ATCL na hofu ya kupigwa oda ya ndege mpya nne za kisasa

Tanzania tayari tuna ndege mpya 11 za kisasa zinazoifanya ATCL kuwa mshindani wa Rwanda Airlines,Ethiopia Airline na Kenya Airways katika biashara ya Usafiri na usafirishaji wa anga Africa.

Pamoja na kwamba kimahesabu ATCL inaonekana kutengeneza hasara lakini indirectly ATCL inafaida kubwa sana kwa Uchumi wa nchi yetu, kwamfano hadi kufikia ripoti ya mwisho ya CAG shirika letu la ATCL lilitengeneza hasara ya TZS 153BL ila indirect benefits CAG hakuzitaja ambazo ndio zinathamani kubwa zaidi ya hiyo hasara (Wakati mwingine CAG aje na indirect benefits za ATCL)

Kwamsiofahamu faida za ndege duniani kote sio Air ticketing (tiketi) ila ni indirect Profit yaani faida mbadala mathalani Tanzania tayari inahitaji watalii kutoka Duniani kote na kwamsiojua Watalii wanalipa kuliko hii "Air ticketing " mnazozipigia kelele,

Mfano, Mwaka 2017|18 mapato yetu yatokanayo na Utali yalifikia $2.4BL sawa na Tshs 5.5trilioni wakati rekodi ya Watali ikiwa 2m tu,Lakini tunafahamu duniani kila mwaka kuna zaidi ya Watali 1.5bl wanatafuta wapi waende kula bata,

Kama tulipata TZS 5.5Trilioni kwa watalii 2m waliojileta wenyewe itakuwaje tukiwafuata kwa Ndege zetu wenyewe? Nahasa ya 153BL Ni-nini kwenye mapato ya TZS 5.5 kama ndege hizi zitaleta watalii 2m wapya?

Niulize swali, Kenya Airways inaweza kubeba watalii toka UK ikawaletea ninyi Tanzania mnaopinga kuwa na ndenge zenu? "Jibu ni Hapana" vivyo hivyo kwa mataifa shidani kibiashara toka Africa hawawezi kuwafaidisha ninyi lazima kila nchi ivutie kwake na hii ni miongoni mwasababu inamfanya Rais Samia Suluhu Hassan kuagiza ndege mpya tano za kisasa huku akilipia nne za awali,

Nimejaridi ku-Google bei za kila ndege hizi ndizo bei za kiwandani japo naamini kunapunguzo,

Bei ya Boing 787-800 dreamliner ni $248M au TZS 570.4BL,Wakati bei ya Boing 767 -300 Freighter ni $220M au TZS 506BL na Boing 737 Max ni $99.7M kwa moja sawa na TZS 458.6BL kwa zote mbili, Bei ya ndege zote nne kwa mujibu wa bei ya kiwandani ni $667.4M sawa na TZS 1.535Trilioni

Puuzeni uzushi, bei ya kiwandani kwa ndege zote mpya nne zilizoagizwa na Rais Samia ni $667.4M au TZS 1.5T na Sio $726M au 1.7T,Watanzania chapeni kazi inchi yenu iko vizuri Sana,​

||Jifunzeni kuisemea nchi yenu mema,

Kumbe!
 
Naandika hii comment huku Simu yangu ikiwa na 14% charge na tangu umeme ukatike usiku haujarudi na hapa nipo ndani ya jiji la kibiashara la Dar.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Tuache propaganda za kijinga, Shirika la ndege ni kama mashirika mengine sio tofauti lazima yajiendeshe na kubalance your books of accounts how do you account for payment of lodge fee za mtalii kwenye your books of accounts? Tuache siasa kwenye vitu vya kibiashara. Unataka kujenga hoja kuwa serikali ikulipe kwa kuwaleta watalii wakati walikulipa nauli poor thinking.
 
Kama tulipata TZS 5.5Trilioni kwa watalii 2m waliojileta wenyewe itakuwaje tukiwafuata kwa Ndege zetu wenyewe?
Hizi ndizo akili za ccm wadanganyika wanaaminishwa zitawaletea maendeleo. Eti uchukue ndege yako umtume rubani aende Greece, London, America, etc arudi na watalii. Yaani ndege yenye seat eg 300 pale Rome Pana watalii 20, iwafuate. London Pana wataalii 3, Atcl iwafuate etc. Hii biashara inaendeshwa kitaalamu na sio kisiasa. Usifikiri huko duniani utalazimisha Monopoly Kama hapa.
 
