ATCL: Nauli ya Mwanza- Bukoba siyo haki

ATCL: Nauli ya Mwanza- Bukoba siyo haki

Mkuu umedanganya umepandaje ndege tarehe 14/10 na huku ATCL walitangaza kuanza safari rasmi tarehe 15/10...???[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Ninakuhakikishia tarehe 14/10 nilipanda flight TC102 ambayo iliondoka dar saa 1 jioni kwenda mwanza. Na ile nauli ya Tshs 160,000 ni bila kodi kwani ilibidi niongeze Tsh 39,000 hivyo kufanya nauli halisi kuwa Tshs. 199,000.
 
Mkuu umedanganya umepandaje ndege tarehe 14/10 na huku ATCL walitangaza kuanza safari rasmi tarehe 15/10...???[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Nadhani nimejibu na sina sababu ya kudanganya ndege toka dar-mwz TC102 nauli Tshs 199,000 iliruka tarehe 14/10 saa 1 jioni . Hebu jaribu kufanya utafiti kabla ya kumuita mtu muongo. kama unarafiki mwanza hebu muulize akwambie.
 
Back
Top Bottom