Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi ninavyoongea kuna wateja chungu nzima wameachwa na ndege wakitokea DSM wakiambiwa wafike saa saba ndege imebadili muda kumbe si kweli hivi hawa wataweza biashara kweli
Hivi ninavyoongea kuna wateja chungu nzima wameachwa na ndege wakitokea DSM wakiambiwa wafike saa saba ndege imebadili muda kumbe si kweli hivi hawa wataweza biashara kweli
Hivi ninavyoongea kuna wateja chungu nzima wameachwa na ndege wakitokea DSM wakiambiwa wafike saa saba ndege imebadili muda kumbe si kweli hivi hawa wataweza biashara kweli
Yaani ni valu valu tu hata kwenye utoaji wa tiketi wanakufanyia madesa hata kwenye tiketiukifika airport hola unakuwa humo kwenye risti ya wasafiri wajirekebishe kwa kweliMkuu umechelewa ndege kisha ukakimbilia JF. Ulikuwa unatoka Mbeya! Ndio maana nikakwambia weka issues tuifutalie.
Hahahaha!!!!...halafu ngoja kampeni zieanze abiria wataambiwa wasubiri ndege imeenda kuruka juu ya vijiji ili wananchi waione ndege yao.Hapa badae huu usagiri utakuwa kafiri
'Msishangae mnaambiwa ndege imepeleka makada dodwakati nyie mna tiketi za kwenda Mwanza.
Wafundishe mkuu!!!
Si kweli mimi nipo Dar nasisafiri bali kuba watu hapa Dar wamepewa taarifa sio sahihi jaribu kuelewa hatupo kwenye mapambioMkuu umechelewa ndege kisha ukakimbilia JF. Ulikuwa unatoka Mbeya! Ndio maana nikakwambia weka issues tuifutalie.
hamna uendeshaji wa kiuweledi hapo ATCL..ni blabla tu.Hivi ninavyoongea kuna wateja chungu nzima wameachwa na ndege wakitokea DSM wakiambiwa wafike saa saba ndege imebadili muda kumbe si kweli hivi hawa wataweza biashara kweli
Si kweli mimi nipo Dar nasisafiri bali kuba watu hapa Dar wamepewa taarifa sio sahihi jaribu kuelewa hatupo kwenye mapambio
Pole sana lakini ATCL wanahitaji mabadiriko makubwa hatuwezi kufika klwa mtindo wa biashara za kikobe kobe watu wengi wpanasikitika kama wamekwambia ni mtu mmoja basi tayari wamekili tatizo lipo maana inawezekana wengine wamesononeka tu hawawezi paza sautiWangapI hao mkuu? Nilikuwa airport nikamwona station manager na akajibu ni mtu mmoja. Aliniomba nimpe tiketi za watu hao sikuwa na jibu. Kama kweli hatupo kwenye marumbano lete details tuwape atcl na tuachane na siasa.
Website yao very outdatedKwanza IT wa ATCL ni kilaza, website gani hiyo sasa?
Hata wanashindwa kuweka attraction za fly destinations, booking tickets, number of fleets etc
Embu check precision air, Fly Dubai, Kenya airways..website zao