Wapuuzi sana hawa wanavyo tufanya wajinga.
Eti majuzi Mwigulu naye anasema akiba yetu ya fedha za kigeni imefikia dola bilioni 6,700?
Hivi waziri wa fedha anaweza kutufanyia unyambisi wa aina hiyo? Au hajui hata namba?
Yaani nchi imeharibika kuliko kiasi. Siku hizi kusikia namba kubwa bila kuona matokeo yake ni jambo la kawaida kabisa.
 
Ile 1.5T cag Prof. Assad aliyosema haionekani imeshapatikana?
Aliisema wapi. Mbona vitabu vyote vya ukaguzi kutoka ofisi ya CAG viko mtandaoni na hakuna anayeweza kutuonyesha hilo pengo la 1.5 trilioni. Assad Mwenyewe pamoja na hasira zake hajawahi kutamka kwa mdomo wake kuhusu hizo trilioni, bali zilitamkwa na Zitto tu. Watu wakadakia mpaka mwisho wa dunia. Leta ushahidi unaoonyesha kuwa CAG aliwahi kuongelea upotevu wa trilioni 1.5. Mimi nilisoma ripoti zote pale National Audit office of Tanzania (NAOT) na nimeshamsikia Assad akitoa malalamiko yake mengi ya kuwa "hakustaafu" bali "alisimamishwa kazi kinyume cha katiba", na wala hajawahi kutamaka hizo trilioni 1.5. Wewe ulizitoa wapi kama siyo kwa Zito ambaye hudanganya wasiojua kusoma kama wewe?

Nenda hapa usome ripoti zote za CAG halafu ulete hapa ripoti inayoonyesha upotevu wa trilioni 1.5

===
Tanzania tayari tuna ndege mpya 11 za kisasa zinazoifanya ATCL kuwa mshindani wa Rwanda Airlines,Ethiopia Airline na Kenya Airways katika biashara ya Usafiri na usafirishaji wa anga Africa.

Pamoja na kwamba kimahesabu ATCL inaonekana kutengeneza hasara lakini indirectly ATCL inafaida kubwa sana kwa Uchumi wa nchi yetu, kwamfano hadi kufikia ripoti ya mwisho ya CAG shirika letu la ATCL lilitengeneza hasara ya TZS 153BL ila indirect benefits CAG hakuzitaja ambazo ndio zinathamani kubwa zaidi ya hiyo hasara (Wakati mwingine CAG aje na indirect benefits za ATCL)

Kwamsiofahamu faida za ndege duniani kote sio Air ticketing (tiketi) ila ni indirect Profit yaani faida mbadala mathalani Tanzania tayari inahitaji watalii kutoka Duniani kote na kwamsiojua Watalii wanalipa kuliko hii "Air ticketing " mnazozipigia kelele,

Mfano, Mwaka 2017|18 mapato yetu yatokanayo na Utali yalifikia $2.4BL sawa na Tshs 5.5trilioni wakati rekodi ya Watali ikiwa 2m tu,Lakini tunafahamu duniani kila mwaka kuna zaidi ya Watali 1.5bl wanatafuta wapi waende kula bata,

Kama tulipata TZS 5.5Trilioni kwa watalii 2m waliojileta wenyewe itakuwaje tukiwafuata kwa Ndege zetu wenyewe? Nahasa ya 153BL Ni-nini kwenye mapato ya TZS 5.5 kama ndege hizi zitaleta watalii 2m wapya?

Niulize swali, Kenya Airways inaweza kubeba watalii toka UK ikawaletea ninyi Tanzania mnaopinga kuwa na ndenge zenu? "Jibu ni Hapana" vivyo hivyo kwa mataifa shidani kibiashara toka Africa hawawezi kuwafaidisha ninyi lazima kila nchi ivutie kwake na hii ni miongoni mwasababu inamfanya Rais Samia Suluhu Hassan kuagiza ndege mpya tano za kisasa huku akilipia nne za awali,

Nimejaribu ku-Google bei za kila ndege na hizi ndizo bei za kiwandani japo naamini kunapunguzo,

Bei ya Boing 787-800 dreamliner ni $248M au TZS 570.4BL,Wakati bei ya Boing 767 -300 Freighter ni $220M au TZS 506BL na Boing 737 Max ni $99.7M kwa moja sawa na TZS 458.6BL kwa zote mbili, Bei ya ndege zote nne kwa mujibu wa bei ya kiwandani ni $667.4M sawa na TZS 1.535Trilioni

Puuzeni uzushi, bei ya kiwandani kwa ndege zote mpya nne zilizoagizwa na Rais Samia ni $667.4M au TZS 1.5T na Sio $726M au 1.7T,Watanzania chapeni kazi inchi yenu iko vizuri Sana,​

||Jifunzeni kuisemea nchi yenu mema,

Inapendeza sana nchi kuwa na shirika la ndege imara.

