ATCL is risen again....

ATCL is risen again....

Meanwhile tunawakilisha Africa Nzima...watzee mpo at least give us a hearty congratulations sio kila saa wivu wa kike.
relay-pix.jpg
 
Kama ndege zilikuwa hapo parking kwa sababu ya kupigwa picha za kuweka kwa Annual Reports, inakuuma nini? Si ulete downtime and flight time reports si kukurupuka kwa hisia zako?
Punguza fitina kaka
Lazima aumie akiziona, walisema kwamba Tanzania haina uwezo wa kununua Dreamliner wala kujenga electric railway, sasa lazima watafute jambo la kuwapitisha katika kipindi hiki kigumu cha kukubaliana na ukweli wa mambo
 
Back
Top Bottom