Hiyo CS 300 inauwezo wakufika India na nchi zote za Africa tokea Tanzania. Kwa hiyo baadhi ya nchi za Asia inaweza fika.
ATCL should get those routes first and buy 737 / A330s later.View attachment 825928
Hiyo ndio range yake from the airbus website.
Na obviously huwezi kuendesha ndege to its limit. Lazima uache allowance ya kama km 1000 hivi. So I think mwisho wake labda Dubai na South Africa, Israel, Nigeria.....Misri e.t.c.
ATCL should get those routes first and buy 737 / A330s later.
They should partner na the likes of Emirates na South African. Tuwapunguzie safari ya kuja huku sisi ndo tunapeleka abiria to JoBurg na Dubai then from there wanaunganisha.ATCL should get those routes first and buy 737 / A330s later.
Unawalaumubila wewe na wao hakuna ambaye amepanda hizi ndege. Mbowe kapanda na atazipanda sana.hii ni taarifa mbaya kwa wazungusha mikono
Ngoma ya watoto huwa hailali!
Wangeinyunyuzia na kaufito ka kijani na njano ktktk ingependeza sana.Aliyebuni kapatia sana ingawa kaacha rangi moja tu, nayo ni nyekundu, akiweka nyekundu tu tumepata bendera ya Chadema, hongera uliyebuni
Airline iko na ndege 4, na zote zinakutana uwanjani. Kweli LDC ni LDC. No customers?
Planes make money on the air not on the tarmac.
Already hasara ya mwaka ishaanza kuhesabiwa.
CS300 Inafika India vizuri! Hata kwa kuangalia hiyo map hiyo circle inaweza kupanda juu zaidi na Kwa kuchukua circumference Mumbai is well covered. Tumia akili ya mahesabu vizuri. Na pia inafika any point in Africa kutokea Dar or anywhere in Tanzania.View attachment 825928
Hiyo ndio range yake from the airbus website.
Na obviously huwezi kuendesha ndege to its limit. Lazima uache allowance ya kama km 1000 hivi. So I think mwisho wake labda Dubai na South Africa, Israel, Nigeria.....Misri e.t.c.
Hiyo A220 ni kwa ajili kwenda India na popote Africa. Kwa India itapokezana na dreamliner kwa kutegemea abiria.ATCL should get those routes first and buy 737 / A330s later.
Wenzio jawajui wanaona kupaki hapo ni mapamboAirline iko na ndege 4, na zote zinakutana uwanjani. Kweli LDC ni LDC. No customers?
Planes make money on the air not on the tarmac.
Already hasara ya mwaka ishaanza kuhesabiwa.
Hapo Amstedam airport unakaa siku ngapi? Maana ziko nyingi ikipaki zinapakia abiria inaruka ina maisha mwenzake naye apaki abebe abiria. Haiwezi kupaki kwa muda mrefu ni gharama kubwaUSHAMBA utakuua. Mbona nikiwa Schipho Amsterdam naoziona KLM kibao zimepaki. Wewe unafikiri muda wote ziko hewani.
kikikikiiiiWenzio jawajui wanaona kupaki hapo ni mapambo
unatumia kinywaji gani mkuu?Hapo Amstedam airport unakaa siku ngapi? Maana ziko nyingi ikipaki zinapakia abiria inaruka ina maisha mwenzake naye apaki abebe abiria. Haiwezi kupaki kwa muda mrefu ni gharama kubwa
Castleunatumia kinywaji gani mkuu?