ATCL kuanza safari za Johanesburg kesho

ATCL kuanza safari za Johanesburg kesho

Unadhani Mbowe angekuwa Mwizi huyo nduli angemuacha awe huru!? Narudia tena una akili fupi sana silipwi na yeyote yule kuandika chochote kile humu bali ni mapenzi kwa nchi yangu. Unafiki na mimi mbali mbali na sitaukaribisha hata siku moja. Weye na UNAFIKI wako endelea kumuunga mkono huyo mwendawazimu.
Sasa kama mbowe hana maono hata kuijengea ofisi chadema harafu anataka kuiongoza nchi .
 
Hahaha uchaguzi umekaribia inaweza kwenda hata USA, wanaweza kujisahau wakaenda hata kule tunako daiwa na ndege isirudi tena. Maana yote hii siasa.
 
Nyie wenye ofisi kubwa na nzuri mpo madaraka miaka 60 mmewafanyia nini Watanzania!? Mkapa mwizi na fisadi, Kikwete mwizi na fisadi huyo mwendawazimu Ikulu mwizi na fisadi. Watanzania hatuna chochote kile cha kujivunia kila kitu ni SHAKALABAGHALA.

Sasa kama mbowe hana maono hata kuijengea ofisi chadema harafu anataka kuiongoza nchi .
 
Usisema watanzania hatuna chochote sema wewe huna chochote. Ni bora CCM fisadi kuliko chadema yenye uchu wa madaraka, ukabila na isiyo na maono.
Nyie wenye ofisi kubwa na nzuri mpo madaraka miaka 60 mmewafanyia nini Watanzania!? Mkapa mwizi na fisadi, Kikwete mwizi na fisadi huyo mwendawazimu Ikulu mwizi na fisadi. Watanzania hatuna chochote kile cha kujivunia kila kitu ni SHAKALABAGHALA.
 
😂😂😂😂😂😂😂😂 hunijui mimi wewe acha kujibaraguza.

Wafanyakazi, Wakulima, graduates na wafanyabiashara wote wanalalamika. Watanzania gani wenye chochote unaowazungumzia hapa!? Duh! Hasara kweli kuwa na Watanzania wenye ufahamu finyu kama wako. Shule za kata zimekula ubongo wako.😂😂😂😂

Usisema watanzania hatuna chochote sema wewe huna chochote. Ni bora CCM fisadi kuliko chadema yenye uchu wa madaraka, ukabila na isiyo na maono.
 
Unadhani Mbowe angekuwa Mwizi huyo nduli angemuacha awe huru!? Narudia tena una akili fupi sana silipwi na yeyote yule kuandika chochote kile humu bali ni mapenzi kwa nchi yangu. Unafiki na mimi mbali mbali na sitaukaribisha hata siku moja. Weye na UNAFIKI wako endelea kumuunga mkono huyo mwendawazimu.
mkuu ngapingapi😃😃😃😄skuizi sifungui tv
 
Hivi. Ile ndege iliyokwenda SA ilifanikiwa kushusha abiria?
 
Back
Top Bottom