Umesema vizuri kuwa nchi ilipata faida ya 5.5 trillion (Tshs) zilizotokana na utalii. Pia, umebainisha kuwa shirika la ATCL lilipata hasara ya 157 billion, na makisio ya ndege ulizoandika hapo ni kama 3.6 trillion, ambayo ni investment ya sasa bila mahesabu ya ndege za zilizonunuliwa miaka iliyopita na gharama za kuendesha shirika. Hivyo, huenda bei ya ndege zote na gharama za kuendesha ATCL ikawa kubwa kuliko faida ya utalii yenyewe.

Ila pia yafaa kujiuliza, je watalii wanaofika Tanzania wanaletwa na ndege za ATCL?
Akina KLM, Emirate, Qatar, Turkish Airways, Ethiopian Airline, Kenya Airways, British, Lufasansa, etc. huwa wanaleta akina na nani?
Je, ATCL kwa sasa na hivi karibuni ina routes za kwenda watokako watalii?
Je, safari za ndani tu kuelekea kwenye vivutio vya kitalii ni mashirika gani ya ndege yametamalaki?

ATCL naiombea sana ikue, ikiwezekana iwe shirika kubwa duniani. Ingawa bado shirika lina changamoto ambazo zilipaswa kutatuliwa kwanza.
Hivi majuzi kuna watu walikuwa wanaiita ATCL - Any Time Cancellation....inabidi kushughulika haya kwanza
 
===
Tanzania tayari tuna ndege mpya 11 za kisasa zinazoifanya ATCL kuwa mshindani wa Rwanda Airlines,Ethiopia Airline na Kenya Airways katika biashara ya Usafiri na usafirishaji wa anga Africa.

Pamoja na kwamba kimahesabu ATCL inaonekana kutengeneza hasara lakini indirectly ATCL inafaida kubwa sana kwa Uchumi wa nchi yetu, kwamfano hadi kufikia ripoti ya mwisho ya CAG shirika letu la ATCL lilitengeneza hasara ya TZS 153BL ila indirect benefits CAG hakuzitaja ambazo ndio zinathamani kubwa zaidi ya hiyo hasara (Wakati mwingine CAG aje na indirect benefits za ATCL)

Kwamsiofahamu faida za ndege duniani kote sio Air ticketing (tiketi) ila ni indirect Profit yaani faida mbadala mathalani Tanzania tayari inahitaji watalii kutoka Duniani kote na kwamsiojua Watalii wanalipa kuliko hii "Air ticketing " mnazozipigia kelele,

Mfano, Mwaka 2017|18 mapato yetu yatokanayo na Utali yalifikia $2.4BL sawa na Tshs 5.5trilioni wakati rekodi ya Watali ikiwa 2m tu,Lakini tunafahamu duniani kila mwaka kuna zaidi ya Watali 1.5bl wanatafuta wapi waende kula bata,

Kama tulipata TZS 5.5Trilioni kwa watalii 2m waliojileta wenyewe itakuwaje tukiwafuata kwa Ndege zetu wenyewe? Nahasa ya 153BL Ni-nini kwenye mapato ya TZS 5.5 kama ndege hizi zitaleta watalii 2m wapya?

Niulize swali, Kenya Airways inaweza kubeba watalii toka UK ikawaletea ninyi Tanzania mnaopinga kuwa na ndenge zenu? "Jibu ni Hapana" vivyo hivyo kwa mataifa shidani kibiashara toka Africa hawawezi kuwafaidisha ninyi lazima kila nchi ivutie kwake na hii ni miongoni mwasababu inamfanya Rais Samia Suluhu Hassan kuagiza ndege mpya tano za kisasa huku akilipia nne za awali,

Nimejaribu ku-Google bei za kila ndege na hizi ndizo bei za kiwandani japo naamini kunapunguzo,

Bei ya Boing 787-800 dreamliner ni $248M au TZS 570.4BL,Wakati bei ya Boing 767 -300 Freighter ni $220M au TZS 506BL na Boing 737 Max ni $99.7M kwa moja sawa na TZS 458.6BL kwa zote mbili, Bei ya ndege zote nne kwa mujibu wa bei ya kiwandani ni $667.4M sawa na TZS 1.535Trilioni

Puuzeni uzushi, bei ya kiwandani kwa ndege zote mpya nne zilizoagizwa na Rais Samia ni $667.4M au TZS 1.5T na Sio $726M au 1.7T,Watanzania chapeni kazi inchi yenu iko vizuri Sana,​

||Jifunzeni kuisemea nchi yenu mema,

Ungeweka mchanganuo wa indirect benefit za ndege wangekuelewa.

