Abeltrainer
JF-Expert Member
- May 24, 2013
- 245
- 473
Mwanza International Airport??Shirika la atcl linapoelekea linapoteza muelekeo kabisa..sasa hivi tupo mwanza international airport tunasuburi ndege tangu saa tano na nusu usiku,na mpaka sasa hivi wanatuambia kuwa tutaondoka saa tisa usiku.
Mnafeli wapi, mnasogeza muda kwa takriban masaa matatu na nusu?
Bado kwemye check up, machine hazifanyi kazi, tunakaguliwa kama wafungwa, ATCL mnatakiwa mjitafakari sana
Kwani hujaelewa nini hapoMwanza International Airport??
Hiyo ndege ya usiku usijaribu. Utafika Dar asubuhi, kama mkifanikiwa kuondoka. I will never book it again.Treasury Registrar anatakiwa achukue hatua ya kubadilisha BODI ya ATCL kwani waliopo hawana weledi partly Ndio maana shirika halına ufanisi!
I am sure by now una database ya kutosha kuweza kupata watu wa kuweza kulisaidia shirika!
Magufuli alijaza watu wa Tanroads wasiojua lolote kuhusu uusafishaji; şifa yao kubwa ilikuwa kumsaidia kushinda uchaguzi!
Please rectify this anomaly kuwapunguzia mzigo wananchi!
Pole sana mkuu wahusika watakua wamekusikia ila hilo la mashine kutokufanya kazi ni la TAA na si ATCLShirika la ATCL linapoelekea linapoteza muelekeo kabisa...sasa hivi tupo Mwanza international airport tunasuburi ndege tangu saa tano na nusu usiku, na mpaka sasa hivi wanatuambia kuwa tutaondoka saa tisa usiku.
Mnafeli wapi, mnasogeza muda kwa takriban masaa matatu na nusu?
Bado kwenye check up, machine hazifanyi kazi, tunakaguliwa kama wafungwa, ATCL mnatakiwa mjitafakari sana
Shida hawa hawanaga hata kuomba radhi utakuta mpaka abiria anahangaika kuipata hy taarifa utakuta wametulia tu kuna mda mpaka unahisi ndege ishakuacha ki ukweli delays zipo ila za ATCL ni ubabaishajiDelays kwenye aviation ni jambo la
Kawaida. Labda kama una mfano wa kampuni isiyokuwa na delays, cancellation ya flights
Huwa wanatuma emails, sema tatizo unapokata kwa kutumia agents, email inatumwa kwa agent. Agent asipokufowardia basi inapita kimya kimya. Pia kwenye zile board za uwanjani huwa wana onyesha kama ndege itadelay au lah. Hiyo ni normal procedure ni jukumu lako abiria kusoma na kutafuta taarifa, usisubiri matangazo ya speaker. Ukiwa msafiri wa hivyo vyombo nadhani utakuwa unanielewa. Kuna uwanja wa Dubai International Airport(DXB) ule ni silent airport huwezi sikia kipaza sauti kikikuita au kutangaza zaidi ya zile emmergence, sasa kama umezoea matangazo husomi ubao unaweza jikuta unaachwa na ndege, ukiwa abiria kuwa active kama huelewi nenda kwenye desk za watoa huduma watakuambia tatizo ni nn.Shida hawa hawanaga hata kuomba radhi utakuta mpaka abiria anahangaika kuipata hy taarifa utakuta wametulia tu kuna mda mpaka unahisi ndege ishakuacha ki ukweli delays zipo ila za ATCL ni ubabaishaji
Saa 3:50 vipi mshaondoka?Shirika la ATCL linapoelekea linapoteza muelekeo kabisa...sasa hivi tupo Mwanza international airport tunasuburi ndege tangu saa tano na nusu usiku, na mpaka sasa hivi wanatuambia kuwa tutaondoka saa tisa usiku.
Mnafeli wapi, mnasogeza muda kwa takriban masaa matatu na nusu?
Bado kwenye check up, machine hazifanyi kazi, tunakaguliwa kama wafungwa, ATCL mnatakiwa mjitafakari sana
Ndio tunaondoka,ila wametutesa sana,kisa wanasiasa wanaenda zenji, shame upon their faceHiyo ndege ya usiku usijaribu. Utafika Dar asubuhi, kama mkifanikiwa kuondoka. I will never book it again.
Ni kweli lakini hii ya kwetu,ni wanasiasa ndio wanasababisha hizo delay,Delays kwenye aviation ni jambo la
Kawaida. Labda kama una mfano wa kampuni isiyokuwa na delays, cancellation ya flights
Mfano Cathy pacific, cancelation ni almost zeroDelays kwenye aviation ni jambo la
Kawaida. Labda kama una mfano wa kampuni isiyokuwa na delays, cancellation ya flights
Na wewe umekuja kulalama humu kabla ya kufanya push back hapo hapo airport, operations manager asingekaa ofisini kabla ya kutafuta mwafaka kama mngempa heka heka hapo ofisini kwakeNdio tunaondoka,ila wametutesa sana,kisa wanasiasa wanaenda zenji, shame upon their face
Kwani ukaguzi ni kazi ya ATCL au mamlaka ya viwanja vya ndege?Bado kwenye check up, machine hazifanyi kazi, tunakaguliwa kama wafungwa, ATCL mnatakiwa mjitafakari sana
Cancellation ya flights huwa zinasababu nyingi, mfano ubovu was ndege, uwanja kuwa na emmergence, hali ya hewa n.k. Sasa kuniambia hao watu wana zero cancellation sidhani ma kama ni kweli. Kati ya hao na Emirates nani mkubwa. Mbona Emirates husa wanacancel flightsMfano Cathy pacific, cancelation ni almost zero
Kwani checkup ni za ATCL? Ila swala la kuondika ni kweli lazima mtaondoka Jumamosi.Shirika la ATCL linapoelekea linapoteza muelekeo kabisa...sasa hivi tupo Mwanza international airport tunasuburi ndege tangu saa tano na nusu usiku, na mpaka sasa hivi wanatuambia kuwa tutaondoka saa tisa usiku.
Mnafeli wapi, mnasogeza muda kwa takriban masaa matatu na nusu?
Bado kwenye check up, machine hazifanyi kazi, tunakaguliwa kama wafungwa, ATCL mnatakiwa mjitafakari sana