Ok lets wait ila wanachoshaATCL inafufuliwa toka mavumbini tuwape muda
Hilo ndilo wazo la kusastain shiriika sijui hata kama wataelewa nondo kama hiziATCL wauze shares, 49% iende kwa public
Serikali imiliki 51%
Mashirika mengi yameendeshwa kwa faida, mfano TBL, NMB...etc
Kwake kila jambo ni siasa acha hizo weweMkuu weka maelezo sawa sawa tuchangie otherwise utajibiwa na waccm na wachadema kutafuta kick.
Duh ukiona hivyo ATCL imeajiri makada wa ccm wanafanya propaganda kwenye biashara ya AngaHivi ninavyoongea kuna wateja chungu nzima wameachwa na ndege wakitokea DSM wakiambiwa wafike saa saba ndege imebadili muda kumbe si kweli hivi hawa wataweza biashara kweli
Walifufua bila business plan watu wenyrwe ukiwaangalia unaona kabisa old school dunia inakimbiaJK alishasema kwamba yeye hakushindwa kuliinua shirika la ATCL katika kipindi chake.Hata ndege 10 angewanunulia.Lakini alijaribu tu kwa kuwakodishia Airbus na Boeing na kuwanunulia Bombardier Q300.Lakini wapi?Sikio la kufa halisikii dawa.Kila Mwezi hazina inatoa mzigo kulihudumia.Management hata ubunifu hawana.Wamekaa tu pale kila mwisho wa mwezi wanapeleka invoice Hazina kupata ruzuku.Mzee hakaona bora adili na mambo mengine,nchi maskini hii.
Najuzi nimemsikia anasema tena tatizo la ATCL sio ndege bali Management.
Yawezekana yapo mengi ila yanafunikwa. No audited performance reports. Tunaishia kuambiwa na wanasiasa kuwa shirika lipo kwenye right track huku matokeo tukiyaona tofauti na huko duniani kwa wenye mashirika yao.JK alishasema kwamba yeye hakushindwa kuliinua shirika la ATCL katika kipindi chake.Hata ndege 10 angewanunulia.Lakini alijaribu tu kwa kuwakodishia Airbus na Boeing na kuwanunulia Bombardier Q300.Lakini wapi?Sikio la kufa halisikii dawa.Kila Mwezi hazina inatoa mzigo kulihudumia.Management hata ubunifu hawana.Wamekaa tu pale kila mwisho wa mwezi wanapeleka invoice Hazina kupata ruzuku.Mzee hakaona bora adili na mambo mengine,nchi maskini hii.
Najuzi nimemsikia anasema tena tatizo la ATCL sio ndege bali Management.
Air Takeoff Confirmation Ltd (ATCL)Hivi ninavyoongea kuna wateja chungu nzima wameachwa na ndege wakitokea DSM wakiambiwa wafike saa saba ndege imebadili muda kumbe si kweli hivi hawa wataweza biashara kweli
kuna siku tutaambiwa limepata faidaMbona hilo linafahamika mkuu !
Kwi! Kwi! Kwi!Kutokea wapi kwenda wapi? Ile iliyopeleka nyama yambuzi Dubai imerudi?
Sent using Jamii Forums mobile app