ATCL na hofu ya kupigwa oda ya ndege mpya nne za kisasa

Acha uongo, watalii wanakuja na ndege zao. Ni faida zaidi kwa watalii kuja na ndege zao kuliko kutia hasara ATCL halafu faida ya kwenye utalii itumike kufidia hasara.
 

Puuzeni uzushi, bei ya kiwandani kwa ndege zote mpya nne zilizoagizwa na Rais Samia ni $667.4M au TZS 1.5T na Sio $726M au 1.7T,Watanzania chapeni kazi inchi yenu iko vizuri Sana,​

  1. Hakuna madarasa kwa watoto wetu
  2. Hakuna madawati
  3. Wastaafu hawalipwi fedha zao kwa utopolo kama huu
  4. Hakuna maji salama kwa wa Tz.
  5. Umeme hakuna ni majanga kila kukicha!
  6. Miundombinu ya barabara hakuna!
Hivi mi-ndege ndio kipaumbele cha wa Tz? ccm kwa kweli nyie ndio wahujumu wa kwanza nchi hii.
 
Upeo wako wa kufikiri na kuchambua mambo ni mdogo sana.
Vinginevyo unalipwa bk7 kwa hizi propaganda.
 
Upeo wako wa kufikiri na kuchambua mambo ni mdogo sana.
Vinginevyo unalipwa bk7 kwa hizi propaganda.

Hawa ndio ambao huamini kila wanalotapeliwa Na viongozi wa CCM

 
Ngoja tuone kama ni kweli au uongo,
 
Hizo ndege tuzitumie kwenda kuchota maji ili kujaza mabwawa tuondokane na mgao wa umeme na maji
 
Kaziiendelee, Tuko kwenye uelekeo sahihi sana,
 
maji na umeme ni anasa punguzeni malalamiko ndege kwanza watalii waje kwa wingi.
Ujerumani baadhi ya maeneo kwenye migahawa hawanawi mikono kabla na baada ya kula. Nadhani hilo linapunguza uhaba wa maji. Ha ha ha haaa!
 
Naona umetumwa kutudanganya!
Wapuuzi sana hawa wanavyo tufanya wajinga.
Eti majuzi Mwigulu naye anasema akiba yetu ya fedha za kigeni imefikia dola bilioni 6,700?
Hivi waziri wa fedha anaweza kutufanyia unyambisi wa aina hiyo? Au hajui hata namba?
 
What I know from the scratch is that planes do not cost an arms and a leg. Plane is dead end business in Tanzania
 
Siku hizi nchi kununua ndege ni jambo zuri, lakini wakati nchi haikuwa na ndege kabisa, ununuzi wa ndege ulionekana ufujaji wa hela za umma, na kutaka hela hizo zigawiwe kwa wanahci. Watu wasiokuwa na msimamo unaoeleweka bali wanafuata mziki mzuri tu huwa ni wepesi sana wa kuzamishwa majini kama wale panya waliozamishwa majini na mpiga filimbi wa hamelin.
 
😍
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…