KQ ni shareholder wa Precision, hivyo sio kama wanashirikiana tu, ila KQ ni mdau mkubwa wa PW. Kitu kikubwa ujue KQ ina mikono ya wakubwa wengi, sasa kuipeleka ATCL huko ni hatari...Labda kama ni ushirikiano wa uendeshaji wa niashara, ila sio kuhusu umiliki.