ATCL hawana ujuzi wa kuendesha biashara

ATCL hawana ujuzi wa kuendesha biashara

Mkuu wametoa jibu niwezeshe niwafuate mwambie akutumie tiketi niende tuache siasa. Atcl ni pesa yetu tusikubali uzelmbe ila tusiruhusu uongo kwas sababu za kisiasa

Ishu ya juzi ya mawaziri ni ipi hiyo sasa kwa nini wewe unakataatariifasi uwaambie kuwa watu wanalalamika ili iwe njia ya kuwabana unataka kusema hao wanaokatatiketi harafuhawaendihawa wzlikuwa wanakwenda wamekuwa

Mkuu wametoa jibu niwezeshe niwafuate mwambie akutumie tiketi niende tuache siasa. Atcl ni pesa yetu tusikubali uzelmbe ila tusiruhusu uongo kwas sababu za kisiasa

Ishu ya juzi ya mawaziri ni ipi hiyo sasa kwa nini wewe unakataatariifasi uwaambie kuwa watu wanalalamika ili iwe njia ya kuwabana unataka kusema hao wanaokatatiketi harafuhawaendihawa wzlikuwa wanakwenda wamekuwa misallocated
Unataka kulifanya la kisiasa dah hili shirika hata kuwafikia tu air comoro itakuwa shida watendaji wote ATCL wawive kibiashara wafanye mambo kibiashara
 
Sijaitetea ATCL, nisome tena.

Ili kusaidia hata wakuu wanaosoma humu inabidi mwenye malalamiko aje na habari kamili. Sasa nambie kwa kuisoma post namba moja unaanza kutatua wapi?

Au mradi kuponda tu si kutatua kero?
Kuponda kutakuwepo kama watu wanapangiwa usafiliusiokuwepo kwa kupewataarifa maalumu lakini mimi niliwakilisha ujumbe so sikuponda nilikuwa nasema hili shirika letu likuwe makosa ya kimsingi makubwa kama yakupanga watu wengi kuliko uwezo wa ndege kuwabadirishia ndege watu kwenda wasikoenda kuwabadirishia mida wakati wa majeruhi hakukuuzi biashara
 
Mfalme hatakiwi katazama tiketi aliyopewa ameandikiwa vipi?
Ha ha mfalme atatizamiwa na watumishi wake hawa ni watanzania ambao hadi adundulize nauli yake siajabu katumie miezi mingi tusihamishe tatizo la tasisi kwakuattack Faiza Foxy tafadhali unajulikana kwa ngebe lakini mimi niko kwenye ufanisi mbovu na wa kipuuzi wa shirikakusumbuwa wasafiri
 
Hivi ninavyoongea kuna wateja chungu nzima wameachwa na ndege wakitokea DSM wakiambiwa wafike saa saba ndege imebadili muda kumbe si kweli hivi hawa wataweza biashara kweli
Any Time Cancelled aka ATC haina tofauti na mradi wa Dege Deca village kigamboni, all white elephant projects!
 
Yaani mtu anakwenda kukata tiketi kwa mfano Dar Mbeya wao wanampa Mbeya Dar wanampa na taarifa ya kubadili muda wa ndege wanafika airport ndege imeshajaa na route sio wenyewe hilo si ni kosa kubwa lakiufundi na kibiashara

Picha ya ticket. Evidence please.
 
Dar kwenda wapi? Kuwa specific usituchoshe na umbea.
Ha ha wapambe wa mapambio tuna safari ndefu ya kuweka shirika letu kwenye standard za IATA tujitahidi tu tutafika lakini watu wakilalamika chukulia kama njia yakuboresha
 
siombei kampuni ife ila nachoomba wasifanye vita vya kibiashra katika namna ya kuwafanya watu wawe monopoly maana hata wakiwa monopoly wanaweza wasiwe na uwezo wa kuhudumia waache ushindani wa kawaida ufanye kampuni bora ibaki sokoni na itoe huduma bora na vitakikanazo na abiria
 
Kama watashindwa kuwa na huduma bora kwa soko LA ndani, je wataweza international kushindana na Kenya Airways, Rwanda Air etc

Website tu imewashinda
 
Kama watashindwa kuwa na huduma bora kwa soko LA ndani, je wataweza international kushindana na Kenya Airways, Rwanda Air etc

Website tu imewashinda
wajitahidi sana ikiwezekana waanze kufanya biashara maana serikali haifanyi biashara
 
HAhaha umeuaaa.
Ujue wewe jamaa unaongea kam mzaha ila yatakuja kutokea kweli.

Watu wanajazana let say chato stadium na matisheti ya njano na kofia then ndege inapita juu wanashangilia

"Oyeee baba kur zote zakoo"
Mkuu unapotea Sana Kaka.... hahahahah. Nilipita home hapo ila sikukukuta

Sent using Jamii Forums mobile app
 
FaizaFoxy, Haina ukweli hii shutuma ndio maana wanazunguka na kutoa mambo mengi tu. Ifike sehemu tuwaheshimu wafanyakazi wanaojitahidi kutoa huduma. Swala la siasa kwanini ndege zimenunuliwa lisiwe sababu ya kutunga uongo na kudharirisha wafanyakazi wasio sehemu ya siasa za maji taka.

Mfalme hatakiwi katazama tiketi aliyopewa ameandikiwa vipi?
 
Acha siasa na uongo wako. Hakuna abiria walioachwa zaidi ya wewe uliyechelewa. Ndio maana umeshindwa kutoa uthibitisho. ATCL wamenionyesha tiketi yako niko tayari kuitundika hapa. Heshimu wafanyakazi ambao sio wanasiasa kama we wewe.

Unataka kulifanya la kisiasa dah hili shirika hata kuwafikia tu air comoro itakuwa shida watendaji wote ATCL wawive kibiashara wafanye mambo kibiashara
 
[emoji38][emoji38][emoji38]
116621.jpeg
 
Tatizo hawana mpinzani hapa ndani ya nchi
 
Kuna Watanzania wenye uzoefu na Transport economics ambao wangeweza kuwasaidia ATCL lakini kwavile hawatoki kanda maalum basi hawapewi nafasi na matokeo yake ndio haya; kama si leo basi kesho utasikia mkurugenzi Mkuu wa shirika ametumbuliwa!! Kwenye biashara hakuna siasa what counts is the bottom line basi!!!
 
Back
Top Bottom