ATCL hawana ujuzi wa kuendesha biashara

ATCL hawana ujuzi wa kuendesha biashara

ATCL inafufuliwa toka mavumbini tuwape muda
 
ATCL wauze shares, 49% iende kwa public

Serikali imiliki 51%

Mashirika mengi yameendeshwa kwa faida, mfano TBL, NMB...etc
 
Kuwa na ndege ni jambo moja na kufanya biashara ni jambo lingine, sasa wacha wajidangaje kwa kuwa wanandege za kutosha kwa hiyo biashara ya ndege itafanyika kirahisi, halafu mbaya zaidi utategemea wapande hawa watanzania ambao umewanyima mishahara yao kupanda, umepora korosho zao, mara ndugu zao umewafunga jela bila sababu msingi, wengine wamepotea au kuuwawa, na wengine mnawaua msikitini kabisa, kila siku mnawatisha, mnawabambikizia kodi mpaka wanafunga biashara, mnazuia mazao yao kuuza nje mpaka yanakosa soko, mara mnachoma moto vifaranga vyao.
Sasa kweli watu wa namna hii watapanda hizo ndege zenu kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi ninavyoongea kuna wateja chungu nzima wameachwa na ndege wakitokea DSM wakiambiwa wafike saa saba ndege imebadili muda kumbe si kweli hivi hawa wataweza biashara kweli
Duh ukiona hivyo ATCL imeajiri makada wa ccm wanafanya propaganda kwenye biashara ya Anga
 
JK alishasema kwamba yeye hakushindwa kuliinua shirika la ATCL katika kipindi chake.Hata ndege 10 angewanunulia.Lakini alijaribu tu kwa kuwakodishia Airbus na Boeing na kuwanunulia Bombardier Q300.Lakini wapi?Sikio la kufa halisikii dawa.Kila Mwezi hazina inatoa mzigo kulihudumia.Management hata ubunifu hawana.Wamekaa tu pale kila mwisho wa mwezi wanapeleka invoice Hazina kupata ruzuku.Mzee hakaona bora adili na mambo mengine,nchi maskini hii.

Najuzi nimemsikia anasema tena tatizo la ATCL sio ndege bali Management.
 
Walifufua bila business plan watu wenyrwe ukiwaangalia unaona kabisa old school dunia inakimbia
 
Dreamliner inabeba mbuzi sasa tena Mwanza Dar sijui itasaidia
 
Write your reply...Na comment kimoya ninachokijua.Web site ya ndugu zetu si rafiki hasa pale unapotaka ku reschedule flight baada ya kugundua kwamba una natatizo.Na ile namba yao ya huduma kwa wateja 0800#### inafanya mondays to fridays kati ya saa 2 asb na kumi na moja jioni.
 
JK alishasema kwamba yeye hakushindwa kuliinua shirika la ATCL katika kipindi chake.Hata ndege 10 angewanunulia.Lakini alijaribu tu kwa kuwakodishia Airbus na Boeing na kuwanunulia Bombardier Q300.Lakini wapi?Sikio la kufa halisikii dawa.Kila Mwezi hazina inatoa mzigo kulihudumia.Management hata ubunifu hawana.Wamekaa tu pale kila mwisho wa mwezi wanapeleka invoice Hazina kupata ruzuku.Mzee hakaona bora adili na mambo mengine,nchi maskini hii.

Najuzi nimemsikia anasema tena tatizo la ATCL sio ndege bali Management.
Yawezekana yapo mengi ila yanafunikwa. No audited performance reports. Tunaishia kuambiwa na wanasiasa kuwa shirika lipo kwenye right track huku matokeo tukiyaona tofauti na huko duniani kwa wenye mashirika yao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi ninavyoongea kuna wateja chungu nzima wameachwa na ndege wakitokea DSM wakiambiwa wafike saa saba ndege imebadili muda kumbe si kweli hivi hawa wataweza biashara kweli
Air Takeoff Confirmation Ltd (ATCL)
 
Kama kweli hali ndo hiyo basi tunakokwenda si kuzuri. My take ,wachukue wale watu in charge of operations wawafanyie intensive training ya muda mfupi kwa kutumia dummy software za zile wanazotumia in real operations , watunge internal bylaws za kuweza kuwabana wababaishaji ,halafu watoe bonus kwa wale compliants. Then management nayo iwe serious kwa kile wanachofanya kwa kukagua na kutumia data and report to make informed decisions. Mbona mambo ataenda. tatizo watu wengi serekalini walishaozea kuamrishwa so they dont think on their own .Ila kama wanataka kuendelea ku-survive kwenye kazi zao wanahitaji a kind of creativity
 
Hao waje watuombe ushauri wa kuendesha yao.. niliyaona mengi nikawa nashangaa na ni ndani ya karne hii
 
Back
Top Bottom