasi lakini upande wa ndege tiketi hazidhibitiwi na SUMATRA hivyo wao huvuna kipindi cha abiria wengi.

Kwa hiyo dreamliner kwenda Mwanza na viti nusu bado wanatengeneza faida? hivi unafikiri kuna ndege inaweza kushindana na Fastjet kwa kujaza abiria ktk flight mission zake za ndani? si kweli kuwa Biashara ya Ndege si sawasawa na Ngorika Bus inayotoka Ubungo tupu nakuanza kuokoteza abiria njiani kufidia upungufu na kujaza mizigo ya wafanyabiashara kwenye boot kama lori
 
Hawa ATCL hata waende tupu bila abiria, kodi ya wananchi kupitia ruzuku inayotolewa na serikali inawabeba. Ruzuku ikifutwa ATCL inakufa kifo cha ghafla.

Ndo maana nikatoa mfano kwa mashirika yanayofanya biashara ya usafiri wa anga bila kutegemea ruzuku toka serikalini kama Fastjet na PrecisionAir.
 
I don't get your point. Are you implying that having one airline controlling market is the best thing? You must be having a big problem or interested on something else. Sooner than later, you will be crying to have Fastjet back. Long after they are gone and the ATC will be defunct.

Competition keep various companies better their services. With Fastjet exit, ATCL will be going back to business as usual. As much as I want them to succeed, state sponsored corporation never do too well in the free market. Especially then when their heads are appointed by the head of state.
 
Wanabodi,

Japo mimi ni miongoni mwa wale tuliopinga ununuzi wa ndege kwa cash money, na serikali yetu kufanya matumizi makubwa kama haya ya manunuzi makubwa kwa kutumia fedha za umma bila idhini ya Bunge, kwa sababu fedha za umma zinaongozwa na sheria, taratibu na kanuni, mtu hata ukiwa nani, huwezi tuu kujichotea fedha za umma na kuzitumia kununulia chochote bila kufuata sheria, taratibu na kanuni ikiwemo idhini ya bunge, unless matumizi hayo ni ya dharura, lakini mimi ni mmoja wa massuporter wakubwa wa hatua mbalimbali zinazochukuliwa na rais Magufuli kufufua uchumi wa taifa letu, ikiwemo kulifufua Shirika la Ndege la ATCL.

Baada ya kuwasili kwa Bombadier, nikashauri serikali yetu, tutumie political will kuinusuru ATC na ushindani usio sawia.
Je, ATCL inahujumiwa kibiashara? Tutumie a political will kuinusuru au tuiache iangamizwe na ushindani? - JamiiForums

Fast Jet nao wakapunguza sana nauli zao na kuamua kupeleka ndege zao routes zile zile za ATC kwa bei poa zaidi, kwa vile Fast Jet wanatumia JET, na ATC wanatumia pangaboi, Fast Jet aliendelea kuipiga bao ATC.

Ujio wa Dreamliner umekuja kufunga kazi. Japo siungi mkono kurusha dege kubwa kama dreamliner kwa domestic routes ambazo ni route fupi fupi, sio tuu tunaichosha bure dreamliner yetu, bali pia tunaichakaza kwa paa shuka paa shuka ndani ya muda mfupi, lakini baada ya kuipokea taarifa hii kutoka humu humu jf, African airline Fastjet reveals urgent need for more cash - JamiiForums
kiukweli sasa ndio naungana na Watanzania wengine kumpongeza rais Magufuli kwa ununuzi wa ndege hizi. Pia sasa nalipongeza shirika la Ndege la Tanzania, ATCL kulirusha hili lidude routes za ndani za Mwanza na Kilimanjaro, kwa sababu kufuatia ujio wa Dreamliner, sasa Fast Jet, inapumulia mashine, na sio tuu itasitisha huduma zake Tanzania na kufungasha rasmi, bali Fast Jet, itakufa rasmi kwasababu roho ya Fast Jet, ni biashara ya Tanzania.

Kufuatia Dreamliner ya ATCL kuruka Mwanza na Kilimanjaro, Fast Jet na Precision zimekosa abiria wa Mwanza na Kilimanjaro, hivyo sasa Fast Jet, ni soon atakubali matokeo na kunyanyua mikono yake juu, atabaki Precision, hivyo kama anataka usalama na kuendelea ku survive, asarender routes za Mwanza na Kilimanjaro kwa ATCL, yeye aende routes nyingine za mikoa mingine ambayo haina ndege kama Singida, Shinyanga, Songea etc.

