Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
Emirates ndege yake hutoka nje ya nchi, ATCL yupo nchini na ndege zake kibao alizonunuliwa.Cancellation ya flights huwa zinasababu nyingi, mfano ubovu was ndege, uwanja kuwa na emmergence, hali ya hewa n.k. Sasa kuniambia hao watu wana zero cancellation sidhani ma kama ni kweli. Kati ya hao na Emirates nani mkubwa. Mbona Emirates husa wanacancel flights