ATCL is risen again....

ATCL is risen again....

Hiyo CS 300 inauwezo wakufika India na nchi zote za Africa tokea Tanzania. Kwa hiyo baadhi ya nchi za Asia inaweza fika.
1533296780015.png

Hiyo ndio range yake from the airbus website.
Na obviously huwezi kuendesha ndege to its limit. Lazima uache allowance ya kama km 1000 hivi. So I think mwisho wake labda Dubai na South Africa, Israel, Nigeria.....Misri e.t.c.
 
Aliyebuni kapatia sana ingawa kaacha rangi moja tu, nayo ni nyekundu, akiweka nyekundu tu tumepata bendera ya Chadema, hongera uliyebuni
Wangeinyunyuzia na kaufito ka kijani na njano ktktk ingependeza sana.
 
Airline iko na ndege 4, na zote zinakutana uwanjani. Kweli LDC ni LDC. No customers?
Planes make money on the air not on the tarmac.
Already hasara ya mwaka ishaanza kuhesabiwa.

USHAMBA utakuua. Mbona nikiwa Schipho Amsterdam naoziona KLM kibao zimepaki. Wewe unafikiri muda wote ziko hewani.
 
View attachment 825928

Hiyo ndio range yake from the airbus website.
Na obviously huwezi kuendesha ndege to its limit. Lazima uache allowance ya kama km 1000 hivi. So I think mwisho wake labda Dubai na South Africa, Israel, Nigeria.....Misri e.t.c.
CS300 Inafika India vizuri! Hata kwa kuangalia hiyo map hiyo circle inaweza kupanda juu zaidi na Kwa kuchukua circumference Mumbai is well covered. Tumia akili ya mahesabu vizuri. Na pia inafika any point in Africa kutokea Dar or anywhere in Tanzania.
 
Airline iko na ndege 4, na zote zinakutana uwanjani. Kweli LDC ni LDC. No customers?
Planes make money on the air not on the tarmac.
Already hasara ya mwaka ishaanza kuhesabiwa.
Wenzio jawajui wanaona kupaki hapo ni mapambo
 
USHAMBA utakuua. Mbona nikiwa Schipho Amsterdam naoziona KLM kibao zimepaki. Wewe unafikiri muda wote ziko hewani.
Hapo Amstedam airport unakaa siku ngapi? Maana ziko nyingi ikipaki zinapakia abiria inaruka ina maisha mwenzake naye apaki abebe abiria. Haiwezi kupaki kwa muda mrefu ni gharama kubwa
 
unatumia kinywaji gani mkuu?
 
Back
Top Bottom