M24 Headquarters-Kigali
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 8,199
- 8,186
- Thread starter
- #21
Inasikitisha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wampe Shabiby au Abood ku manage ATC. Trust me, wataweza kabisa. Mza-Dar kwa ndege ni sawa na Chalinze-Moro kwa basi kwa kuangalia muda wa safari. Unashindwaje ku manage chombo cha usafiri wa Chalinze - Moro na una uhakika wa abiria?Tumelala KIA(JRO) baada ya ndege yetu ya saa 5 usiku kucheleweshwa mpaka saa 9 alfajiri. Domestic flights mtu unalala airport Karne hii? Mwezi uliopita Mwanza-Dar delay masaa 12 no apology na hakuna anayejali.
**ATC ina CEO/MD?
NB: EU wana kila sababu kuipiga pini huko kwao. Hawawez kuvumilia huu uswahili
Ndege si kama mabasi ndugu. Unaajiri pilots wenye taaluma sio hao wavaa kobazi wa Magomeni Mshahara 200,000Wampe Shabiby au Abood ku manage ATC. Trust me, wataweza kabisa. Mza-Dar kwa ndege ni sawa na Chalinze-Moro kwa basi kwa kuangalia muda wa safari. Unashindwaje ku manage chombo cha usafiri wa Chalinze - Moro na una uhakika wa abiria?
Tizama wino mwekundu...TAARIFA yako haijaeleweka ,eleza hiyo NDEGE, inakwenda mkoa gani na mlikatakiwa kuondoka saangapi na na kuwasili SAA ngapi?
Ajira ni ajira tu. Doesn't matter unaajiri dereva wa basi au ndege. Wote ni watu ambao wanauza skills zao kwako. Sasa ushindweje hapo?Ndege si kama mabasi ndugu. Unaajiri pilots wenye taaluma sio hao wavaa kobazi wa Magomeni Mshahara 200,000
Muulize Bakhresa anawezaje ku manage Azam Ferry, Azam satellite TV, Azam Pesa na mazagazaga kibao. Ajiri smart people wakufanyie kazi.Ndege si kama mabasi ndugu. Unaajiri pilots wenye taaluma sio hao wavaa kobazi wa Magomeni Mshahara 200,000
Sasa kama shirika likipata hasara bado mshahara unaingia unategemea nini ?Tumelala KIA(JRO) baada ya ndege yetu ya saa 5 usiku kucheleweshwa mpaka saa 9 alfajiri. Domestic flights mtu unalala airport Karne hii? Mwezi uliopita Mwanza-Dar delay masaa 12 no apology na hakuna anayejali.
**ATC ina CEO/MD?
NB: EU wana kila sababu kuipiga pini huko kwao. Hawawez kuvumilia huu uswahili
Hadi trc nao waamke majuzi hapa abiria walikwama Tabora zaidi ya masaa sita kisa treni bovu.ATC amkeni
Kumanage mabasi si sawa na ku manage ndege, is why abood hana ndege , wala haja jiingizq kwenye biashara hiyoWampe Shabiby au Abood ku manage ATC. Trust me, wataweza kabisa. Mza-Dar kwa ndege ni sawa na Chalinze-Moro kwa basi kwa kuangalia muda wa safari. Unashindwaje ku manage chombo cha usafiri wa Chalinze - Moro na una uhakika wa abiria?
Tuwe honest hakuna business serikal ina weza run 100% ikatoa service ya maana,Hii ndege wanaenda kuiua wenyewe halafu waje na visingizio lukuki.....
Ikija Fast jet nyingine; Airtanzania inaenda kujifunga kwa safari za ndani; halafu walalamike hawapati abiria???
Emirates, Ethiopian, Etihad zinaendeshwa na Serikali 100%Tuwe honest hakuna business serikal ina weza run 100% ikatoa service ya maana,
Ni bora wangeingia ppp katika ku manage ATCl, gov ibaki kumanage staff, Private companies wa run airplanes
Sie hatujui kufanya kazi.Tumelala KIA(JRO) baada ya ndege yetu ya saa 5 usiku kucheleweshwa mpaka saa 9 alfajiri. Domestic flights mtu unalala airport Karne hii? Mwezi uliopita Mwanza-Dar delay masaa 12 no apology na hakuna anayejali.
**ATC ina CEO/MD?
NB: EU wana kila sababu kuipiga pini huko kwao. Hawawez kuvumilia huu uswahili
Tunaweza makelele na kusifia sifiaSie hatujui kufanya kazi.
Usisahau mashirika ya Serikali makubwa kabisa kama; Kenya Airways (KQ), South African airways (SA), Uganda Airways (UR) nk yote yapo ICUEmirates, Ethiopian, Etihad zinaendeshwa na Serikali 100%