KERO ATCL kuna tatizo gani? Mmetusubirisha ndege kwa saa tatu na nusu

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Delays kwenye aviation ni jambo la
Kawaida. Labda kama una mfano wa kampuni isiyokuwa na delays, cancellation ya flights
Qatar Airways!😀 But you pay for good service; nauli zake sio za kitoto!!
 
Tuwe wazalendo
 
Pole sana mkuu wahusika watakua wamekusikia ila hilo la mashine kutokufanya kazi ni la TAA na si ATCL
TAA wameshindwa hata kutii maelekezo ya Rais kuboresha uwanja wa Mwanza,hujuma ya ki kaskazini iko siku! sembuse mashine za ukaguzi,kila kitu Mwanza airport ni shida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…