Kufa kufaana, hivyo taarifa za Fast Jet kupumulia mashine ni habari njema kwa Watanzania wazalendo na ATC yetu, kwa sababu nimeisha safiri na Dreamliner safari 8, na hakunahata safari moja ndege ilijaa, hivyo nikaogopa kama ni hii, then nikajisemea kimoyo moyo kuwa hii Dreamliner inaoparate kwa hasara, lakini kutokana na zile mbwembwe za mapokezi ya ndege hii, no one can dare say that!, hivyo hasara hiyo itabebwa kimya kimya kufa kizungu na tai shingoni, hivyo kifo cha Fast Jet ni neema kwa ATC ambapo sasa dreamliner yetu itajaa.

Japo sio ustaarabu kufurahia matatizo ya mwenzako, kama kifo cha Fast Jet kwa sababu, ni Fastjet ndio walituokoa wakati ATC ilipokufa na PAA wakawa wanatukomoa!. Besides wafanyakazi ni Watanzania wenzetu, na Fast Jet, ilikuwa inafanya biashara halali na kuchangia uchumi wa taifa, hivyo tusiibeze Fastjet au kufuraia kifo chake, lakini tukubali tukatae, mgeni alineemeka wakati mwenyeji akichechemea, sasa mwenyeji kapona, inabidi mgeni arudi kwao.

Tena kwa muda mrefu Tanzania imekuwa ikifanywa ni shamba la bibi, kwa kila mtu kutoka anakotoka na kuja kujichumia na kujivunia as if Tanzania haina wenyewe, kwa vile Fastjet ni shirika la kigeni, then faida yote inapelekwa huko nje kwa wenye hisa, hivyo ATC sasa imeonyesha, kwenye usafiri wa anga, Tanzania ina wenyewe. Hivyo hata Fast Jet wakifungasha, abiria bado wataendelea kupanda ATCL, hivyo taifa kuendelea kupata mapato, na kwa vile ATC bado inaleta ndege nyingine 4, itaweza kuwameza wafanyakazi wote wa Fast Jet.

Kuna mwanajf huyu alisema jambo la maana sana hapa, Hakuna abiria wa kushindanisha kwa "afya" mashirika matatu ya ndege kwa safari za ndani - JamiiForums
Hivyo naamini PAA watajiandaa yasiwakute ya Fastjet.

Hivyo sasa ATC sio tuu itatawala soko, bali sasa ndio itarudisha heshima ya nchi, inarudisha heshima Taifa, na huu utaratibu wa kuwafungasha virago watu, uendelee kwa routes za Afrika Mashariki, tuje routes za Ghuba, India na China, kisha tufunge kazi na New York na London.

Poleni sana Fast Jet, Hongera ATCL
Mungu Ibariki Tanzania.

Paskali.
Uchumi wa Magufuli: Precision Air Yapumulia Machine. Yapunguza Wafanyakazi 136! - JamiiForums

Ushauri wa Bure kwa ATC: Anzisheni frequently fliers na fanyeni over booking kwa waiting list. - JamiiForums
Ndege ya ATCL yachelewa kuondoka ndani ya muda; watoa ufafanuzi! - JamiiForums

Tupunguze "kuisimanga" ATCL, haijengi zaidi ya kukatisha tamaa - JamiiForums

Zitto Zuberi Kabwe Ni Mchochezi, Akamatwe, Ashitakiwe Kwa ...
Update 1
Very objective and constructive contribution
Mkuu nilitegemea kwamba you are an original thinker, lakini unakoelekea si kuzuri.
Katika Market Economy kinacho drive business ni competition.
Na competition inaleta unafuu wa gharama na bei kwa mlaji.
Monopoly haijaweza popote kuleta ufanisi wala unafuu wa gharama kwa mlaji.

Pamoja na kuikubali sana drive ya Serikali kuleta Dreamliner, Bombardier na Ndege nyingine, ni ushidani tu utakaowaweka kazini.
Emirates pamoja na uwanja wao mzuri sana pale Dubai, inakaribisha ushindani na kuwa beat washindani hands down.
Hata ikafikia Marekani kuwapiga marufuku kuingia kwao, maana wanajua jamaa ni good katika service na delivery(flying time).

