ATCL: Nauli ya Mwanza- Bukoba siyo haki

ATCL: Nauli ya Mwanza- Bukoba siyo haki

Joined
Mar 5, 2009
Posts
95
Reaction score
32
Salaam Wadau!

Nimekuwa nikifuatilia taarifa mitandaoni kuhusu hizi nauli za ndege za AIR Tanzania kati ya Mwanza na Bukoba ambapo kwenda tu itakuwa shs 140000. halafu Mwanza to Dar tshs. 160000.

Kama ndo kweli inakuwaje safari ya saa 1.30 ( Mza- Dar) itofautiane na safari ya karibu nusu saa tu( Mza- Bkb) kwa shs elfu ishirini tu? Kama wamechukua kigezo cha wingi wa abiria, hii route inao abiria wengi sana kuanzia enzi za Precisionair. Vilevile ukichukulia kwamba sasa hivi hakuna usafiri wa uhakika na wa haraka toka Bkb baada ya meli kuharibika.

Hoja yangu ni kwamba usafiri wa ndege isiwe kitu cha anasa bali iwe kichocheo cha kukuza uchumi wa wananchi, kwani ingewekwa bei nafuu ili abiria wapande kwa wingi na wawahi shughuli zao kama kawaida.

Kwa mfano mtu anaweza kupanda ndege ya asubuhi akafanya shughuli zake mwanza na kurudi mchana kuendelea na shughuli nyingine.
 
kama ndo kweli inakuwaje safari ya saa 1.30 ( Mza- Dar) itofautiane na safari ya karibu nusu saa tu( Mza- Bkb) kwa shs elfu ishirini tu? Kama wamechukua kigezo cha wingi wa abiria, hii route inao abiria wengi sana kuanzia enzi za Precisionair. Vilevile ukichukulia kwamba sasa hivi hakuna usafiri wa uhakika na wa haraka toka Bkb baada ya meli kuharibika.
Hoja yangu ni kwamba usafiri wa ndege isiwe kitu cha anasa bali iwe kichocheo cha kukuza uchumi wa wananchi, kwani ingewekwa bei nafuu ili abiria wapande kwa wingi na wawahi shughuli zao kama kawaida. Kwa mfano mtu anaweza kupanda ndege ya asubuhi akafanya shughuli zake mwanza na kurudi mchana kuendelea na shughuli nyingine.
Hivi sasa nauli kati ya bukoba na mwanza ni Tshs 160,000 hivyo nauli ya hiyo ni afueni kidogo.
Hata hivyo kinachotiliwa maanani siyo comparative distance tu bali pia na vingine ni uwezo wa kujaza ndege kwa safari zote[kwenda na kurudi] wakati wote. Hivyo basi ninaona nauli hiyo ni tangulizi wakiangalia biashara inavyokwenda.
Kama tunataka nauli za chini sana kwa shirika hili basi tuwe tayari kunyamaza kimya iwapo litaanguka tena. Tulianza kejeli hata ndege hizo hazijafika kwa maneno mengi sana sasa likifilisika jee itakuwaje.
Hata hivyo ndugu wa JF nilipanda ndege hii siku ya jumamosi 14/10 kwenda mwanza. ilikuwa safi sana. Na vilevile kabla hamjaponda, pandeni kwanza muone ubaya wake ndiyo mseme.
 
Hivi nauli ya dar mbeya ni bei gani? Kwa ndege hizi za air magu??
 
kuna boeng kuna Air Buss wewe wapiga kelele na Q400 ? wafanye hata miliooo
 
Wewe unataka upande ndege kutoka hapo Bukoba kuja pale Mwanza wakati wewe ni rofa unalakamika nn? Kwann usipande Bunda Express KWA hela yako ndogo ya mauzo ya senene? Ukilalamikia humu nauli ya ndege sisi tunakuona fala huna maamuzi, waache wenye pesa watapanda tena wanagombania tiketi kila Siku. Labda KWA kuwa nawe umetumwa kupost humu endelea kulalamika.
 
We panda tu wenzio wanafika mwz wakati wewe bado uko mlandizi na vilevile uombe usikutane na scania lililoshindwa breki pale sekenke
Na wewe ukiwa na kipangaboi chako huko angani utakutana na makombora ya urusi huko juuu....hutaachwa ata jivu lako halitaonekana!!!
 
Nitapanda pangaboi baada ya miezi sita,usiulize kwanini nimejipangia mwenyewe.
 
Wewe unataka upande ndege kutoka hapo Bukoba kuja pale Mwanza wakati wewe ni rofa unalakamika nn? Kwann usipande Bunda Express KWA hela yako ndogo ya mauzo ya senene? Ukilalamikia humu nauli ya ndege sisi tunakuona fala huna maamuzi, waache wenye pesa watapanda tena wanagombania tiketi kila Siku. Labda KWA kuwa nawe umetumwa kupost humu endelea kulalamika.
Kuna watu mna majibu mabaya kama vile mmeshikiwa kisu ili ujibu.
 
