ATCL na hofu ya kupigwa oda ya ndege mpya nne za kisasa

Bei ya kiwandani

NB: Mpuuzeni Lukuvi kuwa kuna bei za madalali.....
 
Thaman ya ndege moja ikiwekezwa kwenye kilimo na miundombinu ya kilimo ina uwezo wa kuwatoa vijana nchi nzima kwenye tatzo la ajira

Hebu kila mkoa waandae mashamba makubwa yenye scheme za umwagiliaj..kila mkoa waone tija ya hzo bilions of shilings..ndege 1 tu
 
Nimekubali hii
 
Mama piga kazi,
 

Nadhani serikali ilifanya makosa kuwachagua CAG . Anayefaa ni wewe ambaye ni Mtaalamu kutoka Lumumba.

Tutakupendekeza Mkuu
 
Mkuu uko sahihi 100% ndio indirect benefits zenyewe hizi
 
CHADEMA lete prove kuwa hawa ni WATANZANIA,

Acheni uzushi wenu,

Siwajibii Chadema wala mimi si Chadema lakini hali ya nyumbani ndio

Matunda ya kazi za CCM haya


Your browser is not able to display this video.
 
Safi sana Mama yetu hakika kaziiendelee
 
mpaka sasa tupe takwimu pia atcl imeleta watalii wangapi?!? maana mi naona wanatua na midege yao pendwa tu
 
CAG ofisi hawana ubavu wa kuja na indirect benefits

wakiweza nitakunya humu

why? kwa sababu wanafanya kama akina Ruto, hawana ubunifu wala mawazo mapya
 
Hawa ndiyo walienda shule kusomea Ujinga. Duuuuh!!

CAG anatoa ripoti za kitoto!!!!!!!! Aiseee!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…