johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Hutaki iende China ndege yetu?Maneno daily. Tukutane hapa tarehe 23, baada ya wiki mbili.
Kuna mada iliwekwa hapa ikafutwa et tumekubali kile kipimo chao kipya....
Kile watapimwa bavicha wakipokea chanjoKuna mada iliwekwa hapa ikafutwa et tumekubali kile kipimo chao kipya....
Siku 7 nikae tu bila kua productive. Duh.Nawapongeza kwa hatua hii, ushauri wangu ni kuwa wawenacho kipimo cha korona wasitegemee cha maabara ya taifa, Mchina kila mara anatoa adhabu kwa mashirika ya ndege kila abiria wakipatikana na korona, wakipatikana wanne tu suspension ya wiki moja na kuna idadi ikifika unapigwa mwezi mzima. Ni bora waanzishe utaratibu wa quarantine angalau siku 7 kabla ya safari, abiria wapimwe siku 7 kabla wakae quarantine kisha ndani ya saa 48 wapimwe tena kabla ya safari