Abunwasi
JF-Expert Member
- Jun 25, 2009
- 5,486
- 3,473
Ninakuhakikishia tarehe 14/10 nilipanda flight TC102 ambayo iliondoka dar saa 1 jioni kwenda mwanza. Na ile nauli ya Tshs 160,000 ni bila kodi kwani ilibidi niongeze Tsh 39,000 hivyo kufanya nauli halisi kuwa Tshs. 199,000.Mkuu umedanganya umepandaje ndege tarehe 14/10 na huku ATCL walitangaza kuanza safari rasmi tarehe 15/10...???[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]