REDEEMER.
JF-Expert Member
- Feb 22, 2015
- 8,925
- 14,890
Ongea suala lingine lakini sio maji, Hawa wananchi hawatakuelewaDua za wanavijiji wasio na Maji safi na Madarasa ndio zinafanya kazi sio Wapinzani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ongea suala lingine lakini sio maji, Hawa wananchi hawatakuelewaDua za wanavijiji wasio na Maji safi na Madarasa ndio zinafanya kazi sio Wapinzani.
Ni katika awamu hii tu watanzania kwa mamilioni wamepata maji safi na salama, habari kama hizi zipo nyingi na ndio maana 2020 hakuna mbunge wa upinzani atashinda
Yaani hadi le mutuz apotoshe ndio mkurugenzi wa Atcl anaibuka?!!!
Mnalipwa mshahara kwa kazi gani lakini?
Ongea suala lingine lakini sio maji, Hawa wananchi hawatakuelewa
Muulize Zitto habari za Magufuli kwenye sector ya maji atakupa majibuHahahaaa!!! Hujui kama Sengerema imezungukwa na Ziwa..
Muulize Zitto habari za Magufuli kwenye sector ya maji atakupa majibu
Ni katika awamu hii tu watanzania kwa mamilioni wamepata maji safi na salama, habari kama hizi zipo nyingi na ndio maana 2020 hakuna mbunge wa upinzani atashinda
Hakuna ahadi ya noah, ilikuwa ni uchambuzi wa gazette la nipashe juu ya pesa ambayo tungepewa ingeweza kufanya vitu gani kwa kila mtanzania na uchambuzi ulionesha vitu vingi tofauti zaidi ya noah, endeleeni na cheap politics za wenye akili finyu.Tuliambiwa pia Sakata la Makinikia litakapoisha tutakabidhiwa Noah zetu.
Kuna watu roho zinawauma wakiziona hizi ndege zinafanya vizuri, yaani wao leo wakisikia dreamliner imeanguka na kuua abiria wote inaonekana watafanya sherehe kubwa sana, upinzani wa aina hii upo Tanzania tu, mpinzani wa Nchi hii hana tofauti na gaidi
Tunawajua ninyi ni mabingwa wa KUKANUSHA kwa hiyo haitupi tabu sisi wananchi masikini.Hakuna ahadi ya noah, ilikuwa ni uchambuzi wa gazette la nipashe juu ya pesa ambayo tungepewa ingeweza kufanya vitu gani kwa kila mtanzania na uchambuzi ulionesha vitu vingi tofauti zaidi ya noah, endeleeni na cheap politics za wenye akili finyu.
Haaa CHADEMA wakajua imeuzwa eti kwa KQ... Ha haaaaa alafu nyie CDM kwanini hata simple research hamfanyi? 🐃🐃😅
Ndege za wenzetu zinapiga kazi eti zetu zinapelekwa Kwenye Maonyesho...Ushamba bhana!
Muanzo wanasema kila goti litapigwa kitakachofuatia tutasikia Kwa Magufuli kila suruwali itavuliwa wasiwasi Akili.