Sisi tulipanda sana Ndege za ATC miaka ya 80-90's. Na tunakumbuka ilivyoanza pole pole kudorora hadi ikaitwa Any Time Cancellation badala ya Air Tanzania Corporation.

Management ya wazungu(Waholanzi) ilipoondoka tu, na shirika likaanguka.
Namkumbuka sana Captain Frank~Mholanzi, Watanzania Captain Malikita, Captain Lazaro, Captain Mazula(wote wawili) waliokuwa wakipaisha Fokker27 hadi Boeing 737.

Pamoja na kununua Ndege , ni muhimu tujikite katika kuondoa matatizo yanayoweza kuondoa ufanisi wa kuliendesha shirika.
Masuala ya Hangar za maintainance na technical staff kupunguza au kuondoa kabisa down time, marketing drive ili kupata wateja wengi, kupanga economical routes, kudevelop Hub ya ATC(Dar es salaam).
Na kama soko la ndani tutaliweza, itakuwa rahisi kuanza masoko ya safari za nje
Kwa kweli haya ndio mambo yatakayo iletea ufanisi ATC, na si kushangilia washindani wakiondoka.
 
Mkuu nilitegemea kwamba you are an original thinker, lakini unakoelekea si kuzuri.
Katika Market Economy kinacho drive business ni competition.
Na competition inaleta unafuu wa gharama na bei kwa mlaji.
Monopoly haijaweza popote kuleta ufanisi wala unafuu wa gharama na ufanisi kwa mlaji.

Pamoja na kuikubali sana drive ya Serikali kuleta Dreamliner, Bombardier na Ndege nyingine, ni ushidani tu utakaowaweka kazini.
Emirates pamoja na uwanja wao mzuri sana pale Dubai, inakaribisha ushindani na kuwa beat washindani hands down.
Hata ikafikia Marekani kuwapiga marufuku kuingia kwao, maana wanajua jamaa ni good katika service na delivery(flying time).

Sisi tulipanda sana Ndege za ATC miaka ya 80-90's. Na tunakumbuka ilivyoanza pole pole kudorora hadi ikaitwa Any Time Cancellation badala ya Air Tanzania Cororation.

Management ya wazungu(Waholanzi) ilipoondoka tu, na shirika likaanguka.
Namkumbuka sana Captain Frank~Mholanzi, Watanzania Captain Malikita, Captain Lazaro, Captain Mazula(wote wawili) waliokuwa wakipaisha Fokker27 hadi Boeing 737.

Pamoja na kununua Ndege , ni muhimu tujikite katika kuondoa matatizo yanayoweza kuondoa ufanisi wa kuliendesha shirika.
Masuala ya Hangar za maintainance na technical staff kupunguza au kuondoa kabisa down time, marketing drive ili kupata wateja wengi, kupanga economical routes, kudevelop Hub ya ATC(Dar es salaam).
Na kama soko la ndani tutaliweza, itakuwa rahisi kuanza masoko ya safari za nje
Kwa kweli haya ndio mambo yatakayo iletea ufanisi ATC, na si kushangilia washindani wakiondoka.

Umeeleza sahihi sana lakini pole hukumuelewa Pascal!
 
Acheni kujifariji na vitu ambavyo havipo.Huo ndio ukweli.ATCL ina-survive ni kwasababu tunaibeba lakini sio kwasababu kuna biashara nzuri.

Route ya Dar to Dodoma ATCL iko yenyewe lakini bado ndege haijai na hata menu wanayotoa kwa abiri inaashiria hali si nzuri.
menu gani kwani waliwapa makande?
 
Wanabodi,
Kufuatia Dreamliner ya ATCL kuruka Mwanza na Kilimanjaro, Fast Jet na Precision zimekosa abiria wa Mwanza na Kilimanjaro, hivyo sasa Fast Jet, ni soon atakubali matokeo na kunyanyua mikono yake juu, atabaki Precision, hivyo kama anataka usalama na kuendelea ku survive, asarender routes za Mwanza na Kilimanjaro kwa ATCL, yeye aende routes nyingine za mikoa mingine ambayo haina ndege kama Singida, Shinyanga, Songea etc.