Bojoooo infact sisi tunalipa tu... tunahela tumesoma ikibidi waongeze kidogoo tu tutalipa na ningeomba serikli ipitishe suti maalumu ya wapanda ndege ili tujulikane..

By the way nimecomment mwa kutumia iphone 7 128gb gold limited edition nikiwa nimekaa kwenye sofa seti niliyoimport toka paris uku nikiwa naangalia tv 152 inches ambayo imekuja na ndege toka germany, pembeni kakaa mtoto wangu anachezea samsung note7 niliyoifanya toy baada ya kusikia zinalipuka
 
Infwakt, wewe utakuwa ndugu yangu, nakumbuka mara ya mwisho tulikutana ile hotel ya kifahari duniani Hilton five star na kwa bahati mbaya sikukupatia picha tuliyopiga na mtoto wa Obama Malia, na pia nilivyotoka hapo nilikodi private jet kwenda Ufaransa kufanya shopping ya Rolex na kurudi Atlanta siku hiyohiyo, walikuja wabongo pale niliwakwepa kwasababu wataniharibia kingeli changu nilichokikuzia kwenye chuo cha dunia Oxford University,
Infwakt, leo nimeongea sana ngoja niishie hapa watakuja wengine kunijengea PhD yangu ya saba
 
Salaam Wadau!

Nimekuwa nikifuatilia taarifa mitandaoni kuhusu hizi nauli za ndege za AIR Tanzania kati ya Mwanza na Bukoba ambapo kwenda tu itakuwa shs 140000. halafu Mwanza to Dar tshs. 160000.

Kama ndo kweli inakuwaje safari ya saa 1.30 ( Mza- Dar) itofautiane na safari ya karibu nusu saa tu( Mza- Bkb) kwa shs elfu ishirini tu? Kama wamechukua kigezo cha wingi wa abiria, hii route inao abiria wengi sana kuanzia enzi za Precisionair. Vilevile ukichukulia kwamba sasa hivi hakuna usafiri wa uhakika na wa haraka toka Bkb baada ya meli kuharibika.

Hoja yangu ni kwamba usafiri wa ndege isiwe kitu cha anasa bali iwe kichocheo cha kukuza uchumi wa wananchi, kwani ingewekwa bei nafuu ili abiria wapande kwa wingi na wawahi shughuli zao kama kawaida.

Kwa mfano mtu anaweza kupanda ndege ya asubuhi akafanya shughuli zake mwanza na kurudi mchana kuendelea na shughuli nyingine.
labda mwanza tu bukoba wamefananisha kuwa anga zao zina korogeshen kama za barabara za vumbi kuliko mwanza to dar[emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Wewe unataka upande ndege kutoka hapo Bukoba kuja pale Mwanza wakati wewe ni rofa unalakamika nn? Kwann usipande Bunda Express KWA hela yako ndogo ya mauzo ya senene? Ukilalamikia humu nauli ya ndege sisi tunakuona fala huna maamuzi, waache wenye pesa watapanda tena wanagombania tiketi kila Siku. Labda KWA kuwa nawe umetumwa kupost humu endelea kulalamika.
Mkuu hivi umeelewa HOJA yangu kweli?
Kuna haja gani ya kutukana? Mie sijaongelea hizo siasa zenu, nimejikita kwenye hali halisi ya mkoa wetu na changamoto za usafiri tulizo nazo na kwamba unafuu wa bei ungechagiza ukuaji wa uchumi kwa wananchi wengi kuutumia na kunufaika nao. Kamwe tusiufanye kuwa anasa tu bali kichocheo kingine cha maendeleo ya mkoa wetu.
 
Hivi sasa nauli kati ya bukoba na mwanza ni Tshs 160,000 hivyo nauli ya hiyo ni afueni kidogo.
Hata hivyo kinachotiliwa maanani siyo comparative distance tu bali pia na vingine ni uwezo wa kujaza ndege kwa safari zote[kwenda na kurudi] wakati wote. Hivyo basi ninaona nauli hiyo ni tangulizi wakiangalia biashara inavyokwenda.
Kama tunataka nauli za chini sana kwa shirika hili basi tuwe tayari kunyamaza kimya iwapo litaanguka tena. Tulianza kejeli hata ndege hizo hazijafika kwa maneno mengi sana sasa likifilisika jee itakuwaje.
Hata hivyo ndugu wa JF nilipanda ndege hii siku ya jumamosi 14/10 kwenda mwanza. ilikuwa safi sana. Na vilevile kabla hamjaponda, pandeni kwanza muone ubaya wake ndiyo mseme.
Mkuu umedanganya umepandaje ndege tarehe 14/10 na huku ATCL walitangaza kuanza safari rasmi tarehe 15/10...???[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Back
Top Bottom