ATCL hawana ujuzi wa kuendesha biashara

Ni katika awamu hii tu watanzania kwa mamilioni wamepata maji safi na salama, habari kama hizi zipo nyingi na ndio maana 2020 hakuna mbunge wa upinzani atashinda


Mbunge wa upinzani kushinda sio tatizo bali tatizo ni kutangazwa mshindi. Inaonekana huku kufungwa kwa vyombo vya habari unapewa habari za mafanikio tu kiasi kwamba unadhani mambo yamenyooka. Endelea kujidanganya kwa kusikiliza vyombo vya habari vya ccm na serikali.
 
Tuliambiwa pia Sakata la Makinikia litakapoisha tutakabidhiwa Noah zetu.
Hakuna ahadi ya noah, ilikuwa ni uchambuzi wa gazette la nipashe juu ya pesa ambayo tungepewa ingeweza kufanya vitu gani kwa kila mtanzania na uchambuzi ulionesha vitu vingi tofauti zaidi ya noah, endeleeni na cheap politics za wenye akili finyu.
 
Haaa CHADEMA wakajua imeuzwa eti kwa KQ... Ha haaaaa alafu nyie CDM kwanini hata simple research hamfanyi? πŸƒπŸƒπŸ˜…
 
Kuna watu roho zinawauma wakiziona hizi ndege zinafanya vizuri, yaani wao leo wakisikia dreamliner imeanguka na kuua abiria wote inaonekana watafanya sherehe kubwa sana, upinzani wa aina hii upo Tanzania tu, mpinzani wa Nchi hii hana tofauti na gaidi

Mkuu unashangaa nini wakati kuna mbunge alipigwa risasi katika makazi vya wabunge kwa amri toka juu. Na hadi sasa mkulu kazuia matibabu yake, hiyo ipo Tanzania tu. Kiongozi wa aina hiyo ana tofauti gani na gaidi?
 
Hakuna ahadi ya noah, ilikuwa ni uchambuzi wa gazette la nipashe juu ya pesa ambayo tungepewa ingeweza kufanya vitu gani kwa kila mtanzania na uchambuzi ulionesha vitu vingi tofauti zaidi ya noah, endeleeni na cheap politics za wenye akili finyu.
Tunawajua ninyi ni mabingwa wa KUKANUSHA kwa hiyo haitupi tabu sisi wananchi masikini.
 
Raisi ajaye aje kuzipiga bei hizi ndege ghali halafu fedhe ziwekezwe kwenye mambo yanayomgusa Mwananchi wa Kawaida.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…