ATCL iendeshwe na viongozi wazungu...

ATCL iendeshwe na viongozi wazungu...

Simchezo

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2012
Posts
460
Reaction score
373
Sioni dalili yoyote ya ATCL kujiendesha kwa kwa faida na kushindana na makampuni mengine ukiwa itaendeshwa na Watz, Asilinia kubwa ya Waafrika hasa Wabongo wana weakness ya asili hata aende shule vipi! ndio maana shirika ili linaleta hasara kila mwaka. Napendekeza lifanyiwe overhaul na uongozi nzima uchukuliwe na Wazungu wenye sifa kutoka Ulaya na Marekani.
 
Kubinafsisha inatosha..
Serikali haina uwezo wa kuendesha biashara ya ushindani
 
Tatizo la ATCL ni kuingiliwa na Serikali katika utendaji wake!! ATCL itapataje faida wakati viongozi wanazitumia ndege zake kama vile wanapanda Bajaj? Wanachukua DREAMLINER kwenda China ambako wanakaa nayo ikiwangoja kwa wiki nzima ,halafu kutoka hapo wanakwenda Egypt nako wanakaa wiki ,ikiwangoja wamalize mkutano ndio warudi nyumbani!!
Ndege haitakiwi kukaa ardhini inatakiwa iwe angani wakati wote unless iko kwenye matengenezo! Viongozi ndio wanaoitia hasara ATCL.
 
Kwamba mzungu ndo atakuja akwambie Emirates ana nauli ndogo kuliko wewe kwenda Guangzhou?
 
Mzungu ndo aje ugundue kuwa Wafanyakazi ulio nao ni wengi kuliko mapato yako na ndege zako?
 
Sioni dalili yoyote ya ATCL kujiendesha kwa kwa faida na kushindana na makampuni mengine ukiwa itaendeshwa na Watz, Asilinia kubwa ya Waafrika hasa Wabongo wana weakness ya asili hata aende shule vipi! ndio maana shirika ili linaleta hasara kila mwaka. Napendekeza lifanyiwe overhaul na uongozi nzima uchukuliwe na Wazungu wenye sifa kutoka Ulaya na Marekani.
Wapewe Waarabu toka Dubai
 
Tumelaaniwa!.

Tuliwapa SAA ATCL ikafa kabisa tukakosa ndege mpaka tukaanza kupiga ramli ili ATCL iamke tena. Imeanza kuamka, sasa watu wanataka waigawe ATCL kwa nchi ya nje tena. Kama hatujawa tayari kuwa huru na kujiendesha wenyewe, tukubali turudishe ukoloni hadi tutakapoanza kujiamnini na kujua jinsi ya kujiendesha.

Watanzania wakishindwa jambo hawataki kujiuliza kwa nini wameshindwa na ni njia zipi za kujirekebisha, wao wanakimbilia kuwatafuta watu wa nje ndio wawafanyie. Kama hiyo siyo laana ni nini.

Makampuni makubwa ya China leo hii ni ya Serikali na yana ufanisi. Wajinga wa Tanzania waoa wanaamini tu kuwa mapampuni ya serikali hayawezi kufanya kazi kwa ufanisi. Kama hiyo siyo laana ni nini.
 
Back
Top Bottom