Kwa mfano
Kila mgeni anaposhuka/kupanda ndege anatozwa dola 10, anapokata Visa anatozwa dola 50, anapoingia mbugani anatozwa dola 100 (am not sure kama iko valid), anapolala hoteli inalipa 30% kodi kwa serikali.
So kwa kifupi mtalii mmoja akiletwa na ndege zetu anachangia almost dola 200, hii inamaanisha indirectly Serikali inakusanya almost 200*200,000(idadi ya watalii) ambayo ni ndege ndogo ya mapanga moja.
Bado indirectly, serikali inachukua PAYE kutoka kwa waajiriwa wa hayo makampuni, so waajiriwa wanavoongezeka ndivo nayo inaendelea kuchukua fungu lake la kaisari.

Bado directly serikali wanalipwa kodi zao kwenye kukodisha hiyo midege,

This is to say, serikali haipati hasara kabisa, hata kama ATCL itapata hasara daily.
 
Aliisema wapi. Mbona vitabu vyote vya ukaguzi kutoka ofisi ya CAG viko mtandaoni na hakuna anayeweza kutuonyesha hilo peno la 1.5 trilioni. Assad Mwenyewe pamoja na hasira zake hajawahi kutamka kwa mdomo wake kuhusu hizo trililni, bali zilitamkwa na Zitto tu. Watu wakadakia mpaka mwisho wa dunia. Leta ushahidi unaoonyesha kuwa CAG aliwahi kuoingelewa upotevu wa trilioni 1.5. Mimi nilisoma ripoti zote pale National Audit office of Tanzania (NAOT) na nimeshamsikia Assada akitoa malalamiko yake mengi ya kuwa "hakustaafishwa" bali "alisimamishwa kazi kinyume cha katiba", na wala hajawahi kutamaka hizo trilioni 1.5. Wewe ulizitoa wapi kama siyo kwa Zito ambaye hudanya wasiojua kusoma?

Nenda hapa usome ripoti zote za CAG halafu ulite hapa ripoti inayoonyesha upotevu wa trilioni 1.5

Mkuu wa nchi aliuliza mbele ya uadhara: 'eti Kuna pesa zimeliwa!' Akajibiwa hakuna mheshimiwa.
Suppose ni wewe ungeulizea hivo na 'Jiwe', na una hakika 100% pesa zimeliwa ungetoa jibu Kama unajipenda?
 
Na btw, baadae iligunduliwa sio 1.5T tuu, Bali ni 2.4T
 
Ripoti zote za ofisi ya CAG zipo hapo nilipokuonyesha; usilete blah blah bali wewe sema ni ripoti gani inayoonyesha upotevu. Mbona ripoti zipo wazi tu, kwa nini uziogope, badala yake ulete maneno ya mitaani tu?

Ripoti za Assad akiwa CAG wakati wa Magufuli ni hizi hapa; niambie ni ipi inayoonyesha wizi wa trilioni 1.5 au trilion 2.4 kama siyo kuleta ngonjera tu za kisiasa tu.
 
Attachments

Rais wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan ameipongeza ATCL kwa kupanua biashara ya usafiri na usafirishaji ya anga, hasa baada ya ATCL kuongeza safari zake za kibiashara kwa karibu mara tatu.

Rais Samia ameipongeza zaidi ATCL kwa kurejesha Safari za Kenya Nairobi tena kwa gharama ndogo ya KSh37,525 au $334 sawa na TZS 770, Two ways.

Lazima tufahanu kuwa mwendo huu wa kasi wa ATCL ni kabla ya ujio wa ndege mpya tano za kisasa zinazotarajiwa kuingia nchini ndani ya kipindi kifupi kijacho, hakika hakuna kama Rais Samia.

Natangaza rasmi kumuunga mkono Rais Samia Suluhu Hassan,
 
Back
Top Bottom