ATCL hawana ujuzi wa kuendesha biashara

ATCL hawana ujuzi wa kuendesha biashara

Hivi ninavyoongea kuna wateja chungu nzima wameachwa na ndege wakitokea DSM wakiambiwa wafike saa saba ndege imebadili muda kumbe si kweli hivi hawa wataweza biashara kweli

Mimi huwa siwashangai ATCL kwa kuboronga bali nawashangaa wanaowashangaa ATCL kwa kuboronga maana ni kitu wanachotegemewa kufanya.
 
Haya tushayaongea sana.

Hapa badae huu usafiri utakuwa kafiri
'Msishangae mnaambiwa ndege imepeleka makada Dodoma wakati nyie mna tiketi za kwenda Mwanza.

Na mambo ya Juliana Shonza kupiga simu kusema mzuie flan asipande ndege kwa utashi wake kisa kaimba nyege yatakuwa ya kawaida sana ilia hadi kweny history ya safari browser ya huyo huyo utakuta history ya pornhub etc.
Kiufupi Dart imetipa mwelekea wa kampuni za serikali zitakavyoendeshwa.

Yani wanatoka chini kwenda chini.
Walikabishiwa electronics tiketi wakaona wale wataalamu wa max malipo wanafaidi sana basi wakawafyekelea mbali.

Pumbavu.

Wanashindwa kuelewa kuwa wale max malipo ni wajasiriamali vijana wa kitanzania wanauza technology yao na wanalipa kodi.

Yani hii nchi hii.

Sijui.
 
Yaani mtu anakwenda kukata tiketi kwa mfano Dar Mbeya wao wanampa Mbeya Dar wanampa na taarifa ya kubadili muda wa ndege wanafika airport ndege imeshajaa na route sio wenyewe hilo si ni kosa kubwa lakiufundi na kibiashara
 
W
Mkuu umechelewa ndege kisha ukakimbilia JF. Ulikuwa unatoka Mbeya! Ndio maana nikakwambia weka issues tuifutalie.
Yaani ni valu valu tu hata kwenye utoaji wa tiketi wanakufanyia madesa hata kwenye tiketiukifika airport hola unakuwa humo kwenye risti ya wasafiri wajirekebishe kwa kweli
 
The only way the government could help business is by taking its hands off
 
Mkuu umechelewa ndege kisha ukakimbilia JF. Ulikuwa unatoka Mbeya! Ndio maana nikakwambia weka issues tuifutalie.
Si kweli mimi nipo Dar nasisafiri bali kuba watu hapa Dar wamepewa taarifa sio sahihi jaribu kuelewa hatupo kwenye mapambio
 
Hivi ninavyoongea kuna wateja chungu nzima wameachwa na ndege wakitokea DSM wakiambiwa wafike saa saba ndege imebadili muda kumbe si kweli hivi hawa wataweza biashara kweli
hamna uendeshaji wa kiuweledi hapo ATCL..ni blabla tu.
 
WangapI hao mkuu? Nilikuwa airport nikamwona station manager na akajibu ni mtu mmoja. Aliniomba nimpe tiketi za watu hao sikuwa na jibu. Kama kweli hatupo kwenye marumbano lete details tuwape atcl na tuachane na siasa.

Si kweli mimi nipo Dar nasisafiri bali kuba watu hapa Dar wamepewa taarifa sio sahihi jaribu kuelewa hatupo kwenye mapambio
 
WangapI hao mkuu? Nilikuwa airport nikamwona station manager na akajibu ni mtu mmoja. Aliniomba nimpe tiketi za watu hao sikuwa na jibu. Kama kweli hatupo kwenye marumbano lete details tuwape atcl na tuachane na siasa.
Pole sana lakini ATCL wanahitaji mabadiriko makubwa hatuwezi kufika klwa mtindo wa biashara za kikobe kobe watu wengi wpanasikitika kama wamekwambia ni mtu mmoja basi tayari wamekili tatizo lipo maana inawezekana wengine wamesononeka tu hawawezi paza sauti
 
Back
Top Bottom