Kufa kufaana, hivyo taarifa za Fast Jet kupumulia mashine ni habari njema kwa Watanzania wazalendo na ATC yetu, kwa sababu nimeisha safiri na Dreamliner safari 8, (4 return tickets) na hakuna hata safari moja ndege ilijaa full, hivyo nikaogopa kama hali yenyewe ni hii, then nikajisemea kimoyo moyo kuwa hii Dreamliner inaoparate kwa hasara, lakini kutokana na zile mbwembwe za mapokezi ya ndege hii, no one can dare say that!, hivyo hasara hiyo itabebwa kimya kimya na serikali na kufa nayo kizungu na tai shingoni, hivyo kifo cha Fast Jet ni neema kwa ATC ambapo sasa dreamliner yetu itajaa.
Update
Naomba kuwatoa wasiwasi, wasomaji wa bandiko hili, kumbe dreamliner ya ATC, inaweza kujaa, na fast jet pia ikajaa na precion air pia walikuwa ikajaa, bila shirika lolote kufa. Hata zikiishakuja hizo ndege 4 za ATC zilizobakia, bado Tanzania tuna abiria wa kutosha kuzishibisha.
P
 
Habari wadau!

Katika hali ya kuhuzunisha na kuondoa hali ya ushindani nchini wa usafiri wa anga. Shirika la ndege la fast jet limeanza kufunga virago Tanzania kwa mazingira magumu ya uwekezaji na serikali kuwanyima vibali vya baadhi ya rout na kuwanyima kibali cha kuingiza ndege mpya nchini.

Mkurugenzi wa shirika hilo kathibitisha kufunga virago kwa kushindwa kuwa na mazingira rafiki ya uwekezaji na kutotoa uwanja mpana wa ushindani
Mambo yameanza.
P
 
Yaleyale ya ccm kuogopa upinzani,sasa wewe unavyofurahia Fast jet kufungasha vilago unataka hao ATCL wajitawale na kufanya biashara as usually?hawachelewi hao kukanseli route na kuwapeleka wajumbe wa ccm mkutanoni
 
Wanabodi,

Japo mimi ni miongoni mwa wale tuliopinga ununuzi wa ndege kwa cash money, na serikali yetu kufanya matumizi makubwa kama haya ya manunuzi makubwa kwa kutumia fedha za umma bila idhini ya Bunge, kwa sababu fedha za umma zinaongozwa na sheria, taratibu na kanuni, mtu hata ukiwa nani, huwezi tuu kujichotea fedha za umma na kuzitumia kununulia chochote bila kufuata sheria, taratibu na kanuni ikiwemo idhini ya bunge, unless matumizi hayo ni ya dharura, lakini mimi ni mmoja wa massuporter wakubwa wa hatua mbalimbali zinazochukuliwa na rais Magufuli kufufua uchumi wa taifa letu, ikiwemo kulifufua Shirika la Ndege la ATCL.

Baada ya kuwasili kwa Bombadier, nikashauri serikali yetu, tutumie political will kuinusuru ATC na ushindani usio sawia.
Je, ATCL inahujumiwa kibiashara? Tutumie a political will kuinusuru au tuiache iangamizwe na ushindani? - JamiiForums

Fast Jet nao wakapunguza sana nauli zao na kuamua kupeleka ndege zao routes zile zile za ATC kwa bei poa zaidi, kwa vile Fast Jet wanatumia JET, na ATC wanatumia pangaboi, Fast Jet aliendelea kuipiga bao ATC.

Ujio wa Dreamliner umekuja kufunga kazi. Japo siungi mkono kurusha dege kubwa kama dreamliner kwa domestic routes ambazo ni route fupi fupi, sio tuu tunaichosha bure dreamliner yetu, bali pia tunaichakaza kwa paa shuka paa shuka ndani ya muda mfupi, lakini baada ya kuipokea taarifa hii kutoka humu humu jf, African airline Fastjet reveals urgent need for more cash - JamiiForums
kiukweli sasa ndio naungana na Watanzania wengine kumpongeza rais Magufuli kwa ununuzi wa ndege hizi. Pia sasa nalipongeza shirika la Ndege la Tanzania, ATCL kulirusha hili lidude routes za ndani za Mwanza na Kilimanjaro, kwa sababu kufuatia ujio wa Dreamliner, sasa Fast Jet, inapumulia mashine, na sio tuu itasitisha huduma zake Tanzania na kufungasha rasmi, bali Fast Jet, itakufa rasmi kwasababu roho ya Fast Jet, ni biashara ya Tanzania.

