ATC ya saa 5 usiku JRO-DAR tunaondoka saa 9 alfajiri?

M24 Headquarters-Kigali

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2012
Posts
8,199
Reaction score
8,186
1. Tumelala KIA(JRO) baada ya ndege yetu ya saa 5 usiku kucheleweshwa mpaka saa 9 na nusu alfajiri.

2. Domestic flights mtu unalala airport Karne hii? Mwezi uliopita Mwanza-Dar delay masaa 12 no apology na hakuna anayejali.

3. ATC ina CEO/MD?

NB: European Union wana kila sababu kuipiga pini huko kwao. Hawawez kuvumilia huu uswahili
 
Wasambaze sgr kila kona
 
TAARIFA yako haijaeleweka ,eleza hiyo NDEGE, inakwenda mkoa gani na mlikatakiwa kuondoka saangapi na na kuwasili SAA ngapi?
 
Ungepanda Coaster ungewahi kufika......tena bila uchovu(zingatia mmelala airport).......tena ungeokoa kiasi cha fedha....
 
Business as usual, uswahili swahili kila mahali
 
Msiwalaumu, kuna watu wanahujumu miundombinu kwa kuiba kopa na kusababisha umeme kukatika, wataagiza injini za sola, hii ni tekinolojia mpya kutatua tatizo la ndege kuchelewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…