ATCL na hofu ya kupigwa oda ya ndege mpya nne za kisasa

Mungu anatenda Maajabu lazima tuelewe,
 
Wewe Ndio dwanzi wa kiwango Cha 5G kabisa, hujui lolote kuhusu Aviation industry Wala Tourism! unapayuka tu kama kawaida ya Sukumagang wote na mtandao wa cheerleaders and Praise singers! Nyau we!
Sukuma Gang ndio nani, Umesoma vizuri hilo andiko?
 
Kuna watu wanapandisha bei za bidhaa kiholela kumchafua Rais Samia,

Waziri Mkuu pambana na hawa watu nia yao si njema kabisa,
 
Team JF,


MERRY CHRISTMAS AND HAPPY NEW YEAR 2022.

#TUENDELEE KUMUUNGA MKONO RAIS WETU,
 
Happy Boxing Day kwa hisani ya Mhe Samia Suluhu Hassan
 
Miradi yote iliyoachwa na Hayati Dkt John John Joseph Pombe Magufuli Rais Samia Suluhu Hassan anaitekeleza kwa 100%

Sihiyo tu tayari mingine mipya inaendelea na Ujenzi,

Tunawajibu wa kumwombea Mama huyu,
 
Hakika kama mambo yataendelea kuwa hivi Rais Samia Suluhu Hassan atashinda Uchaguzi Huru na Haki wa 2025 kwa zaidi ya 76%
 


Kwa hiyo tukusikilize wewe vs CAG?
 
Ufafanuzi umeshiba sana huu,
 
Kama mambo ndio haya basi Tanzania kama kuna wakati tumepata Rais bora na wa kweli nadhani ni sasa,Tufanye kazi kwa bidii sana,

Hakika huyu Mama ni Mpango wa Mungu,

#WATANZANIA TUFANYE KAZI KWA BIDII
 
" Kwa mwendo huu Tanzania tutafika tunakotaka kwenda tena kwa kuwahi sana, Hongera Mama Samia, Watanzania tuko nyuma yako We chapa kazi achana na Wasio na jema "
 
Kazi iendelee,Moto moto
 
Kuna watalii wanaokuja Tz na ndege za Tz?
Wanatoka nchi zipi? taja kwa uchache!
Tunaona wengi karibu 90% wakija na mashirika mengine na sio hiili la kwetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…