Kufuatia Dreamliner ya ATCL kuruka Mwanza na Kilimanjaro, Fast Jet na Precision zimekosa abiria wa Mwanza na Kilimanjaro, hivyo sasa Fast Jet, ni soon atakubali matokeo na kunyanyua mikono yake juu, atabaki Precision, hivyo kama anataka usalama na kuendelea ku survive, asarender routes za Mwanza na Kilimanjaro kwa ATCL, yeye aende routes nyingine za mikoa mingine ambayo haina ndege kama Singida, Shinyanga, Songea etc.

Kufa kufaana, hivyo taarifa za Fast Jet kupumulia mashine ni habari njema kwa Watanzania wazalendo na ATC yetu, kwa sababu nimeisha safiri na Dreamliner safari 8, na hakunahata safari moja ndege ilijaa, hivyo nikaogopa kama ni hii, then nikajisemea kimoyo moyo kuwa hii Dreamliner inaoparate kwa hasara, lakini kutokana na zile mbwembwe za mapokezi ya ndege hii, no one can dare say that!, hivyo hasara hiyo itabebwa kimya kimya kufa kizungu na tai shingoni, hivyo kifo cha Fast Jet ni neema kwa ATC ambapo sasa dreamliner yetu itajaa.

Japo sio ustaarabu kufurahia matatizo ya mwenzako, kama kifo cha Fast Jet kwa sababu, ni Fastjet ndio walituokoa wakati ATC ilipokufa na PAA wakawa wanatukomoa!. Besides wafanyakazi ni Watanzania wenzetu, na Fast Jet, ilikuwa inafanya biashara halali na kuchangia uchumi wa taifa, hivyo tusiibeze Fastjet au kufuraia kifo chake, lakini tukubali tukatae, mgeni alineemeka wakati mwenyeji akichechemea, sasa mwenyeji kapona, inabidi mgeni arudi kwao.

Tena kwa muda mrefu Tanzania imekuwa ikifanywa ni shamba la bibi, kwa kila mtu kutoka anakotoka na kuja kujichumia na kujivunia as if Tanzania haina wenyewe, kwa vile Fastjet ni shirika la kigeni, then faida yote inapelekwa huko nje kwa wenye hisa, hivyo ATC sasa imeonyesha, kwenye usafiri wa anga, Tanzania ina wenyewe. Hivyo hata Fast Jet wakifungasha, abiria bado wataendelea kupanda ATCL, hivyo taifa kuendelea kupata mapato, na kwa vile ATC bado inaleta ndege nyingine 4, itaweza kuwameza wafanyakazi wote wa Fast Jet.

Kuna mwanajf huyu alisema jambo la maana sana hapa, Hakuna abiria wa kushindanisha kwa "afya" mashirika matatu ya ndege kwa safari za ndani - JamiiForums
Hivyo naamini PAA watajiandaa yasiwakute ya Fastjet.

Hivyo sasa ATC sio tuu itatawala soko, bali sasa ndio itarudisha heshima ya nchi, inarudisha heshima Taifa, na huu utaratibu wa kuwafungasha virago watu, uendelee kwa routes za Afrika Mashariki, tuje routes za Ghuba, India na China, kisha tufunge kazi na New York na London.

Poleni sana Fast Jet, Hongera ATCL
Mungu Ibariki Tanzania.

Paskali.
Uchumi wa Magufuli: Precision Air Yapumulia Machine. Yapunguza Wafanyakazi 136! - JamiiForums

Ushauri wa Bure kwa ATC: Anzisheni frequently fliers na fanyeni over booking kwa waiting list. - JamiiForums
Ndege ya ATCL yachelewa kuondoka ndani ya muda; watoa ufafanuzi! - JamiiForums

Tupunguze "kuisimanga" ATCL, haijengi zaidi ya kukatisha tamaa - JamiiForums

Zitto Zuberi Kabwe Ni Mchochezi, Akamatwe, Ashitakiwe Kwa ...
Update 1
Very objective and constructive contribution
Pasco, nilikuwa sijaona hili Andiko lako !!! Unashangilia Watanzania kukosa ajira ? Unashangila idadi ya walipa kodi kupungua ? Unafurahi kiburi cha TANESCO ? ATC ikibaki peke yake itakuwa TANESCO nyingine, hawa akina DAWASCO, kuna visima binafsi.
 
Back
Top Bottom