ATCL Kwenda India ni ukatili kwa Watanzania

Nitolee ujinga mimi corona ipo wapi Ndugu zako wamekufa wangapi?
Hakuondoi ukweli kuwa maelfu ya Watanzania wanaugua na kufa in silence kwa kuiogopa serikali ya meko
 
Viongozi walishasema uchumi kwanza maisha ya watu baadaye, hayo ndiyo wanayotekeleza sasa. Tulikosea mahali 2015.
 
Kama wagonjwa wameomba warudishwe nyumbani Tatizo liko wapi?

Km mtu amepona unataka aendelee kukaa wodini?
Hapana huyu mtu yeye analalamikia gharama kuwa ni kubwa, yaani wanakuwa overcharged, kitu ambacho siyo fair
 
wako Watanzania maeneo mbali mbali duniani wameshindwa kusafiri kuokana na sababu kama hizo, ukiwarudisha hao bure hao wengine wa maeneo mengine utawaambia nini?
 
Reactions: Ole
Mm naungama na ww mkuu. Kwanza hao watu wamelalamika sana mpaka ikabidi waseme kwa gharama yyte ile waende wachukuliwe watalipia. Uone mbele ya pesa....watu wanavyopenda pesa. Mataifa mengne wanachukua watu wao bila masharti yyte tena kwa gharama ya serikali. Lkn serikali ya wanyonge wanalipisha wanyonge mamilion ya shilingi kuwaleta nyumbani.
 
Anayeenda kutibiwa India kwa gharama zake Ni mnyonge? Anayeenda kusoma India kwa gharama zake Ni mnyonge?
Ulitaka aiende kutibiwa huko wafe...hujui watu wanauza migugo na ardhi ili kuokoa maisha ya mpendwa wao wakibaki maskini baada ya kuuza? Sisiemu mna nn lkn?
 
Hakuna nchi hata moja imewarudisha raia wake bure wote walilipa
 
Reactions: Ole
Hii ni sawa na mmiliki wa shule za binafsi; mwanafunzi akisamehewa ada, kuna mtu kalipia hiyo ada.
 
Hao watu wa India nimewaona kule facebook wakilalamika ,kinachowauma ni kwamba kwanini one way ni dollar 850,ikiwa wakati safari za anga zipo one way ilikuwa 350$
 
Ila nawaombea warudi Salama na mungu awajalie wawe na afya njema , maana sasa Nchi Kama Nchi IPO locked , ukiugua hakuna tena kutoka Nje tena, ni kupambana hapa hapa kwenye hudama zetu dhaifu mlizozikimbia mwanzoni.

Mungu atunusuru na corona

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…