much know
JF-Expert Member
- Oct 22, 2017
- 11,461
- 17,183
Sasa kama mbowe hana maono hata kuijengea ofisi chadema harafu anataka kuiongoza nchi .Unadhani Mbowe angekuwa Mwizi huyo nduli angemuacha awe huru!? Narudia tena una akili fupi sana silipwi na yeyote yule kuandika chochote kile humu bali ni mapenzi kwa nchi yangu. Unafiki na mimi mbali mbali na sitaukaribisha hata siku moja. Weye na UNAFIKI wako endelea kumuunga mkono huyo mwendawazimu.