KERO ATCL kuna tatizo gani? Mmetusubirisha ndege kwa saa tatu na nusu

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Emirates ndege yake hutoka nje ya nchi, ATCL yupo nchini na ndege zake kibao alizonunuliwa.
 
Mkuu uongozi wa shirika si upo hapo uwambie au uongozi wa shirika upo hapa jukwaani kwa muda huu!
 
Mwaka wa tatu huu bado unamlaumu Magufuli?
 
Hili litakuwa limesababishwa na dharura ya msiba ikalazimu kubadilisha ratiba ya safari za ndege.
 
Wameshaanza kuihujumu kama kawaida yao.

Hii nchi imejaa mafisadi ya kutisha.
 


Safari ni hatua,
Utendaji wa bongo mnaujua,
Mimi naona saingine ndege ikicheleweshwa ni afadhali kuliko kufosi kuwahi Halafu ujiweke under high risks.
Chukulia wanarekebisha hitilafu ya kiufundi ya ndege yenu unaonaje ,
je wasirekebishe mwende ikiwa na hitilafu au usubiri mwende ikiwa imerekebishwa?

Muwe mna fikiria kwa mapana zaidi huku mkijua mazingira yetu ya kibongobongo yalivyo kienyeji.
 

Miongoni mwa maeneo ambayo ikitokea kuahirishwa au kusubirishwa kwa huduma huwa nakubali bila kuhoji ni kwenye Safari na hospital.
Sababu nimejifunza kuishi kwa imani huwa naamini huenda ipo sababu ambayo Mwenyezi Mungu ameingilia kati kuweka mambo kukaa vizuri kwa upande wangu.
Hususa kwa mazingira ya kibongo.
 
Subira yavuta heri, there is no hurry in Africa🐼
 
Delays kwenye aviation ni jambo la
Kawaida. Labda kama una mfano wa kampuni isiyokuwa na delays, cancellation ya flights
Tatizo kwa ATCL huwa hakuna mawasiliano mazuri
 
Unatakiwa ujiongeze Mzee Ruksa katutoka ndege zote zitakuwa na ratiba za kuzururisha viongozi wa chama na serikali.

Shirika halipo kibiashara kabisa,ziara za Bi Tozo huko ughaibuni ndege inazurura hovyo hovyo.
 
Nafikiri msiba ulivuruga ratiba za ndege kwa kupeleka waombolezaji Zanzibar
 
Mtanikumbuka
 
Sawa ILA abiria ambao ndio wanaowalipa mishahara ATC waliambiwa why kuna uchelewesho?au ndio ya TAZARA?,siangalii ukubwa wa shirika,emirates ni kampuni kubwa ila mimi ninaangalia efficiency, pia Kiwi cancelation yao almost ni zero, sawa na traffic officer's wa Botswana, corruption kuwa ni almost zero!!,Tanzania unapanga safari ya kwenda iringa (500km)LAZIMA u budget pia 10,000ths za rushwa, Gabbs to Kasane ni kama 800km,budget ya rushwa haipo, ila ya KFC 🍗 tu!
 
Hizo ndege zinauliwa na viongozi. Ukute leo zote zimeelekea Zanzibar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…